Hivi hawa wazungu kuhusu maadili ya binadamu nani kawaloga?

kmbwembwe

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
10,425
7,212
Rais wa Ufaransa mkewe ni kikongwe wa umri wa kumzaa yeye. Alikuwa mwalimu wake chuo kikuu.

Huyo huyo Rais wa Ufaransa juzi hapa kamteua kijana shoga kuwa Waziri Mkuu wa nchi yake kisha huyo shoga kamteua mume wake yaani basha wake kuwa Waziri wa Mambo ya nje wa nchi hiyo.

Hivi ni vituko vya kutosha hata kwa hao wazungu wenyewe. Somo gani linatumwa kwa watoto na kwa walimwengu kwa ujumla.

Kwamba ushoga sasa liwe si jambo la kujificha wala chukizo kwa Mungu na binadamu. La kujiuliza nani kawafunga mdomo watu hadi vinaundwa vikosi kazi kwa siri na nchi za Magharibi kukuza ushoga.

Yaani kijana wako lijali kwa hila na black mail anageuzwa shoga?

Mwaka jana niliwahi kuona clip ya video Waziri mmoja wa Canada akitangaza kwenye mkutano yeye ni shoga na mumewe kamuonyesha alikuwa hapo kwenye mkutano.

Kwanza mkutano ulikuwa hauna uhusiano wowote na mada ya ushoga.

Huku Tanzania tumeshajua kuhusu mitandao ya kueneza ushoga ikiletwa na wazungu.

Haya ni mambo walimwengu tuvalie kibwebwe kupinga maana huko magharibi binadamu wamezidiwa nguvu na waovu lakini kwa hakika hawapendi ubinadamu kudhihakiwa kiasi hicho. Tuwakamate wahusika wenyewe maana serikali zinaogopa wazungu.
 
chukizo kwa mungu
Kwa asiye amini uwepo wa Mungu hilo ni nje kabisa kwake. Kwa anyeamini you are correct Lakini dunia inakwenda mbio sana tena sana! Kitu ambacho hakitafanyika ni kunywa Cyanide ukijua fika kuwa utakufa N na hutak kufa ukainywa (UNLESS UNATAKA KUFA). VINGINE VYOTE VITAFANYIKA KATIKA ULIMWENGU HUU WA AI INAYOKUJA NA MABADILIKO YA WANADAMU AS TIME GOES ON
 
Rais wa Ufaransa mkewe ni kikongwe wa umri wa kumzaa yeye. Alikuwa mwalimu wake chuo kikuu.

Huyo huyo Rais wa Ufaransa juzi hapa kamteua kijana shoga kuwa Waziri Mkuu wa nchi yake kisha huyo shoga kamteua mume wake yaani basha wake kuwa Waziri wa Mambo ya nje wa nchi hiyo.

Hivi ni vituko vya kutosha hata kwa hao wazungu wenyewe. Somo gani linatumwa kwa watoto na kwa walimwengu kwa ujumla.

Kwamba ushoga sasa liwe si jambo la kujificha wala chukizo kwa Mungu na binadamu. La kujiuliza nani kawafunga mdomo watu hadi vinaundwa vikosi kazi kwa siri na nchi za Magharibi kukuza ushoga.

Yaani kijana wako lijali kwa hila na black mail anageuzwa shoga?

Mwaka jana niliwahi kuona clip ya video Waziri mmoja wa Canada akitangaza kwenye mkutano yeye ni shoga na mumewe kamuonyesha alikuwa hapo kwenye mkutano.

Kwanza mkutano ulikuwa hauna uhusiano wowote na mada ya ushoga.

Huku Tanzania tumeshajua kuhusu mitandao ya kueneza ushoga ikiletwa na wazungu.

Haya ni mambo walimwengu tuvalie kibwebwe kupinga maana huko magharibi binadamu wamezidiwa nguvu na waovu lakini kwa hakika hawapendi ubinadamu kudhihakiwa kiasi hicho. Tuwakamate wahusika wenyewe maana serikali zinaogopa wazungu.
Rubbish.
 
