saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 5,683
- 7,796
We uko nchi gani, huoni hata haya? Tukisemaga vitoto vilivyosoma shule ya kata vi watupu muelewageKaragwe ipo ndani yamkoa gani? Kwanini unashindwa kuchambua thread kiasi chakwamba unaandika kaa sisi wote tumekaa uko mkuu? Au ii ilikuwa text unamtumia shemeji imejipost kibaati mbaya?
