Zamaulid
JF-Expert Member
- May 25, 2009
- 20,028
- 16,150
Bus gani inaenda Tunduru-Karagwe?Unaijua route ya Tunduru (Ruvuma) hadi Karagwe (Kagera). Dar-Karagwe mbona padogo... Mzigo ni Tunduru - Karagwe
Bus gani inaenda Tunduru-Karagwe?Unaijua route ya Tunduru (Ruvuma) hadi Karagwe (Kagera). Dar-Karagwe mbona padogo... Mzigo ni Tunduru - Karagwe
City boy na frester yanaenda karagwe....mabasi mengi ni mwamza karagwe...Karagwe inaenda basi 1 tuu osaka
Mwaka 2015 nilitoka Mbinga mpaka Karagwe Kagera.
Hitimisho la safari yangu, asilimia zaidi ya 65 ya Tanzania ni pori
Dar Mwanza, 1250, Mwanza Makutano 230, jumla 1480, Makutano Tarime 80, jumla 1560. The same kwenda Serengeti. Kwemda Sirari ni zaidi.Haifiki 1500 ni kama 1400km
Na ili uende bila kujichosha,panda Abood ambayo inafika bukoba mapema unalala ukiamka kesho kwenye saa nne unapanda coaster kuelekea karagwe kuliko kupanda ile city boy...kwanza ni chafu na haina mwendo wala uzingativu wa mudaCity boy na frester yanaenda karagwe....mabasi mengi ni mwamza karagwe...
Mabasi mengi huishia bukoba mjini....lakin bukoba mjini to karagwe kuna costa na daladala kibao hadi saa mbili usiku unapata gari kuelekea karagwe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kukazia kabisa.Ukaona isiwe tabu now upigirie msumari
Mwenyewe siipendi ya lindi.Bora ya iringa aisee! Hii ya kupitia Lindi ni kisanga japo Kuna watu wanaipenda kwa sbb Haina msongamano wa magari.....
Nyasa ni wilaya tokea enzi za kikwete.Wiki mbili zilizopita nilitoka Arusha mpaka Mbeya harafu nikaenda Nyasa wilaya Mpya iliyopo Mbinga Tanzania ni kubwa sana aisee...
🤣🤣Happy nation au fester pia inaenda huko hyo route siyo mchezo nilienda kumfata koku wa instragam huko
Mbeya to Mtwara ni distance ya kawaida ukizungukia njia ya Songea, unakatishia pale Makambako. Na ni lami koteUmewahi kusafiri kutoka Mbeya - Mtwara?
Ni kweli kiongozi, lakini kuna hii nyingine ambayo ipo kwenye mpango wakutengenezwa kiwango cha LAMI..km 340+ kama sijakosea,Theoretically ni fupi, ila sababu ni rough road na milima ya ajabu ajabu ndio maana mabasi huikwepa. Ila kama una private SUV, ni fupi sana.
Kuna nyingine unapita hiyo lami, ukifika igunga unaacha lami[unakwepa mzunguko wa nzega, shy na mwigumbi], unaingia kulia unatembea na vumbi unakuja tokea maswa, just 30 kms to bariadi. Ukiwa na SUVs shortcuts ni nyingi.
Nauliza hii route mbeya gari inaingia saa ngapi??M
Mbeya to Mtwara ni distance ya kawaida ukizungukia njia ya Songea, unakatishia pale Makambako. Na ni lami kote
Hizi nazikubali. Zitakuwa Km 1500+Route ndefu ni sumbawanga -Arusha, au Lindi -mwanza
Osaka haifiki Karagwe. Karagwe ni City boy tu.Karagwe inaenda basi 1 tuu osaka
Uende kule Chamchuzi kabisa 😂😂😂Dar to Kyerwa ndio funga kazi Tanzania! Kyerwa ni mbele ya Karagwe!
Sasa tupo raia huko ndio kwetu, ukiamua kwenda ni kama unavuka boda [emoji28]
Sahihi kabisa. Juzi nimepishana na hiyo City Boy mida ya 12 jioni Dodoma nikajiuliza hili basi liko serious kweli?? nikajiuliza litafika lini huko Karagwe.Na ili uende bila kujichosha,panda Abood ambayo inafika bukoba mapema unalala ukiamka kesho kwenye saa nne unapanda coaster kuelekea karagwe kuliko kupanda ile city boy...kwanza ni chafu na haina mwendo wala uzingativu wa muda
Hii itakuwa nzuri sana. Arusha na Bariadi zitaungana sana kiuchumi.Ni kweli kiongozi, lakini kuna hii nyingine ambayo ipo kwenye mpango wakutengenezwa kiwango cha LAMI..km 340+ kama sijakosea,
Arusha- Karatu-Mbulu - Hydom- Sibiti- Maswa....kabla ya kufika Maswa utarudi mashariki iliuingie Bariadi..nadhani hii ikiisha itakuwa FUPI hasa kwa wale wanaotokea Arusha
😂😂😂Sawa Mawardat[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kukazia kabisa.