Kuipigana na Israel ni kutafuta kifo chako na cha watu wako!

neno ni upanga

Senior Member
Jun 28, 2022
189
725
Kwa historia ya Israel na jinsi historia ilivyo, taifa lolote linalotaka ugomvi na Israel halikuwahi kushinda, badala yake waliangukia pua, leo hii Hamas wamechokoza wenyewe, lakini mpaka sasa hasara walioingia ni kubwa mno kuliko wasingelianzisha, pamoja na hicho nchi nyingi za kiarabu wanataka Israel iache kushambulia Civilians people lakini ukiwauliza tofauti ya magaidi na hao civilian people ni ipi hawajui!

Udini umewajaa, na hii ndio shida ya hawa waabudu Allah! Wao wanajiangalia wao tu, nyie mmeteka mateka wa watu mmekaa nao! Halafu mnataka nyie msipigwe kwa nini sasa msiwarudishie mateka wao? Kwani shida ni nini?

Hao hao magaidi wana familia zao, ndugu zao, na hao hao jamaa zao ndio waliokuwa wanashangilia siku ile ya kutekwa kwa raia wa Israel! Leo hii wanalia lia! Kwa nini wasiandamane kushinikiza waisrael kuachiwa ili wao wawe huru!

Ni ukweli usiopingika kuwa hata waarabu wote duniani wakiungana hawawezi kuishinda Israel kwa sababu Israel ni taifa teule la Mungu, na Mungu ( yaweh) huwa anawashindia kila vita yote inayopangwa dhidi yao! Ukiua waisrael 10 jua kwamba watu wako zaidi ya 100 watakufa! Hiyo ni kibiblia, na mpaka leo ipo hivyo!

Hamas waliua watu zaidi ya 1400 wa Israel, kwa hesabu hizo ni lazima wapalestina wafe zaidi ya 14000! Kwa sababu Mungu wa Israel ndiye Mungu muumba mbingu na nchi kwake kuna amani, upendo na furaha, kisasi analipa yeye, yeye hujipigania, hapiganiwi, yeye hujitetea, hatetewi, ndo nchi nyingi za kikiristo zina amani tele, maana yeye akiwapo eneo, eneo hilo linakuwa na amani tele!

Anaitwa Mfalme wa Amani, na Bwana wa vita! Sio hawa wanaosema wanampigania mtume! Wakati huyo mtume yupo hawajui yupo wapi

Tofauti zetu wakristo na waislam zipo hapa! Na ndizo zinazoendelea hata huko gaza

QUARAN AL_ Mumtahana60:1 - Enyi mlio amini! Msiwafanye adui zangu na adui zenu kuwa marafiki mkiwapa mapenzi, na hali wao wamekwisha ikataa haki iliyo kujieni, wakamfukuza Mtume na nyinyi kwa sababu mnamuamini Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wenu. Mnapotoka kwa ajili ya Jihadi katika Njia yangu na kutafuta radhi yangu, mnafanya urafiki nao kwa siri, na Mimi nayajua mnayo yaficha na mnayo dhihirisha. Na mwenye kufanya hayo kati yenu basi ameipotea njia ya sawa).

Luka 6:27-28,32-33,35-36
[27] Lakini nawaambia ninyi mnaosikia, Wapendeni adui zenu, watendeeni mema wale ambao wawachukia ninyi.

[28] Wabarikieni wale ambao wawalaani ninyi, waombeeni wale ambao wawaonea ninyi.

[32] Maana mkiwapenda wale wawapendao ninyi, mwaonyesha fadhili gani? Kwa kuwa hata wenye dhambi huwapenda wale wawapendao.

[33] Nanyi mkiwatendea mema wale wawatendeao mema, mwaonyesha fadhili gani? Hata wenye dhambi hufanya vivyo hivyo.

[35] Bali wapendeni adui zenu, tendeni mema, na kukopesha msitumaini kupata malipo, na thawabu yenu itakuwa nyingi; nanyi mtakuwa wana wa Aliye juu, kwa kuwa yeye ni mwema kwa wasiomshukuru, na waovu.

[36] Basi, iweni na huruma, kama Baba yenu alivyo na huruma.
 
