Hivi kuna Route ndefu kuishida Dar - Karagwe?

Hivi kuna Route ndefu kuishida Dar - Karagwe?

OKay...ila hii route kama ingekua hili boda la kupasua iringa utokee dodoma badala wangekua wanaendekea kuzungukia moro then Dom , basi probably ingekua ndio the longest route ever
Kweli ingekuwa ndefu, wanapita Iringa/Dom,

Sema superfeo katuokoa watu wa Mbinva/mbamba bay, kuna route itakuja ya Mbamba bay to Tabora.
 
Back
Top Bottom