Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 17,179
- 19,852
Ulishawahi kutoka Dar mpaka Mtukula?Ruti ndefu kwa sasa ni hio ya Dar kwenda Karagwe
Ulishawahi kutoka Dar mpaka Mtukula?Ruti ndefu kwa sasa ni hio ya Dar kwenda Karagwe
😂😂😂KwerKweli ingekuwa ndefu, wanapita Iringa/Dom,
Sema superfeo katuokoa watu wa Mbinva/mbamba bay, kuna route itakuja ya Mbamba bay to Tabora.
Hata isipokuwepo, kitendo cha kuwepo gar ya kukufikisha tu mpaka Iringa hapo au dodoma,basi imeisha hiyo.Kweli ingekuwa ndefu, wanapita Iringa/Dom,
Sema superfeo katuokoa watu wa Mbinva/mbamba bay, kuna route itakuja ya Mbamba bay to Tabora.
Wako vizur sema wanaupiga mwingiHata isipokuwepo, kitendo cha kuwepo gar ya kukufikisha tu mpaka Iringa hapo au dodoma,basi imeisha hiyo.
Ccm licha ya mapungufu mengi tuseme tu ukwel kwenye kuiunganisha Tanzania, wamefanya kazi kubwa sana....
Imagine leo hiinunaweza drive au ukapanda bas toka ncha moja ya nchi mpaka mwisho mwingine lami tupu.
Kuna friend of mine mmoja toka afike tz huwa anashanga sana.Ni mganda yeye na kwao anasema hakuna long drive ya over 4 hours.Sasa bongo driver ana piga gia mpaka 20 hours per journey 😂😂😂.
Nchii hi kubwa jamani
Mtoa mada kamaanisha ruti ya basi (moja kwa moja)Ulishawahi kutoka Dar mpaka Mtukula?
Spa unalala umefika kwa wachawi kule alafu na ugali unakula😂😂😳Hii ni karibu bro.
😂😂😂😂Kama ulivyomwelewa ndivyo tulivyoelewaMtoa mada kamaanisha ruti ya basi (moja kwa moja)
Sema na wabongo hatuna shukrani[emoji23]Hata isipokuwepo, kitendo cha kuwepo gar ya kukufikisha tu mpaka Iringa hapo au dodoma,basi imeisha hiyo.
Ccm licha ya mapungufu mengi tuseme tu ukwel kwenye kuiunganisha Tanzania, wamefanya kazi kubwa sana....
Imagine leo hiinunaweza drive au ukapanda bas toka ncha moja ya nchi mpaka mwisho mwingine lami tupu.
Kuna friend of mine mmoja toka afike tz huwa anashanga sana.Ni mganda yeye na kwao anasema hakuna long drive ya over 4 hours.Sasa bongo driver ana piga gia mpaka 20 hours per journey [emoji23][emoji23][emoji23].
Nchii hi kubwa jamani
We umewai shukuruSema na wabongo hatuna shukrani[emoji23]
Aende tu route ya shinyanga kwenda tanga😀Hujui kuwa kuna route toka Mwanza kwenda Mbinga?
Mwanza kwenda Mbeya?
Ofcz they were supposed to do more.😂😂😂.But so far not bad.Leo mtu unatoka pale Mtwara au Songea,,unaingia Mpakan na Ug kagera..Au mpakan na Kongo pale Kigoma/Rukwa..Lami tupuuuSema na wabongo hatuna shukrani[emoji23]
Katk safar nilizo wahi Fanya hp nchini ofcuz route from Dar to kagera ndio niliyoiona ndefu kwangu,Wanasemaga Kigoma mwisho wa reli
Kuna Route ndefu kutoka Dar kwenda mikoa mingine kuliko Karagwe kweli! Naona ni balaa parefu halafu basi lipo moja tu City boy[emoji23][emoji23]
Nikikumbuka ile kanda namiss watoto wa kike wenye rangi nyeusii, shepu amazing tamu za kuvutia tu na mbususu zao kwakweli na Hali ya hewa shawishi ya kule mmh,Nje ya mada, hapo Karagwe nilikaa miaka 2 nikatembea na mabinti wa kinyambo 31 watam wako kama wanya rwanda na wengi wana DAWASA
Superfeo ipo ya Songea - Mwanza mara 2 kwa wiki.Labda kama wameisitisha but Super feo humwambii kitu kuhusu mbinga..And how long is Mwanza - Mbinga?
Kule kuna pisi za hatari sana, sio hawa used wa darNikikumbuka ile kanda namiss watoto wa kike wenye rangi nyeusii, shepu amazing tamu za kuvutia tu na mbususu zao kwakweli na Hali ya hewa shawishi ya kule mmh,
80% ya mademu wa kule niliowala especially pande za kamachumu ilikua ni porini vichakani,
Ndiyo,nashukuru kwa kila jambo[emoji23]We umewai shukuru
Sisi wa kwa mwamposa tuna usafiri wetu,unatupeleka popote alipo mwamposa[emoji120]Aisee