Hivi hii ni sawaa?

Hivi hii ni sawaa?

Ha! Ha! Ha! Mkuu hamieni tu. Lakini siyo ustaarabu kabisa.... Kazi Yangu kubwa itakuwa ni kukarangiza hadi sufuria zitoboke...
Si mwanangu analeta?? We pika mama nile pencheni mie, kupata ndo huku kukosa ata sikujui
 
Ila jamii zinatofautina saana.

Yaani baba mkwe uende ukalalee kwa mwanao hahahahaha hahaha... wanasema tuheshimu mila lakini tuwe tayri kubadilika ila hii ni kali yao.

N.kali ya mwaka lakin
Kwakua n.mshua wako anakuja
Kukutembelea kwako meyb anatoka
Bush kuja town hyo jeur yakunfukuza
Na kumpangia sku za kukaa
N laaana tu unajitaftia mwenywe aisee
 
Si mwanangu analeta?? We pika mama nile pencheni mie, kupata ndo huku kukosa ata sikujui
Hatari ya magonjwa ya uzeeni mkuu.. Kusukari na presha...

Tukiwapa mboga za majani na matunda mtaanza kuvuta midimo tumekatalia hela za wanenu tunawalisha majani
 
N.kali ya mwaka lakin
Kwakua n.mshua wako anakuja
Kukutembelea kwako meyb anatoka
Bush kuja town hyo jeur yakunfukuza
Na kumpangia sku za kukaa
N laaana tu unajitaftia mwenywe aisee
Mzee wangu hawezi kukaa kwangu kama nina mke. Nakuapia . Sio mim kumzuia no norms tu hawezi.
 
Mfano huyi binti alijifungua mama mkwe ana nguvu kabisa bado alikuwa hamsaidiii chochote , binti wa kazi afanye kila kitu,adeki,apike,afue,kila kitu afanye mama mkwe hata kuogesha mjukuu hakuna,,hapo mama yake mzazi akashindwa kuja kwa sababu mama mkwe wa mwanae yupo,binti ikabidi akomae tu asaidizane sasa hivi anaumwa kiuno haswaa kwa ajili ya kufanya kazi kiuno hakijakomaa kwaajili ya kujifungua
Hapo kayataka,kwan asirudi kwao kusaidiwa. Athari zake ni ataumwa sana kiuno na mgongo,na madhara huwaga ni makubwa sana kwa viungo hivo
 
Ila jamii zinatofautina saana.

Yaani baba mkwe uende ukalalee kwa mwanao hahahahaha hahaha... wanasema tuheshimu mila lakini tuwe tayri kubadilika ila hii ni kali yao.
Hii imenikumbusha rafik yangu flan hivi..hata baba ake akienda kwake kumsalimia atalala usiku mmoja tu!

kesho yake ataondoka wakat mwingine ataenda kusalimia lkn atalala hotelini yy baba yake husema hivi si vizur kulala nyumba moja na mtoto aliyeolewa/kuoa maana kila familia ina taratibu zake.

Mama mkwe wake sasa.! kiruuuu atakaa hata miez mitatu had mumewe anamfata kwa maneno mengi lkn mama mkwe hakomi!

jaman daaaah..hizi mila hizi..mbureee
 
Mkuu hizi ni mila ila naona zipo vizuri saana. Ni aibu baba kwenda kwa wanao waliooana. Mama naye akienda pawepo na la msingi. Na ni utaratibu mzuri kabisa sijui kwanini watu wanaona ni kutokuwapenda wazazi.
 
Lakini wazazi wa kiume hawana tabia hizi asee...sijui kwann wazazi wa kike!

au ndo kubeba mimba miezi tisa?...haya sawa sawa....ila ni vyema kuwe na amani kwa house
 
Lakini wazazi wa kiume hawana tabia hizi asee...sijui kwann wazazi wa kike!

au ndo kubeba mimba miezi tisa?...haya sawa sawa....ila ni vyema kuwe na amani kwa house
Wababa hawana hizoo kabisaaa
 
Mkuu hizi ni mila ila naona zipo vizuri saana. Ni aibu baba kwenda kwa wanao waliooana. Mama naye akienda pawepo na la msingi. Na ni utaratibu mzuri kabisa sijui kwanini watu wanaona ni kutokuwapenda wazazi.
Mkuu sijui dhana ya kutowapenda wazazi inakuja vipi hapa! Ila kweli tupu wazazi karibuni ila ni muhimu kuwe na taratibu nzuri!
 
