HahahahWale mliokuwa mnacheza mpira wa miguu kwa sifa ili mpendwe na mademu maisha yanaendaje huko Barcelona?
Ziwafikie Kwa KweliWale waliokuwa wanaiba mashuka ya wenyewe.... Vp hapo urafiki,
salamu zitawafikia mkuu.Wale wababe wa hesabu mko wap wachina wanatunyanyasa huku site
Nadhani hao na Judge wetu mpendwa Lubuva wanafahamiana vemaWale waliokua wanajipendekeza kuandika majinaya wapiga kelele akat ilikua kazi ya montress darasani....mwaka 2015 mlichaguliwa kituo gani cha kuandikisha wapiga kura??? Au mlitemwa!!!
HahahahWale mliopewa zawadi ya nidhamu/upole mambo ni vip hapo mbinguni
Hahahah
Salamu Zimewafikia Kwa Kweli.
hahaaaaa nazijua mwenyeweAkili zako fupi sana mkuu
karibu mkuumkuu niruhusu nikupm nije na vpimo nijye ni kwel au hapana
Wale mliokuwa mnagonga kengele mashuleni, maisha yanaendeleaje hapo garage
Wale vmliokuwa viongozi Wa TYCS mashuleni maisha yanaendeleaje huko VATICAN papa hajambo
Wale vmliokuwa viongozi Wa TYCS mashuleni maisha yanaendeleaje huko VATICAN papa hajambo