Sio safari ya kitoto, jiandae kuchoka sanaNdugu zangu wana jf nimeuliza umbali kutoka Tanga to mara ukojeee natarajia kwenda hukoo
Sent from my TECNO LE6 using JamiiForums mobile app
Sio safari ya kitoto, jiandae kuchoka sanaNdugu zangu wana jf nimeuliza umbali kutoka Tanga to mara ukojeee natarajia kwenda hukoo
Sent from my TECNO LE6 using JamiiForums mobile app
DAWASA ni DAR ES SALAAM WATER SUPPLY AND SANITATION AUTHORITYDAWASA ndio nini mdau..?
Kuna barabara ya shortcut kutoka Bariadi to Arusha ila kipind cha mvua haipitik inapita pori la akiba meatu, hapo ni masaa matatu unatumia ila ukipita shy, igunga, manyon ndo parefuNilisafiri kutoka Arusha - Simiyu (Bariadi mjini), Safari ikawa ndefu sana, Kumbukumbu zangu zinaniambia hii mikoa si imepakana? nika Google ramani, Nikajiridhisha, sasa mbona hatufiki? nikamuita konda Nikamuuliza taratibu, "kwani si tunaenda hapa(nikamuonesha kwenye simu)? Mbona hatufiki na hakuna milima ya kukwepa kusema tuzunguke? Sijawahi kuelewa urefu wa ile safari na isitoshe Baridi ni mwanzoni kabisa.
Ipo tangu kitambo, precision airNasikia Musoma kuna ndege siku hizi kutoka Dar, jiongeze sio mbali sana, ni hali ya uchumi tuu
Alishaacha, kuna freysHivi Allys Bado anapiga hii Route kweli!??
[emoji23] mbona ulishakaribia kufika ila ulikata tamaa mapemaAise last week nilikuwa nasafari ya Dar - Tarime, uzalendo ukanishinda nikashuka Mwanza nikalala kesho yake nikaendelea na safari.
Shinyanga-Tanga siku mbili?? Basi ulipanda basi bovu. Ni safari ya siku moja tuSiku ikuta Ally's, nili panda gari nyingine tu. Sema classic kiasi.
[emoji117]Ila ile route ni balaaa [emoji23][emoji3], siku 2 njiani
Zipo kuna Isamilo, Fikoshi, premiur n.kKuna siku nilikuwa safarini tukapishana na bus ya mwanza-mbeya, nilishangaa kwakweli
Gari Ina ishia Moshi, haziendi tanga siku hizo🤒Shinyanga-Tanga siku mbili?? Basi ulipanda basi bovu. Ni safari ya siku moja tu
Ila hakuna hii route, ipo ya Arusha kupitia kahama, kiazi kitamu na Arusha expressDar kigoma kupitia kahama runzewe Nyakanazi kibondo kasuru kigoma ni zaidi ya dar Karagwe pia musoma dar nizaidi ya dar karagwe
FriendsIpo ya DAR - KAMPALA. Unapita huko Karagwe ...Mutukula
Freys inatoboa mpk Tanga, juzi juzi tu nimepokea mgeni toka Tanga na freys ila ndio walifika shinyanga saa saba usikuGari Ina ishia Moshi, haziendi tanga siku hizo[emoji855]
🤣🤣🤣Mbinga to karagwe is 1746KM
1616na machenji yake chief
1747
Walikuw wanafika boss nimeishaipanda shy-tangaHata wakenda Hawafiki tanga, Wana ishia Moshi tu mzee.
[emoji117]Halafu Ina bidi upande bus nyingine[emoji855][emoji3]
Sasa hivi hazifiki tanga, labda inayo toka kule.Walikuw wanafika boss nimeishaipanda shy-tanga
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Zinazo toka kule Ni sawa, ila Huku kwenda kule Ni jauFreys inatoboa mpk Tanga, juzi juzi tu nimepokea mgeni toka Tanga na freys ila ndio walifika shinyanga saa saba usiku
🤣🤣Dar Es Salaam, Pwani, Morogoro, Dodoma, Singida, Tabora, Shinyanga, Kagera ~Karagwe Kayanga