Brain Kingdom
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 7,002
- 14,566
Hajui huyo Dar-Mpanda Katavi sio mchezo nayoHujui kuwa kuna route toka Mwanza kwenda Mbinga?
Mwanza kwenda Mbeya?
Hajui huyo Dar-Mpanda Katavi sio mchezo nayoHujui kuwa kuna route toka Mwanza kwenda Mbinga?
Mwanza kwenda Mbeya?
Safi sana tupo ktk foleni moja kwenye kushukuru usihame ktk mstrNdiyo,nashukuru kwa kila jambo[emoji23]
Hapo ni lindi-dar,then dar-mwanza
Karagwe ulikua maeneo gani enzi za ujana wangu nimepita maeneo ya kituntu, kayanga, bwelanyange, igurwa, omurushaka.Nje ya mada, hapo Karagwe nilikaa miaka 2 nikatembea na mabinti wa kinyambo 31 watam wako kama wanya rwanda na wengi wana DAWASA
Dar Mpanda si kama Dar Mwanza tuHajui huyo Dar-Mpanda Katavi sio mchezo nayo
Sio kweli route ndefu ni MTWARA kwenda TARIME inafika KM 2100Ruti ndefu kwa sasa ni hio ya Dar kwenda Karagwe
Mzee hata tukikuongezea dar to sirari bado dar to karagwe inabaki kuwa ruti ndefu zaidi kwa sasa!!!Ruti ndefu ni Dar to Tarime
Hii funga kaziUmewahi kusafiri kutoka Mbeya - Mtwara?
KhaaSio kweli route ndefu ni MTWARA kwenda TARIME inafika KM 2100
[emoji419][emoji419]Safi sana tupo ktk foleni moja kwenye kushukuru usihame ktk mstr
Na Mtwara Karagwe je? Na hiyo route ya Mtwara Tarime inahudumiwa na basi gani?Sio kweli route ndefu ni MTWARA kwenda TARIME inafika KM 2100
Huko shule hukuelewa chochoteKaragwe ipo ndani yamkoa gani? Kwanini unashindwa kuchambua thread kiasi chakwamba unaandika kaa sisi wote tumekaa uko mkuu? Au ii ilikuwa text unamtumia shemeji imejipost kibaati mbaya?
Mtwara/mbeya,Hii funga kazi
Sio 65 ni karibu 85% Population bado sanaMwaka 2015 nilitoka Mbinga mpaka Karagwe Kagera.
Hitimisho la safari yangu, asilimia zaidi ya 65 ya Tanzania ni pori
Ahahaha hii nayo kwel niliosahau .Nishatembea nayo.Chuma New Fore inatoka Dar saa 12 alfajir inaingia Katavi saa 8 usiku😂Hajui huyo Dar-Mpanda Katavi sio mchezo nayo
DAWASA ni mamlaka ya serikali inayohusika na maji. Kwa hiyo akisema wadada wa kanda hiyo wana DAWASA unajiongeza mwenyewe.DAWASA ndio nini mdau..?
Haifiki maana kuna njia kutoka mtwara mpaka Tunduru ambapo ni kama KM 350 HV kisha unakuja mpaka mbeya unakwenda kigoma kupitia Sumbawanga/Tabora.Mtwara - Kigoma
Kilometa 2000 [emoji1430]
Bus ni moja tu Chayaya Coach