Ni utovu wa nidhamu na ukwepaji majukumu ya kifamilia kwa mwanamke kutelekeza mume na kukimbilia kwa watoto kuishi huko miezi. Maandiko kwa wakristo hayaruhusu kabisa.
umejuaje, pengine huyo mama mkwe ni mjane, alihangaika kusomesha mtoto wake, ameona upweke amesema akapumzishe mawazo kwa mtoto wake, .....mwanamke aliyemvuna mtoto wake wamekutana ukubwani anakula tu vitu hajui alisomasomaje, nani alimsomesha, mama alitoa mchango gani haelewi, anachojua yeye ni kuwa mamamkwe aondoke. hivi unafikiri mimi naweza kumsaliti mama yangu mzazi kwasababu ya mwanamke? hata kama huyo mwanamke nimezaa naye na watoto mama bado ni mama ana nafasi yake ya kwanza. bora aondoke mwanamke nibaki na mamangu kwasababu nimetoka naye mbali, amenisomesha kwa shida afu huyu mwanamke nimekutana naye ukubwani ndio anaona ananimilikiiii?ah wapi, siwezi kuruhusu.
 
Mama ni mama siyo hakuna pingamizi... Ila mmh wazazi au mzazi kukaa kwa mwanawe wa kiume kwa muda wote huo... Yani mama mkwe...

Kaaazii kweli kweli... Kazi ipo... Maelewano yatakuwa sifuri..

Inahitaji uvumilivu na busara ya hali ya juu...

Cc: mahondaw

Haya mambo ya wakwe yana changamoto zake pia
Juzi kuna mamakwe wa jirani alikuja kwa mwanae wa kiume kuleta dawa ya mjukuu wake aliungua.
Jamani huwezi amini Nilisikia mama mtu akimwambia mwanae wa kiume kuwa kwanini hakumpiga mkewe kwa uzembe lol mama mkwe nuksi Yulee. Anasema sema kila dakika mpaka mkamwana wake anachukia
Na hata huyo mkamwana nae hapendi kabisa kukaa ukweni
Sijui ni kwanini haya mambo ya yanakua hivi jamani
 
Naweza sema ni ile mzazi/wazazi kujaribu ku control maisha ya famila na ndoa ya mtoto wao...
 
Mama mkwe kukaa kwa mwinga wake miezi 6 ,,jamani wake zenu wengi hawapendi hili kuna mdada nimemtembelea analalamika anasema mama mkwe wake yupo pale kwake mwezi unaenda huu wa sita anasema hana raha ya ndoa kabisaa kwani mama mkwe anakuwa anamsema kwa ndugu yaan maneno hayaishi ,sasa nachojiuliza ni haki mama mkwe kuishi kwa wanae muda mrefu kiasi kile hata kama ni mama mzazi,halaf mama mkwe kaacha kwake na mmewe kamuacha tu peke yake
Yaan mama mkwe kageuza imekuwa kwake ,,,kwenye ndoa kuna mengi jamanii

Au ni haki labda pengine wake zenu wanakosea ,
Mbona yoseph anaish kwa mkwe wake mbinguni.
Amnaga akili uchoyo tu ndo umewaaandama
 
Ni haki yake jmn hujui wanawe kawalea kwa shida gn. Sasa leo wamepata manufaa wanufaike wengne, looh me mwanangu akioa naenda kuhamia kabisa, shida nnayoipata Sasa kumtengenezea nice future naijua mm na ole wake uyo mkamwana alete vijineno atajuta...
Umetisha
 
"Mwanamke mjinga ataivunja ndoa yake kwa mikono yake ye mwenyewe" mwisho wa kunukuu
 
Sio mimi, kwanza mimi atakaenioa atapata bahati sana mim nikimpenda Mwanaume napenda na ndugu zake ndio fomula niliyonayo ,,,kwa upande wangu naweza kuishi na mama wa mme wangu na namlea tu vyemaa,ila haswaaa nikiwa nampenda huyo mme ,,,lazima nipende anachopenda mme wangu

Kwa hiyo unampenda mama Spartakas?

Spartakas kiboko ya DinaZ😀....

Mama Ngabu ye humpendi?😉
 
Back
Top Bottom