Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,195
Siwachukii, kama anakuja kukaa kwa amani hakuna tatizo. Shida ni hizo figisu figisu zao. Alafu mtu ana kwake na kamuacha mumewe muda wote huo kweli!!!
Mimi na wewe tuna utofauti kumbe eeh. Wewe unaruhusu akae.
Sasa hizo figisu si majaliwa shemeji.
Suala kwanini aje akae tena kwa muda mrefu hivyo? Kama kusalimia 1 week inatosha. Kama sherehe matibabu na mambo mengine sawa. Ila eti aje akae tuuu
