Hivi kuna Route ndefu kuishida Dar - Karagwe?

Hivi kuna Route ndefu kuishida Dar - Karagwe?

Nilisafiri kutoka Arusha - Simiyu (Bariadi mjini), Safari ikawa ndefu sana, Kumbukumbu zangu zinaniambia hii mikoa si imepakana? nika Google ramani, Nikajiridhisha, sasa mbona hatufiki? nikamuita konda Nikamuuliza taratibu, "kwani si tunaenda hapa(nikamuonesha kwenye simu)? Mbona hatufiki na hakuna milima ya kukwepa kusema tuzunguke? Sijawahi kuelewa urefu wa ile safari na isitoshe Baridi ni mwanzoni kabisa.
BRD-ARUSHA kuna njia mbili.

Lami: hii unatoka ARS BBT SGD IGNG NZG SHY MASW THEN BRD, Hii unazunguka duara nusu duara.

vumbi: ARS BBT Unaingia kulia, unapita BASHNET DONGOBESH MKARAMA MEATU LAINI UNAINGIA BARIADI. Hii unacross duara, ila kimsingi unazunguka tu ndani ya duara. Pia ni rough road na hapo bashnet kuna milima.

inabidi itengenezwe lami ya hiyo rough road niliyoieleza.
 
Hii ya vumbi ndio fupi bila shaka?
 
Mbamba bay/dar es salaam,

Mbinga dar tunashukuru kwasasa gari inatoka saa 9 usiku na dar tunaingia mapema sana,

Thanks/selous,superfeo[emoji257]
Mimi route yangu ndefu ni hii ya dar songea kupitia Lindi. Kuna siku nilikuwa na rafiki yangu tunatoka songea. Kufika Lindi akashuka, akaja Dar kesho yake.
Sasa nyinyi mnaoendelea Hadi Mbinga sijui mnachokaje.
 
Hii ya vumbi ndio fupi bila shaka?
Theoretically ni fupi, ila sababu ni rough road na milima ya ajabu ajabu ndio maana mabasi huikwepa. Ila kama una private SUV, ni fupi sana.

Kuna nyingine unapita hiyo lami, ukifika igunga unaacha lami[unakwepa mzunguko wa nzega, shy na mwigumbi], unaingia kulia unatembea na vumbi unakuja tokea maswa, just 30 kms to bariadi. Ukiwa na SUVs shortcuts ni nyingi.
 
Mimi route yangu ndefu ni hii ya dar songea kupitia Lindi. Kuna siku nilikuwa na rafiki yangu tunatoka songea. Kufika Lindi akashuka, akaja Dar kesho yake.
Sasa nyinyi mnaoendelea Hadi Mbinga sijui mnachokaje.
Hiyo ya lindi sijawahi kuielewa,nimezoea ya iringa, Mbinga mbali, Dar/Mbamba bay hadi nawaoneaga huruma,

Sema tushazoea, sasa gari inatoka saa 9 kamili usiku Dar mapema saa 2[emoji23],
 
Hiyo ya lindi sijawahi kuielewa,nimezoea ya iringa, Mbinga mbali, Dar/Mbamba bay hadi nawaoneaga huruma,

Sema tushazoea, sasa gari inatoka saa 9 kamili usiku Dar mapema saa 2[emoji23],
Bora ya iringa aisee! Hii ya kupitia Lindi ni kisanga japo Kuna watu wanaipenda kwa sbb Haina msongamano wa magari.....
 
Route ndefu kutoka Dar to Kigoma mzee trein siku tatu basi siku moja na nusu ukipita uko kama kahama ndio kabisa unasahau kua uko na safari ya kwenda kigoma unakaa mpk makalio sugu inatanda ganzi ndio usiseme 😂😂🙌
Taja kilomita zake
 
Karagwe ipo ndani yamkoa gani? Kwanini unashindwa kuchambua thread kiasi chakwamba unaandika kaa sisi wote tumekaa uko mkuu? Au ii ilikuwa text unamtumia shemeji imejipost kibaati mbaya?
Yaani Kwa ujuaji huu,hujui Katagwe ipo wapi...!
 
Back
Top Bottom