Hivi ile project ya Kilimo ya BBT iliishia wapi?

Hivi ile project ya Kilimo ya BBT iliishia wapi?

😆😀😄
Wanapenda sana matipo. Wakijisahau wanatumia ipi wanaponda mpaka mlango wa kuzimu unafunguka.
Huyu chawa ni tapeli kabisa alipandisha uzi kwamba Tanzania ina viwanda 28,000 nikamwambia hebu leta document yenye liat hiyo hadi leo sijawahi kupewa hiyo document.
 
Kuna BBT ya mifugo nakumbuka niliiona mahali,kuna watu wa diploma walienda kunenepesha ng'ombe kwa madai baada ya muda wanatoka na milion 11 kama sikosei.[inakuwa inajumuisha kujifunza kwa vitendo namna inavyofanyika kwa wahitimu baadaye watoke na mitaji]

Kuna mzee mmoja mtoto wake alikuwa kahitimu nayeye lakini hakuiona hiyo fursa.,Alimtukana sana mwanae,anapenda maisha ya mjini na nini.

Wale vijana walipomaliza wakakabidhiwa ndama mmoja ndiyo aka thaminishwa hiyo 11M kwa project ya zaidi ya mwaka.😂😂

Hakuna project ya kuanzishwa na mwanasiasa eti kukomboa watu maskini kwa hii Tz, wanatumia maskini kama daraja la kupora pesa.

Labda wakija na project za kudeal na matajiri hapo sawa sababu wanakuwa wanakula potepote. Mwanasiasa wa kitanzania aje na idea ya kupunguza umaskini? Mwenye record aje nazo
 
Nadhani ni yule sunk cost fallacy sijui sa hivi anatumia ID gani, na mi nishawahi kukesha nae hapa 😅

Wanatakiwa kuelewa wakosoaji hawana nia mbaya, Tunaonea huruma kodi zetu tu.
Huyo jamaa ana pigo za Choicevariable wa leo!😁

Hata Mimi nilimwambia huo ni ulaji tu wa watu,wamekusanywa UVCCM tupu hata passion na kilimo hamna mule.
 
Kmmke, halafu pesa yote hiyo ni kodi za watz.
Ng'ombe mmoja wa maziwa kiasi gani zidisha mara 5,000 uone pesa hizo zilizochotwa na kufaidisha muhuni mmoja zingesaidia watz wangapi.
Bashe ni mfanyabiashara kabla hajawa mbunge,mkuluma na mfugaji kabla ya ubunge,ni 'mtoto flani' wa rostam Aziz, rostam alipoinunua habari corporation Bashe ndiye alikua inchaji manyota
Akaja kuwa mbunge na waziri,hapo kishafanya sana biashara kenya,sudani kusini
So ng'ombe 5000 ni kidogo sana kwake, alikua na mchezo wa kununua ng'ombe dhaifu na kuwanenepesha kisha kuuza,muda sana
Ana ranch njia ya nzega-tabora,aliagiza ng'ombe 100 sauzi,sikatai kupiga lakini kudhani kapata pesa baada ya kukalia kiti wizarani si kweli
Huenda ana upigaji ndiyo maana kaachwa,au kaachwa kisa afya maana sukari ilisumbua sana juzi hapa akaenda sauzi
Mimi ni class mate wake,rafiki wa utotoni,I fiended one of his sisters
 
Ungejitahidi umpate dada yake..

Ni kweli, kabla ya siasa itakuwa alikuwa ana hela hiyo sio ishu ngeni kwa siasa za bongo, ni nadra mnoo, kupata nafasi ya ubunge ikiwa hujiwezi kiuchumi, nadra sana.

Ila katika utajiri alionao, nafadi yake ya kisiasa imempa pesa nyingi mnoo kwa namna moja ama nyingine
 
Wenyewe wanakwambia HAWAWEZI endesha Bandari ambayo meli zinakuja zenyewe.

HAWAWEZI simamia "mwendokasi" wakati abiria wako wa kutosha

Watu wa aina hiyo KAMWE wasingeweza kufanya chochote cha maana na hiyo "BBT"
 
Ungejitahidi umpate dada yake..

Ni kweli, kabla ya siasa itakuwa alikuwa ana hela hiyo sio ishu ngeni kwa siasa za bongo, ni nadra mnoo, kupata nafasi ya ubunge ikiwa hujiwezi kiuchumi, nadra sana.

Ila katika utajiri alionao, nafadi yake ya kisiasa imempa pesa nyingi mnoo kwa namna moja ama nyingine
Amina au?😅
 
Back
Top Bottom