Wachezaji hawa baada ya kuondoka Yanga maneno ya watu yakawa hivi

Muite

JF-Expert Member
Sep 10, 2013
2,347
4,807
1. Feisal
Maneno ya watu:
Yanga kwisha habari yake, hawapati kiungo kama Fei toto.

2. Mayele.
Maneno ya watu:
Huu sasa ndio mwisho wa utopolo, aliyekuwa anawabeba kaamua kusepa. This time utopolo hata nafasi ya 3 hafiki, tena mashindano ya Caf haingii makundi.

3. Djuma Shabani na Yanick.

Maneno ya watu.
Hivi hawa Yanga wanajitambua kweli, kweli utopolo ni utopolo tu.

Niseme tu sasa kuwa " KIKO WAPI, KIKO WAPI NYIE MAKOLO????

Halafu niwapongeze Mayele, Shabani na Yanick kwa kuondoka kwa HESHIMA.

Lakini kale kajamaa kalikoondoka kwa kiburi , nyodo na povu nikaulize je unaichungulia Yanga ukiwa lambalamba sehemu gani. Feisal na wapambe wako " KIKO WAPI????!
 
20231103_210540.jpg

Kiko wapi? 😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom