Tumentumbua waziri kesi imeisha. Hii ndo bongo watu hawataacha kuiba aiseeNani anaweza kutupa mrejesho kuwa ule mradi wa uwekezaji kwenye Kilimo Al maarufu kama "Build Better Tomorrow -BBT" matokeo yake yamekuwa chanya au hasi?
Kmmke, halafu pesa yote hiyo ni kodi za watz.Ana ng'ombe wa maziwa over 5,000
Leo ukimuuliza Bashe muendelezo wa ule mradi atajibu kirahisi tu "siko serikalini".Wao wanahisi sie tuna chuki na serikali, hapana tunaona vibaya kodi zetu zinavyotumika..
Hizi ni mali za watz wote, zifaidishe watz wote, sio wahuni wachache.
Ukweli ni kwamba BBT ilikufa kabla haijaanza...Hakuna sera na sheria nzuri za kusimamia miradi hapa TZ, miradi yote inaendeshwa kisiasa,mwanasiasa akiondoka inakufa,hata hiyo BBT ilikuwa kisiasa.
Wanajua mapungufu ya katiba, na ndio maana hawataki kusikia ishu ya katiba mpya.Leo ukimuuliza Bashe muendelezo wa ule mradi atajibu kirahisi tu "siko serikalini".
Na hili lilikuwa ni kosa la kwanza la mradi ule... Lakini wasingefanya hivyo zile Hela ingekuwaje?Unaenda kukusanya watu amabao hawana mpango na kilimo na kuwafundisha kilimo
Kosa lilianzia hapa.Unaenda kukusanya watu amabao hawana mpango na kilimo na kuwafundisha kilimo
Mambo ya mkurabita na mkukuta 😀😄😃Ubabishaji at work, ni kama BRN ya wakati ule(Big Results now)
Yaani tunapenda kuiga mambo tusiyojua hata namna ya kuyaendeaMambo ya mkurabita 😀😄😃
Kabisa... Wenzetu wa Kenya wana mpango wa kuwa kama Singapore 😃😄😀😆Yaani tunapenda kuiga mambo tusiyojua hata namna ya kuyaendea
Na ukibisha Sasa..🤔Zile sinema za magufuli na TANZANIA YA VIWANDA......Ila CCM sijui wanatuonaje aisee!!!View attachment 3562733
Anatumia ChoiceVariable aka Dogo my take.Nadhani ni yule sunk cost fallacy sijui sa hivi anatumia ID gani, na mi nishawahi kukesha nae hapa 😅
Wanatakiwa kuelewa wakosoaji hawana nia mbaya, Tunaonea huruma kodi zetu tu.
Huyo ni kunguni mwandamizi ana ID kama nyingi humu ngoja nimuite ChoiceVariable The Sunk Cost Fallacy @The Sunk Cost Fallacy 2Nadhani ni yule sunk cost fallacy sijui sa hivi anatumia ID gani, na mi nishawahi kukesha nae hapa 😅
Wanatakiwa kuelewa wakosoaji hawana nia mbaya, Tunaonea huruma kodi zetu tu.
😆😀😄Huyo ni kunguni mwandamizi ana ID kama nyingi humu ngoja nimuite ChoiceVariable The Sunk Cost Fallacy @The Sunk Cost Fallacy 2