Wazungu wana mambo mengi mazuri kuliko sisi hilo la ushoga tuwaachie wao tuchukue yale mazuri tu.
Engekua na sisi wametuacha na yetu ingekua poa. Tatizo wao wameweka mkakati na resources kukuza ushoga ku promote na wanatumia hila chafu kuingiza watoto na vijana wetu kwenye ushoga. Hilo ndio tatizo..sijui unanielewa au nirudie.😭😭
 
Huyohuyo rais wa ufaransa juzi hapa kamteua kijana shoga kua waziri mkuu wa nchi yake kisha huyo shoga kamteua mume wake yaani basha wake kua waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyo.
Hii ni side effect ya Democracy..... yaani kura unapigiwa na wananchi so kama na wao wana embrace ndoa za jinsia moja n.k huna namna zaidi ya kuteua mmoja wao ili uzoe kura. Na hii ipo hata Democrats wa US Wako pale kupigania kura za hao liberals wanaotaka ndoa za jinsia moja, haki sawa za wanawake, emancipation ya black community n.k

Tofauti huku Afrika hatuhitaji "kura" za wananchi ili kupata Rais na pia hatuna pride commuñity kubwa kuweza kujaza pressure kwa wanasiasa!! so risk ya kufika huko ni ndogo kuliko tunavyoikuzaga humu.
 
Engekua na sisi wametuacha na yetu ingekua poa. Tatizo wao wameweka mkakati na resources kukuza ushoga ku promote na wanatumia hila chafu kuingiza watoto na vijana wetu kwenye ushoga. Hilo ndio tatizo..sijui unanielewa au nirudie.😭😭
Wamepromote ushoga wapi? Wao wana embrace culture yao kwa ajili ya audience yao wenyewe hawajawahi lazimisha uangalie movie au cartoon zao. Ni ushamba wetu kukumbatia mambo yao.
 
Rais wa Ufaransa mkewe ni kikongwe wa umri wa kumzaa yeye. Alikuwa mwalimu wake chuo kikuu.

Huyo huyo Rais wa Ufaransa juzi hapa kamteua kijana shoga kuwa Waziri Mkuu wa nchi yake kisha huyo shoga kamteua mume wake yaani basha wake kuwa Waziri wa Mambo ya nje wa nchi hiyo.

Hivi ni vituko vya kutosha hata kwa hao wazungu wenyewe. Somo gani linatumwa kwa watoto na kwa walimwengu kwa ujumla.

Kwamba ushoga sasa liwe si jambo la kujificha wala chukizo kwa Mungu na binadamu. La kujiuliza nani kawafunga mdomo watu hadi vinaundwa vikosi kazi kwa siri na nchi za Magharibi kukuza ushoga.

Yaani kijana wako lijali kwa hila na black mail anageuzwa shoga?

Mwaka jana niliwahi kuona clip ya video Waziri mmoja wa Canada akitangaza kwenye mkutano yeye ni shoga na mumewe kamuonyesha alikuwa hapo kwenye mkutano.

Kwanza mkutano ulikuwa hauna uhusiano wowote na mada ya ushoga.

Huku Tanzania tumeshajua kuhusu mitandao ya kueneza ushoga ikiletwa na wazungu.

Haya ni mambo walimwengu tuvalie kibwebwe kupinga maana huko magharibi binadamu wamezidiwa nguvu na waovu lakini kwa hakika hawapendi ubinadamu kudhihakiwa kiasi hicho. Tuwakamate wahusika wenyewe maana serikali zinaogopa wazungu.
Ufaransa taifa la majuha ndiyo maana Otto Von Bismark aliyatandika akayanyang'anya baadhi ya maeneo ya nchi yao. Hitler pia aliyachapa sana. Uingereza akayapora koloni la Sudan na Ibrahim Traore kayatimua.
 
Engekua na sisi wametuacha na yetu ingekua poa. Tatizo wao wameweka mkakati na resources kukuza ushoga ku promote na wanatumia hila chafu kuingiza watoto na vijana wetu kwenye ushoga. Hilo ndio tatizo..sijui unanielewa au nirudie.😭😭
Usirudie mkuu imetosha.
 