Unaua watoto, wanawake halafu unajiita taifa teule, huyo mungu gani anaewateua wauaji, Watoto wanaokufa wamemkosea nini huyo mungu wa taifa teule?
 
Elimu ndio inakusumbua muache kumezeshwa ujinga na wazungu muwe mnachuja mambo kabla ya kuyapokea, waulize hao waliokudanganya mbona walipigwa mwaka 2006 hadi marekani kaenda kuomba cease fire
 
Kwa historia ya Israel na jinsi historia ilivyo, taifa lolote linalotaka ugomvi na Israel halikuwahi kushinda, badala yake waliangukia pua, Leo hii hamas wamechokoza wenyewe, lakini mpaka sasa hasara walioingia ni kubwa mno kuliko wasingelianzisha, pamoja na hicho nchi nyingi za kiarabu wanataka Israel iache kushambulia Civilians people lakini ukiwauliza tofauti ya magaidi na hao civilian people ni ipi hawajui!

Udini umewajaa, na hii ndo shida ya hawa waabudu Allah! Wao wanajiangalia wao tu, nyie mmeteka mateka wa watu mmekaa nao! Alafu mnatka nyie msipigwe kwa nini sasa msiwarudishie mateka wao???? Kwani shida ni nini???

Hao hao magaidi wana familia zao, ndugu zao, na hao hao jamaa zao ndio waliokuwa wanashangilia siku ile ya kutekwa kwa raia wa Israel!! Leo hii wanalia lia! Kwa nini wasiandamane kushinikiza waisrael kuachiwa ili wao wawe huru!

Ni ukweli usiopingika kuwa hata waarabu wote duniani wakiungana hawawezi kuishinda Israel kwa sababu Israel ni taifa teule la Mungu, na Mungu ( yaweh) huwa anawashindia kila vita yote inayopangwa dhidi yao! Ukiua waisrael 10 jua kwamba watu wako zaidi ya 100 watakufa! Hiyo ni kibiblia, na mpaka Leo ipo hivyo!

Hamas waliua watu zaidi ya 1400 wa Israel, kwa hesabu hizo ni lazima wapalestina wafe zaidi ya 14000! Kwa sababu Mungu wa Israel ndiye Mungu muumba mbingu na nchi kwake kuna amani, upendo na furaha, kisasi analipa yeye, yeye hujipigania, hapiganiwi, yeye hujitetea, hatetewi, ndo nchi nyingi za kikiristo zina amani tele, maana yeye akiwapo eneo, eneo hilo linakuwa na amani tele!

Anaitwa Mfalme wa Amani, na Bwana wa vita! Sio hawa wanaosema wanampigania mtume! Wakati huyo mtume yupo hawajui yupo wapi

Tofauti zetu wakristo na waislam zipo hapa! Na ndizo zinazoendelea hata huko gaza

QUARAN AL_ Mumtahana60:1 - Enyi mlio amini! Msiwafanye adui zangu na adui zenu kuwa marafiki mkiwapa mapenzi, na hali wao wamekwisha ikataa haki iliyo kujieni, wakamfukuza Mtume na nyinyi kwa sababu mnamuamini Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wenu. Mnapotoka kwa ajili ya Jihadi katika Njia yangu na kutafuta radhi yangu, mnafanya urafiki nao kwa siri, na Mimi nayajua mnayo yaficha na mnayo dhihirisha. Na mwenye kufanya hayo kati yenu basi ameipotea njia ya sawa)

Luka 6:27-28,32-33,35-36
[27]Lakini nawaambia ninyi mnaosikia, Wapendeni adui zenu, watendeeni mema wale ambao wawachukia ninyi,

[28]wabarikieni wale ambao wawalaani ninyi, waombeeni wale ambao wawaonea ninyi.

[32]Maana mkiwapenda wale wawapendao ninyi, mwaonyesha fadhili gani? Kwa kuwa hata wenye dhambi huwapenda wale wawapendao.

[33]Nanyi mkiwatendea mema wale wawatendeao mema, mwaonyesha fadhili gani? Hata wenye dhambi hufanya vivyo hivyo.

[35]Bali wapendeni adui zenu, tendeni mema, na kukopesha msitumaini kupata malipo, na thawabu yenu itakuwa nyingi; nanyi mtakuwa wana wa Aliye juu, kwa kuwa yeye ni mwema kwa wasiomshukuru, na waovu.

