Hivi Kiongozi anaepeleka mtoto wake Shule ya Milioni 10 atatoa Mawazo Gani ya Maana ya kuendeleza shule za Serikali?

Anafaa awe waziri wa Elimu,sayansi na teknolojia.
Katika pitapita zangu nimekutana na video ya Anthon Mtaka akizungumza kuhusu Elimu, hii hapa chini View attachment 2289897
Nikaona kaongea ukweli fulani ,Hivi wana JF ,mtu ambae hajawahi somesha mtoto shule ya serikali hasa ya kata anawezaje akawa na mipango ya maana kuhusu hizi shule?
 
  • Thanks
Reactions: RNA
Fanya kile kilicho ndani ya uwezo wako! Kwa wakati ulionao Maisha sio rehearsal! Usifanye vitu kwa kufananisha kuwa fulani anafanya hivi utafeli! Anaeenda safari kwa ndege ama gari si wote wanafika!? Destination ni ile ile tofauti ni muda tu.
 
Back
Top Bottom