Rais wa Ufaransa mkewe ni kikongwe wa umri wa kumzaa yeye. Alikuwa mwalimu wake chuo kikuu.

Huyo huyo Rais wa Ufaransa juzi hapa kamteua kijana shoga kuwa Waziri Mkuu wa nchi yake kisha huyo shoga kamteua mume wake yaani basha wake kuwa Waziri wa Mambo ya nje wa nchi hiyo.

Hivi ni vituko vya kutosha hata kwa hao wazungu wenyewe. Somo gani linatumwa kwa watoto na kwa walimwengu kwa ujumla.

Kwamba ushoga sasa liwe si jambo la kujificha wala chukizo kwa Mungu na binadamu. La kujiuliza nani kawafunga mdomo watu hadi vinaundwa vikosi kazi kwa siri na nchi za Magharibi kukuza ushoga.

Yaani kijana wako lijali kwa hila na black mail anageuzwa shoga?

Mwaka jana niliwahi kuona clip ya video Waziri mmoja wa Canada akitangaza kwenye mkutano yeye ni shoga na mumewe kamuonyesha alikuwa hapo kwenye mkutano.

Kwanza mkutano ulikuwa hauna uhusiano wowote na mada ya ushoga.

Huku Tanzania tumeshajua kuhusu mitandao ya kueneza ushoga ikiletwa na wazungu.

Haya ni mambo walimwengu tuvalie kibwebwe kupinga maana huko magharibi binadamu wamezidiwa nguvu na waovu lakini kwa hakika hawapendi ubinadamu kudhihakiwa kiasi hicho. Tuwakamate wahusika wenyewe maana serikali zinaogopa wazungu.
da!!!! noma sana jamaa!!!
 
Hii ni side effect ya Democracy..... yaani kura unapigiwa na wananchi so kama na wao wana embrace ndoa za jinsia moja n.k huna namna zaidi ya kuteua mmoja wao ili uzoe kura. Na hii ipo hata Democrats wa US Wako pale kupigania kura za hao liberals wanaotaka ndoa za jinsia moja, haki sawa za wanawake, emancipation ya black community n.k

Tofauti huku Afrika hatuhitaji "kura" za wananchi ili kupata Rais na pia hatuna pride commuñity kubwa kuweza kujaza pressure kwa wanasiasa!! so risk ya kufika huko ni ndogo kuliko tunavyoikuzaga humu.
Umesema pride community ni ndogo. Je kuweka wao mkakati kuikuza huku afrika ndio kukuza demokrasia yetu au kutuingizia tamadumi mbaya kwetu. Tangu kale na hadi leo ushoga ni chukizo kwa jamii..au utabisha kuhusu hilo?
 
Hakuna mzungu anayekuja kukushika ufanye ushoga, ifike mahala tujitambue wenyewe. Ushoga huwa unafanywa na watu wanaopenda kwa kukubaliana wenyewe.wao wanasema watu wapewe uhuru. Kwanini serikali isichukue jitihada kama kweli unataka kuondokana na janga hili? Hakuna cha wazungu wala nini waafrika huwa tuna tatizo la kumtupia mtu lawama ndio maana tumejaa umaskini badala ya kutafuta suluhisho.
Mama samia aliongea kuna vzuri vya kujifunza kutoka kwao na vitu visivyofaa tuachane navyo
HAKUNA MZUNGU ANAYELAZIMISHA MTU AU KUKAMATA WATU NA KUWAAMBIA WAFANYE USHOGA UKISHINDWA KUSIMAMIA FAMILIA YAKO HILO NI LA KWAKO MWENYEWE NI MALEZI NA KUOMBA MUNGU FULL STOP.
 
Wamepromote ushoga wapi? Wao wana embrace culture yao kwa ajili ya audience yao wenyewe hawajawahi lazimisha uangalie movie au cartoon zao. Ni ushamba wetu kukumbatia mambo yao.
Wewe sijui ulikua wapi wakati mwaka jana hapa nchini mwakembe akiongoza watafiti wakujitolea wamekuja na taarifa refu iliyoshitua kuhusu NGOs zinazokua funded na wamarekani kwa ajili ya kueneza ushoga.
 
Back
Top Bottom