[36]Basi, iweni na huruma, kama Baba yenu alivyo na huruma.
1698997103281.png
 
Elimu ndio inakusumbua muache kumezeshwa ujinga na wazungu muwe mnachuja mambo kabla ya kuyapokea, waulize hao waliokudanganya mbona walipigwa mwaka 2006 hadi marekani kaenda kuomba cease fire
Ona Alsahhaf (chemical ali)mwingine huyu!
 
Sawa ila muambie netanyahu atoke mafichoni, hata israel wakati anapigwa na hezbollah 2006 alituma false information kwa marekani kwamba tunawamudu mwisho wa siku aibu iliyompata ilibidi marekani aombe cease fire
 
Israel iendelee kupambana na magaidi wa hamas na wale watanzania wenzetu walio tekwa na hao magaidi wakombolewe inshallah.
 
Kwa historia ya Israel na jinsi historia ilivyo, taifa lolote linalotaka ugomvi na Israel halikuwahi kushinda, badala yake waliangukia pua, leo hii Hamas wamechokoza wenyewe, lakini mpaka sasa hasara walioingia ni kubwa mno kuliko wasingelianzisha, pamoja na hicho nchi nyingi za kiarabu wanataka Israel iache kushambulia Civilians people lakini ukiwauliza tofauti ya magaidi na hao civilian people ni ipi hawajui!

Udini umewajaa, na hii ndio shida ya hawa waabudu Allah! Wao wanajiangalia wao tu, nyie mmeteka mateka wa watu mmekaa nao! Halafu mnataka nyie msipigwe kwa nini sasa msiwarudishie mateka wao? Kwani shida ni nini?

Hao hao magaidi wana familia zao, ndugu zao, na hao hao jamaa zao ndio waliokuwa wanashangilia siku ile ya kutekwa kwa raia wa Israel! Leo hii wanalia lia! Kwa nini wasiandamane kushinikiza waisrael kuachiwa ili wao wawe huru!

Ni ukweli usiopingika kuwa hata waarabu wote duniani wakiungana hawawezi kuishinda Israel kwa sababu Israel ni taifa teule la Mungu, na Mungu ( yaweh) huwa anawashindia kila vita yote inayopangwa dhidi yao! Ukiua waisrael 10 jua kwamba watu wako zaidi ya 100 watakufa! Hiyo ni kibiblia, na mpaka leo ipo hivyo!

Hamas waliua watu zaidi ya 1400 wa Israel, kwa hesabu hizo ni lazima wapalestina wafe zaidi ya 14000! Kwa sababu Mungu wa Israel ndiye Mungu muumba mbingu na nchi kwake kuna amani, upendo na furaha, kisasi analipa yeye, yeye hujipigania, hapiganiwi, yeye hujitetea, hatetewi, ndo nchi nyingi za kikiristo zina amani tele, maana yeye akiwapo eneo, eneo hilo linakuwa na amani tele!

Anaitwa Mfalme wa Amani, na Bwana wa vita! Sio hawa wanaosema wanampigania mtume! Wakati huyo mtume yupo hawajui yupo wapi

Tofauti zetu wakristo na waislam zipo hapa! Na ndizo zinazoendelea hata huko gaza

QUARAN AL_ Mumtahana60:1 - Enyi mlio amini! Msiwafanye adui zangu na adui zenu kuwa marafiki mkiwapa mapenzi, na hali wao wamekwisha ikataa haki iliyo kujieni, wakamfukuza Mtume na nyinyi kwa sababu mnamuamini Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wenu. Mnapotoka kwa ajili ya Jihadi katika Njia yangu na kutafuta radhi yangu, mnafanya urafiki nao kwa siri, na Mimi nayajua mnayo yaficha na mnayo dhihirisha. Na mwenye kufanya hayo kati yenu basi ameipotea njia ya sawa).

Luka 6:27-28,32-33,35-36
[27] Lakini nawaambia ninyi mnaosikia, Wapendeni adui zenu, watendeeni mema wale ambao wawachukia ninyi.

[28] Wabarikieni wale ambao wawalaani ninyi, waombeeni wale ambao wawaonea ninyi.

