Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 36,155
- 30,834
Yupo wapi huyo?
Hivi ni wapi Africa Mashariki kwa mfano, Mwenyekiti wa Tume huru ya taifa ya uchaguzi hateuliwi na Rais?
Ni nchi gani Africa michakato ya teuzi za umma kitaifa hazipitii kwa rais na mkuu wa nchi?
Hivi kwa madai ya chadema mtu huyo ateuliwe na nani sasa kwa mfano? Au ateuliwe na malaika waropokaji wa Chadema ndio ionekane ni tume ya Taifa?
cc. Adv.Bob Robert Amsterdam 🐒
Mungu Ibariki Tanzania.