Travis_Kitengo
JF-Expert Member
- May 19, 2021
- 327
- 913
Kuna route ya kutoka mbeya mpaka Kampala, Uganda.
Chuma ni Bon Voyage
Chuma ni Bon Voyage
Zitanisaidia nini kwenye utaftaji wangu wa asaivi uku kitaa? Mi siuzi wilaya wala sinunui mikoa mkuuHii elimu nowadays sijui tumebugi wapi, hivi unashindwaje kujua wilaya za mikoa ya Tanzania? Hapo ukiulizwa majina ya wachezaji wa Man U au Liver unayajua yoooteee mpaka bench la ufundi [emoji23] [emoji23]...
Kumbe dp world ilianzia Karagwe na hamkusema😂😂Nje ya mada, hapo Karagwe nilikaa miaka 2 nikatembea na mabinti wa kinyambo 31 watam wako kama wanya rwanda na wengi wana DAWASA
Mbeya mtwara route ilikuwa ngumu zamani ambapo ilikuwa ni lazima upite dar 840 + 580km , siku hizi toute hiyo inapitia ruvuma 480+637km.Umewahi kusafiri kutoka Mbeya - Mtwara?
Kwanza hakuna basi lolote linaloanzia lindi , wanategemea mabasi ya mtwaraLindi mza hakuna Basi la Moja Kwa moja
Haikuwepo.Labda kama wameisitisha but Super feo humwambii kitu kuhusu mbinga..And how long is Mwanza - Mbinga?
Ni kweli iko?Hajui huyo[emoji23],
Mwanza mbinga
Hakuna hio ruti ya Mbeya Kampala... gari zinaanzia Zambia ndo zinaenda UgandaKuna route ya kutoka mbeya mpaka Kampala, Uganda.
Chuma ni Bon Voyage
Haifikii Dar - MbingaHajui huyo Dar-Mpanda Katavi sio mchezo nayo
Tumeshazoea wakunyumba, Dar tunaingia siku hiyo hiyo.Mimi route yangu ndefu ni hii ya dar songea kupitia Lindi. Kuna siku nilikuwa na rafiki yangu tunatoka songea. Kufika Lindi akashuka, akaja Dar kesho yake.
Sasa nyinyi mnaoendelea Hadi Mbinga sijui mnachokaje.
Na haina milima pia.Bora ya iringa aisee! Hii ya kupitia Lindi ni kisanga japo Kuna watu wanaipenda kwa sbb Haina msongamano wa magari.....
Wakukurupuka v/s wakuvuruga.Wewe ni wakukurupuka kama jina lako... Wapi mtoa mada ameongelea ishu ya mabasi... Kajifunze kuelewa sentensi za kiswahili kwanza ndio ulete ukurupukaji wako... Hapa tunaongelea route
Huwezi amini natoka Dsm hadi murongo kyerwa kufuata shem akoBaada ya Karagwe unaingia Kyerwa...........huo mziki sikiliza Kwa wengine
Karibu murongoDar to Kyerwa ndio funga kazi Tanzania! Kyerwa ni mbele ya Karagwe!
Sasa tupo raia huko ndio kwetu, ukiamua kwenda ni kama unavuka boda [emoji28]
Hivi Allys Bado anapiga hii Route kweli!??Aende tu route ya shinyanga kwenda tanga[emoji3]
Siku ikuta Ally's, nili panda gari nyingine tu. Sema classic kiasi.Hivi Allys Bado anapiga hii Route kweli!??
Allys kuna muda alikuwa anapiga hii RouteSiku ikuta Ally's, nili panda gari nyingine tu. Sema classic kiasi.
[emoji117]Ila ile route ni balaaa [emoji23][emoji3], siku 2 njiani
Hata wakenda Hawafiki tanga, Wana ishia Moshi tu mzee.Allys kuna muda alikuwa anapiga hii Route
Kuna siku nilikuwa safarini tukapishana na bus ya mwanza-mbeya, nilishangaa kwakweliHujui kuwa kuna route toka Mwanza kwenda Mbinga?
Mwanza kwenda Mbeya?