Na wewe kama huna la kuongea bora ufanye shughuli nyingine sura ka mbupu, video anaonekana kabisa yeye halafu unaleta habari tofautiNi yeye kweli? Majuzi kati wakati inshu ya bosi wa bandari ina trend kuna picha ilisambaa ikionesha mamilioni ya dola yakiwa chini kwenye sakafu watu wakadai yamekutwa kwake kumbe ni inshu ilitokea Nigeria huko..simtetei lakini naamini vyombo vya dola vitajiridhisha kwanza kwa hatua zaidi.