Hivi ile project ya Kilimo ya BBT iliishia wapi?

Hivi ile project ya Kilimo ya BBT iliishia wapi?

Bashe ni mfanyabiashara kabla hajawa mbunge,mkuluma na mfugaji kabla ya ubunge,ni 'mtoto flani' wa rostam Aziz, rostam alipoinunua habari corporation Bashe ndiye alikua inchaji manyota
Akaja kuwa mbunge na waziri,hapo kishafanya sana biashara kenya,sudani kusini
So ng'ombe 5000 ni kidogo sana kwake, alikua na mchezo wa kununua ng'ombe dhaifu na kuwanenepesha kisha kuuza,muda sana
Ana ranch njia ya nzega-tabora,aliagiza ng'ombe 100 sauzi,sikatai kupiga lakini kudhani kapata pesa baada ya kukalia kiti wizarani si kweli
Huenda ana upigaji ndiyo maana kaachwa,au kaachwa kisa afya maana sukari ilisumbua sana juzi hapa akaenda sauzi
Mimi ni class mate wake,rafiki wa utotoni,I fiended one of his sisters

ni msomali pia ...
 
Ule mradi ulikuwa umeanza vzr lkn kwasasa sijuh unaendeleaje

Itakuwa wahuni wa nchi washapiga hela na mradi ukajifia 😭😭
Weka vielelezo vya uzuri wa mwanzo wake.

Maana mapema kabisa tulianza kusikia vijana wa kambi wakianza kulia njaa, mimea ya project kunyauka nk nk.

Miradi hiyo ilianzishwa kwa manufaa binafsi ya Bashe, si kwa ajili ya kunyanyua vijana wa Tz.
 
Kosa lilianzia hapa.
Kilimo hakihitaji watu wengi. Hizo hela wangewekeza kwa watu wachache wawekeze kwenye plantations. Hao chawa wengebakia kuwa wafanyakazi tu. Sasa wafanyakazi ndio wanapewa hela za kulimia mwisho wamekula mtaji wamekimbia mashamba.
Wizi mtupu
 
Wao wanahisi sie tuna chuki na serikali, hapana tunaona vibaya kodi zetu zinavyotumika..
Hizi ni mali za watz wote, zifaidishe watz wote, sio wahuni wachache.
Machawa na watawala wao huwa wanaamini wao ni wazalendo zaidi kuliko raia wengine hivyo wanatakiwa kufaidi zaidi kwa namna yoyote ile.
 
Ule mradi ulikuwa umeanza vzr lkn kwasasa sijuh unaendeleaje

Itakuwa wahuni wa nchi washapiga hela na mradi ukajifia 😭😭
Haujawahi kuanza vizuri ule ulikuwa ni wizi wa mchana kweupe, kama unataka kusaidia watanzania, punguza kodi na weka incentives na subsidies kwenye supply chain ya kilimo, ila kuchukua hela cash eti kulipa vijana na kununua mashamba sijui ni wizi tu na kuchezea kodi zetu, imagine ni billions za hela watu wameweka mifukoni mwao
 
Ni kama Gerisoni Msigwa alivyojigeuza bank kugawa pesa kwa wasanii wao eti wanasaidia sekta ya sanaa, sasa anapiga kelele mtandaoni pesa zirudiswhe. Bashite naye anasema wataanza kwanunulia content creators camera na simu nzuri 🤣🤣🤣.
Utapeli mtupu
 
Watu wenye asili ya somali wapo kibao tu Tanzania na ni watanzania halali kabisa

whereas wenye asili ya kibantu kule somalia walirudishwa na un tanzagiza baada ya kukataliwa na barbarian somalis, wanaitwa bantu somali soma khs historia yao inasikitisha sana, walipelekwa somalia utumwani na muslims kutokea eneo la tanga ya leo lkn ilishindikana mpaka un waliingilia kati wakarudishwa tanzagiza na hii ni baada ya kuishi huko kwa zaidi miaka 200 lkn barbarian waliwakataa, wakati huku tanzagiza mnawamilikisha barbarian mpaka vijiji na cha ajabu zaidi mnajivunia kuwa na wasomali wakati ni kwa jamii nyingine ni laana kuwa nao ...
 
whereas wenye asili ya kibantu kule somalia walirudishwa na un tanzagiza baada ya kukataliwa na barbarian somalis, wanaitwa bantu somali soma khs historia yao, walipelekwa somalia utumwani na muslims lkn ilishindikana mpaka un waliibgilia kati wakarudishwa tanzagiza wako tanga ...
Wapo wenye asili ya somali ni wapigania uhuru , walikuja Tanganyika hata kabla ya ukoloni , kama wabantu wengine tu waliopo Tanzania walivyokuja .
 
Wapo wenye asili ya somali ni wapigania uhuru , walikuja Tanganyika hata kabla ya ukoloni , kama wabantu wengine tu waliopo Tanzania walivyokuja .

somalia kulikuwa na wabantu pia waliouzwa utumwani na muslims, walirudishwa tanzagiza na united nations kwa sababu ya kubaguliwa na kukataliwa na wasomali, halafu wewe unajivunia kuwa na wasomali? ...
 
Inaendelea tena ziko BBT nyingi tuu Mpya mfano
-BBT mifugo
-BBT Uvuvi
-BBT Madini
Afisa...

Ulifuatilia kuhusu mbolea za ruzuku kunufaisha wafanyabiashara kuliko wakulima?

Nilikwambia mkulima wa tumbaku pale Tabora anakopa mfuko mmoja wa NPK kwa zaidi ya 150,000/=

Wakulima waliambiwa ruzuku ni mkombozi...

Matokeo yake, kama huna Cash ruzuku haifanyi kazi...

Kwa mtu anayejua hali ya wakulima wa tumbaku wa nchi hii, unategemea anaweza kununua mbolea kwa cash?

Hivi ilikuwaje baada ya Samia kuingia madarakani mbolea ikapanda ghafla kutoka 80 hadi 150?

CCM ya sasa mnajiamini nini?
 
Una ubaguzi sana mkuu

sijaelewa unachomaanisha by ''ubaguzi'' lkn nielewavyo kila jamii inapaswa kujiweka mbele na kujipendelea yenyewe kwanza kabla ya kukubali foreigners, sasa ukiona wewe unakubali foreigners wakati wao wanakukataa halafu unajiita siyo mbaguzi basi hayo ni mataizo ya akili, kwa maana kwao wanakukataa halafu wewe kwenu unawapendelea na kuwaweka watu wako nyuma, hii ni moja dalili kuu za low iq society zinazotawaliwa na foreigners wakati wenyeji wakibakia chini na kukandamizwa.

labda nikuulize umesema nina ''ubaguzi' kwa nini wabantu wasomali walirudishwa nchini tanzagiza kutokea somalia? ...
 
Back
Top Bottom