Hivi ile project ya Kilimo ya BBT iliishia wapi?

Hivi ile project ya Kilimo ya BBT iliishia wapi?

Ila mkuu wewe ni mbaguzi sana , huwa nasoma mada zako unapinga uislamu mno na hapa tena , ukipewa uongozi wa juu unaweza chinja usioendana nao kabisa 🤔

siyo kweli, labda ni misunderstanding tu, watu wengi hawaupendi ukweli na wanukwepa, kama wewe nimekuuliza maswali ya msigi lkn haunijibu unaishia kuita ''ubaguzi'' lkn unakataa kujibu kwa nini unaona ni sawa labda wewe kukataliwa na wengine lkn siyo sawa kwako kujiweka mbele kwanza? kwa nini wengine wakukatae kwao halafu wewe uwakubali kwako? maswali kama hayo siyo ubaguzi bali ni mwanzo wa kujitambua ...
 
Ngoja nimsubiri Choice...

Yeye anajua tulikoanzia, wewe naona unaleta siasa mkuu wangu.
Kwa sababu sikuungi mkono!?..mimi nalima mkuranga,dumila na tabora,kote huko tulijiandikisha wakulima na ekari unazomiliki,Mazal unayolima na mahitaji yako ya mbolea kisha tukapewa namba ambazo huzitumia kupatia mbolea za ruzuku
Bila ruzuku bei ya mbolea ni mara mbili
 
siyo kweli, labda ni misunderstanding tu, watu wengi hawaupendi ukweli na wanukwepa, kama wewe nimekuuliza maswali ya msigi lkn haunijibu unaishia kuita ''ubaguzi'' lkn unakataa kujibu kwa nini unaona ni sawa labda wewe kubaguliwa na wengine lkn siyo sawa kwako kujiweka kwanza? kwa nini wengine wakukatae kwao halafu wewe uwakubali kwako? maswali kama hayo siyo ubaguzi bali ni mwanzo wa kujitambua ...
Ulibaguliwa somalia?
 
Ukweli wa bei hiyo?
Mimi nimenunua mifuko 25 ya mbolea kama namba yangu ya ruzuku inavyoruhusu kwa bei ya 75k,tena hizo ni dap na urea,npk ni chini zaidi,mimi sipendelei npk kwenye mpunga
Kama huna namba ya ruzuku utanunua 150k, tuliambiwa tujiandikishe,kama walidharau shauri yao
 
Kama hela za vijana wanakopeshana wazee harafu walengwa wanabaki mikono mitupu unategemea nini kuhusu huo mradi..
 
Bila ruzuku bei ya mbolea ni mara mbili
Hapa ndio mjadala wangu na choice ulianzia...

Kama lengo la serikali ni kumsaidia mkulima, hiyo ruzuku ilipaswa iwe kwenye mkopo...

Wakulima wengi wa tumbaku hawana uwezo wa kununua mbolea kwa Cash...

Ruzuku imetumika kama daraja kuwanufaisha wafanya biashara wa mbolea(sponsors wa sasa wa chama) na kumyonya mkulima asiye na kitu....

Bahati mbaya wabunge wa Tabora hawanaga msaada kwa mkulima wa tumbaku.
 
Serikali haina uwezo wa kubeba gharama hizo,inunue mfuko wa mbolea kwa 150k kisha imkopeshe mbolea mkulima isubiri miezi 12+ kupata pesa yake
 
Niliwahi kusema hapa kile ni kilimo cha kwenye Tablet au mfano wa vile vilimo vya whatsapp
 
Nani anaweza kutupa mrejesho kuwa ule mradi wa uwekezaji kwenye Kilimo Al maarufu kama "Build Better Tomorrow -BBT" matokeo yake yamekuwa chanya au hasi Kwa kiasi gani?
Ile ni. Moja ya miradi mingi ya upigaji inayoanzishwa na wanasiasa wa ccm
Nani anaweza kutupa mrejesho kuwa ule mradi wa uwekezaji kwenye Kilimo Al maarufu kama "Build Better Tomorrow -BBT" matokeo yake yamekuwa chanya au hasi Kwa kiasi gani?
 
Back
Top Bottom