The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 7,442
- 10,233
Heheh....Wale waliokuwa wanagawa chakula maisha yanaendaje hapo serena hotel
Heheh....Wale waliokuwa wanagawa chakula maisha yanaendaje hapo serena hotel
Hahah!Wale mliokuwa mnacheza mpira wa miguu kwa sifa ili mpendwe na mademu maisha yanaendaje huko Barcelona?
Sasa hivi ukikutana nao unaweza kuwanyang'anya hivyo vyeti aseeWale mliopewa zawadi ya nidhamu/upole mambo ni vip hapo mbinguni
WamebadilikaSasa hivi ukikutana nao unaweza kuwanyang'anya hivyo vyeti asee
sana kiukweli,Wamebadilika
Haha haaa...nimecheka sanWale mliokuwa mnasifika kwa usafi shuleni maisha vipi hapo WCB?
Mungu anakuona mkuuwale waliokuwa ma Dom leader maisha yanaendaje hapo shirika la nyumba la Taifa??
ha ha ha ha ulikua dom leader nini??Mungu anakuona mkuu
Ndioha ha ha ha ulikua dom leader nini??