Hivi kuna Route ndefu kuishida Dar - Karagwe?

Hivi kuna Route ndefu kuishida Dar - Karagwe?

Nilisafiri kutoka Arusha - Simiyu (Bariadi mjini), Safari ikawa ndefu sana, Kumbukumbu zangu zinaniambia hii mikoa si imepakana? nika Google ramani, Nikajiridhisha, sasa mbona hatufiki? nikamuita konda Nikamuuliza taratibu, "kwani si tunaenda hapa(nikamuonesha kwenye simu)? Mbona hatufiki na hakuna milima ya kukwepa kusema tuzunguke? Sijawahi kuelewa urefu wa ile safari na isitoshe Baridi ni mwanzoni kabisa.

Kuna Serengeti hapo katikati. Route ya lami inazunguka Babati, Singida, Mwigumbi, Maswa, Bariadi. Kipande heavy
 
Kuna siku nilikuwa safarini tukapishana na bus ya mwanza-mbeya, nilishangaa kwakweli
Tz kwasasa kwenye usafirishaji imeoiga hatua sana.Toka imetengenezwa ile border ya Dodoma kuja Iringa katika kiwango cha lami imefungua safari nying sanaaa
 
Wanasemaga Kigoma mwisho wa reli

Kuna Route ndefu kutoka Dar kwenda mikoa mingine kuliko Karagwe kweli! Naona ni balaa parefu halafu basi lipo moja tu City boy[emoji23][emoji23]
Dar kigoma kupitia kahama runzewe Nyakanazi kibondo kasuru kigoma ni zaidi ya dar Karagwe pia musoma dar nizaidi ya dar karagwe
 
Nilisafiri kutoka Arusha - Simiyu (Bariadi mjini), Safari ikawa ndefu sana, Kumbukumbu zangu zinaniambia hii mikoa si imepakana? nika Google ramani, Nikajiridhisha, sasa mbona hatufiki? nikamuita konda Nikamuuliza taratibu, "kwani si tunaenda hapa(nikamuonesha kwenye simu)? Mbona hatufiki na hakuna milima ya kukwepa kusema tuzunguke? Sijawahi kuelewa urefu wa ile safari na isitoshe Baridi ni mwanzoni kabisa.
Barbara inafunguka kupisha mbuga.
 
Na haina milima pia.
Na hupiti mikoa ya baridi😀😀😀😀 unaweza kuvaa singlend Hadi unafika Songea, pitia iringa Sasa weeh!! Kuipita njombe bila gujaketi hutoboi!!
All in all mi napenda kupitia iringa
 
Labda tupate uwanja mdogo Kayanga Karagwe ili tukitua pale unakamata Costa za Kyerwa! Sasa ukifika Kyerwa kuna maraia wanakamata hiace za Murongo! Acha kabisa!
Nilikuwa natafuta neno murongo,, nilikuwa na safari hilo eneo kutokea dar,, na kuunganisha msibani minziro karibu na ug chamoto nilikipata niliugua wiki nzima, kagera ni mbali jamani
 
Dar Mwanza, 1250, Mwanza Makutano 230, jumla 1480, Makutano Tarime 80, jumla 1560. The same kwenda Serengeti. Kwemda Sirari ni zaidi.
Muongo ww
Screenshot_2023-09-02-23-38-32-382_com.google.android.apps.maps.jpg
 
Back
Top Bottom