Hivi ile project ya Kilimo ya BBT iliishia wapi?

Inaendelea tena ziko BBT nyingi tuu Mpya mfano
-BBT mifugo
-BBT Uvuvi
-BBT Madini
Afisa...

Ulifuatilia kuhusu mbolea za ruzuku kunufaisha wafanyabiashara kuliko wakulima?

Nilikwambia mkulima wa tumbaku pale Tabora anakopa mfuko mmoja wa NPK kwa zaidi ya 150,000/=

Wakulima waliambiwa ruzuku ni mkombozi...

Matokeo yake, kama huna Cash ruzuku haifanyi kazi...

Kwa mtu anayejua hali ya wakulima wa tumbaku wa nchi hii, unategemea anaweza kununua mbolea kwa cash?

Hivi ilikuwaje baada ya Samia kuingia madarakani mbolea ikapanda ghafla kutoka 80 hadi 150?

CCM ya sasa mnajiamini nini?
 
sijaelewa unachomaanisha by ''ubaguzi'' lkn nielewavyo kila jamii inapaswa kujiweka mbele na kujipendela yenyewe kabal ya kukubali foreigners, sasa ukiona wewe unakubali foreigners wakati wao wanakukataa halafu unajiita siyo mbaguzi basi hayo ni mataizo ya akili, kwa maana kwao wanakukataa hala wewe kwenu unawapendelea na kuwaweka watu wako nyuma, hi ni moja dalili kuu za low iq society zinazotawaliwa na foreigners wakati wenyeji wakibakia chini na kukandamizwa ...
Nafikiri haujanielewa , mfano babu yangu mzaa mama ana asili ya somali , alihamia kilimanjaro na kushika maeneo hata kabla ya uhuru na ni mpigania uhuru na hata vita ya kagera kapigana , alikuja kilimanjaro kama wabantu wengine tu walivyo shika maeneo toka sehemu tofauti, sasa huyo utasema sio mtanzania?
 
Afisa...

Ulifuatilia kuhusu mbolea za ruzuku kunufaisha wafanyabiashara kuliko wakulima?

Nilikwambia mkulima wa tumbaku pale Tabora anakopa mfuko mmoja wa NPK kwa zaidi ya 150,000/=

Wakulima waliambiwa ruzuku ni mkombozi...

Matokeo yake, kama huna Cash ruzuku haifanyi kazi...

Kwa mtu anayejua hali ya wakulima wa tumbaku wa nchi hii, unategemea anaweza kununua mbolea kwa cash?

Hivi ilikuwaje baada ya Samia kuingia madarakani mbolea ikapanda ghafla kutoka 80 hadi 150?

CCM ya sasa mnajiamini nini?
Nipo tabora,nalima mpunga,mbolea ya ruzuku haigaiwi kama sahani ya wali harusini,unapaswa kuwa na namba ya mkulima,DAP tunanunua elfu 75,UREA 74,bila ruzuku ni 150000,ruzuku haimaanishi bure bali serikali imegharamia kiasi fulani
 
Nafikiri haujanielewa , mfano babu yangu mzaa mama ana asili ya somali , alihamia kilimanjaro na kushika maeneo hata kabla ya uhuru na ni mpigania uhuru na hata vita ya kagera kapigana , alikuja kilimanjaro kama wabantu wengine tu walivyo shika maeneo toka sehemu tofauti, sasa huyo utasema sio mtanzania?

kwa nini wabantu (wanaoitwa somali bantus) walirudishwa kutoka somalia wakati waliishi huko kwa zaidi ya miaka 200, jibu lake liko hapo kwenye swali lako, au unafikiri wewe unaweza kugombea ubunge na kushinda kwa kuchaguliwa na wasomali hadi kuwa waziri huko somalia? apo sijaongelea kufanya biashara na kumiliki mali somalia ...
 
Nipo tabora,nalima mpunga,mbolea ya ruzuku haigaiwi kama sahani ya wali harusini,unapaswa kuwa na namba ya mkulima,DAP tunanunua elfu 75,UREA 74,bila ruzuku ni 150000,ruzuku haimaanishi bure bali serikali imegharamia kiasi fulani
Yaani toka 80,000 hadi 150,000 na Bado unasema serekali imegharamka kiasi fulani?! Kama na mimi ningekuwa chawa kama ww ningekaa kimya tu. Yaani kuwa chawa sio lazima ukose aibu kiasi hiki.
 
Asante japo siku kulenga wewe...

Kama uko Tabora na umeona hali ya wakulima wa tumbaku ilivyo...

Unaona lengo la serikali ilikua kumnufaisha mkulima?

Hapo ulipo, ni wakulima wangapi wanaweza kununua hiyo mbolea kwa Cash?

Hiyo ruzuku ilikua ni mtego kwa wakulima ili wakishindwa kununua tuseme walishindwa wenyewe?
 
Serikali isingeweka ruzuku tungenunua mfuko wa dap na urea kwa 150000,sasa hivi tunanunua kwa 75000, hujauelewa nini?..pata kifungua kinywa kwanza
 
Asante japo siku kulenga wewe...

Kama uko Tabora na umeona hali ya wakulima wa tumbaku ilivyo...

Unaona lengo la serikali ilikua kumnufaisha mkulima?

Hapo ulipo, ni wakulima wangapi wanaweza kununua hiyo mbolea kwa Cash?

Hiyo ruzuku ilikua ni mtego kwa wakulima ili wakishindwa kununua tuseme walishindwa wenyewe?
Wakulima kipindi cha magu walinunua mbolea bila ruzuku,Wana pesa zao,siyo kwamba pasipo ruzuku hawatonunua mbolea
Serikali ilichofanya ni kuwapunguzia gharama Ili kuinua vipato na kuongeza uzalishaji
Huna sababu ya kupinga kila kitu
 
kwa nini wabantu (wanaoitwa somali bantus) walirudishwa kutoka somalia wakati waliishi huko kwa zaidi ya miaka 200, jibu lake liko hapo kwenye swali lako, au unafikiri wewe unaweza kugombea ubunge na kushinda kwa kuchaguliwa na wasomali hadi kuwa waziri huko somalia? apo sjaongelea kufanya biashara na kumiliki mali somalia ...
Ila mkuu wewe ni mbaguzi sana , huwa nasoma mada zako unapinga uislamu mno na hapa tena , ukipewa uongozi wa juu unaweza chinja usioendana nao kabisa 🤔
 
Wakulima kipindi cha magu walinunua mbolea bila ruzuku,Wana pesa zao,siyo kwamba pasipo ruzuku hawatonunua mbolea
Serikali ilichofanya ni kuwapunguzia gharama Ili kuinua vipato na kuongeza uzalishaji
Huna sababu ya kupinga kila kitu
Mkuu Tabora umeenda lini?

Usijibu kisiasa, watu wanaumia kule!

Usifikiri watavumilia siku zote...

Kipindi cha Magu mbolea ilikopwa kwa 80000 NPK bei ya kununulia ilikua hiyo hiyo au chini zaidi...
 
Mbolea ilianza kupanda bei ghafla 2020, kufikia vita vya Ukraine ikazidi na kufika hiyo 150k
Nipo tabora nalima
 
Attachments

  • IMG_20260304_170657.jpg
    IMG_20260304_170657.jpg
    1.5 MB · Views: 1
Back
Top Bottom