Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 71,083
- 126,886
Uko sahihi, hata juzi nimeweka kichwa changu Kijiji fulani wakaja kuchota maji.Unakuwaga kichwa maji!
Uko sahihi, hata juzi nimeweka kichwa changu Kijiji fulani wakaja kuchota maji.Unakuwaga kichwa maji!
Hawa ni wa kwenda nao hivi hivi!!Uko sahihi, hata juzi nimeweka kichwa changu Kijiji fulani wakaja kuchota maji.
The Sunk Coast Fallacy 2 sasahivi ni ChoiceVariable 😂😂Nadhani ni yule sunk cost fallacy sijui sa hivi anatumia ID gani, na mi nishawahi kukesha nae hapa 😅
Wanatakiwa kuelewa wakosoaji hawana nia mbaya, Tunaonea huruma kodi zetu tu.
Aisee!!Imepigwa pesa pale na bado inapigwa !vimechimbwa visima vya kutosha na zimenunuliwa ma mashine za kutosha ,watu wamepiga sana hela!!
Wapi??? Yamenunuliwa mashine za umwagiliaji za bei kubwa sana tena 10% ndo watu wamekula sana.Aisee!!
Halafu watu wa maeneo husika wanaruhusiwa kutumia hivyo visima?
Inasikitisha sana!!Wapi??? Yamenunuliwa mashine za umwagiliaji za bei kubwa sana tena 10% ndo watu wamekula sana.
Najua mengi sana Kuhusu huo mradi itoshe kusema :
Tume ya Umwagiliaji ,wakala wa mbegu,wizara ya kilimo!kuna watu wamepiga pesa za hatari.
Achans na BBtT kuna miradi ya umwagiliaji inafanyika kila mkoa,wipe muda wako tu ,fuatilia ile figure inayotajwa ni sawasawa na kinachofanyika,hutaamini macho yako.
Kuna mtumishi anakwambia amepiga hela mpaka anasema ana uwezo kwa sasa wa kununua private jet.
Ayo madili yako nje nje ,halafu unaambiwa serikali inafanya kazi!
Kazi ipi?
Tuliambiwa hela ni za rais au umesahau ?Hela zetu?
Tatizo la bongo watakaa kimya na wakiulizwa jibu litakuwa wao hawakuwa wizarani wakati BBT inabuniwa na kutekelezwaTusubirie vikao vya bajeti wizara ya kilimo itaropoka nn
ALOO basi chanzo cha tatizo nikikubwa sanaTatizo la bongo watakaa kimya na wakiulizwa jibu litakuwa wao hawakuwa wizarani wakati BBT inabuniwa na kutekelezwa
Pumbavu zake sana huyo chawa wa maccmNadhani ni yule sunk cost fallacy sijui sa hivi anatumia ID gani, na mi nishawahi kukesha nae hapa 😅
Wanatakiwa kuelewa wakosoaji hawana nia mbaya, Tunaonea huruma kodi zetu tu.
Kilichoshangaza ni kuwa vijana wakulima wapo lakini CCM ikaamua kutafuta vijana wasio wakulima waende kuendesha Kilimo.Pumbavu zake sana huyo chawa wa maccm
Muulize MsomaliNani anaweza kutupa mrejesho kuwa ule mradi wa uwekezaji kwenye Kilimo Al maarufu kama "Build Better Tomorrow -BBT" matokeo yake yamekuwa chanya au hasi Kwa kiasi gani?
Nani anaweza kutupa mrejesho kuwa ule mradi wa uwekezaji kwenye Kilimo Al maarufu kama "Build Better Tomorrow -BBT" matokeo yake yamekuwa chanya au hasi Kwa kiasi gani?