Hivi hawa watu wako wapi?Njoo tujuzane wako wapi

GBWA-20181010195717.jpeg
 
Wale mliosoma feza boys mliokua naongoza 'Pure mathematics na kupata 'A' za Physics maisha yanaendeleaje hapo SpaceX anaendeleaje Elon musk hajambo???, tuliosoma marian boy's tupo hapa Intel tuna develop processor core i11.

Na wale mabigwa wa wakufufuka (kusoma usiku mpaka kesho asubuhi) mnaendeleaje hapo mbinguni??, malaika gabriel anaendeleaje??
 
Wakuu
Baada ya kutuma salamu zangu.sasa nawaletea ushuhuda
Wakati nasoma o level kuna boya alijidai sana shule kunoga .meza amejaza vitabu na daftari anatumia meza mbili peke yake
Na ma sifa mengi.unakuta muda wa break umefika ila yeye anaendelea tu kuuliza maswali
Basi bwana tukamaliza akatoka na div 1 mimi na jamaa zangu div 2
Kufika advance yule mjinga alipata division 0
Advance imedhalilisha wengi sana waliochomoa vizuri Olevel
 
Wale mliosoma feza boys mliokua naongoza 'Pure mathematics na kupata 'A' za Physics maisha yanaendeleaje hapo SpaceX anaendeleaje Elon musk hajambo???, tuliosoma marian boy's tupo hapa Intel tuna develop processor core i11.

Na wale mabigwa wa wakufufuka (kusoma usiku mpaka kesho asubuhi) mnaendeleaje hapo mbinguni??, malaika gabriel anaendeleaje??
hahahaa naamin watatupa mrejesho huyo Elon musk ana yapi mapya
 
Back
Top Bottom