Hivi kuna Route ndefu kuishida Dar - Karagwe?

Hivi kuna Route ndefu kuishida Dar - Karagwe?

Kuna barabara ya shortcut kutoka Bariadi to Arusha ila kipind cha mvua haipitik inapita pori la akiba meatu, hapo ni masaa matatu unatumia ila ukipita shy, igunga, manyon ndo parefu
Ila hamna basi inapita?
Namaanisha sio Rasmi?
 
Back
Top Bottom