Kamgomoli
JF-Expert Member
- May 3, 2018
- 1,865
- 3,802
Wataalamu wa sheria hivi sheria inasemaje kama mtu akiokota kitu ambacho si chake? Je ni sawa akiking'ang'ania hata ukijua kuwa ndie alieokota?
Kuna mtu ameokota simu yangu baada ya kumpigia akapokea na akanielekeza sehemu nimfate. Nilipomfuata nikamkuta na simu ila akataka nimpe hela ndio anirudishie. Hela aliyoitaja ni kama nainunua tena simu yangu.
Hivi nikiamua kumchukulia hatua sheria inasemaje hapo?