[32] Maana mkiwapenda wale wawapendao ninyi, mwaonyesha fadhili gani? Kwa kuwa hata wenye dhambi huwapenda wale wawapendao.

[33] Nanyi mkiwatendea mema wale wawatendeao mema, mwaonyesha fadhili gani? Hata wenye dhambi hufanya vivyo hivyo.

[35] Bali wapendeni adui zenu, tendeni mema, na kukopesha msitumaini kupata malipo, na thawabu yenu itakuwa nyingi; nanyi mtakuwa wana wa Aliye juu, kwa kuwa yeye ni mwema kwa wasiomshukuru, na waovu.

[36] Basi, iweni na huruma, kama Baba yenu alivyo na huruma.
Sio kweli Israel kuna vita alishinda , kuna vita alishindwa , kuna wakati walifanywa mpaka watumwa na vitendea kazi, israel ameteseka sana Ulaya kule , kwasasa Israel anapigana na wapinzani dhaifu ambao hawana teknolojia ya kutosha kuliko wao, hakuna cha ziada hapo sasa kama hao Hamas hawana hata Air defense system moja hilo nalo utaita jeshi la kusumbuana nalo!!!!
 
Israel iendelee kupambana na magaidi wa hamas na wale watanzania wenzetu walio tekwa na hao magaidi wakombolewe inshallah.
Mateka watatoka kwa kubadilishana wafungwa tu lakini hzo njia anazotaka kutumia nikupoteza muda tu.
 
Kama mungu ana uwezo wa kushinda vita, kwa nini asizuie mauaji ya watoto?
Mawazo yako wewe sio mawqzo ya Mungu! Hata wakati wa nuhu watoto wote waliangamizwa!! Vita haichagui mtoto wala mtu mzima! Kasome biblia yote uone kama watoto waliokolewa ilipotokea vitq! Ndo unapoanzissha vita lazima uhesabu gharama! Sio kuanzisha vita alafu ufikiri kwamba bomu litabagua mtoto utakuwa unajidanganya! Wao mbona wanarusha drone kwenda Israel huko hakuna watoto???? Waache kulialia hizo ndizo gharama za vita! Ndo maana tunaposema Tanzania tutunze amani yetu ujue ni kwa ajili ya watoto wetu na wake zetu hao ndio huwa wahanga wakubwa kwenye vita
 
Inashangaza sana Aliyeanzisha vita hivyo Tarehe 7/10/2023 Wala hazungumziwi ila anazungumziwa yule Anayetaka kutoa onyo Ili cku nyingine Asirudie Tena kufanya Alichokifanya
 
Kwa historia ya Israel na jinsi historia ilivyo, taifa lolote linalotaka ugomvi na Israel halikuwahi kushinda, badala yake waliangukia pua, leo hii Hamas wamechokoza wenyewe, lakini mpaka sasa hasara walioingia ni kubwa mno kuliko wasingelianzisha, pamoja na hicho nchi nyingi za kiarabu wanataka Israel iache kushambulia Civilians people lakini ukiwauliza tofauti ya magaidi na hao civilian people ni ipi hawajui!

Udini umewajaa, na hii ndio shida ya hawa waabudu Allah! Wao wanajiangalia wao tu, nyie mmeteka mateka wa watu mmekaa nao! Halafu mnataka nyie msipigwe kwa nini sasa msiwarudishie mateka wao? Kwani shida ni nini?

Hao hao magaidi wana familia zao, ndugu zao, na hao hao jamaa zao ndio waliokuwa wanashangilia siku ile ya kutekwa kwa raia wa Israel! Leo hii wanalia lia! Kwa nini wasiandamane kushinikiza waisrael kuachiwa ili wao wawe huru!

Ni ukweli usiopingika kuwa hata waarabu wote duniani wakiungana hawawezi kuishinda Israel kwa sababu Israel ni taifa teule la Mungu, na Mungu ( yaweh) huwa anawashindia kila vita yote inayopangwa dhidi yao! Ukiua waisrael 10 jua kwamba watu wako zaidi ya 100 watakufa! Hiyo ni kibiblia, na mpaka leo ipo hivyo!

Hamas waliua watu zaidi ya 1400 wa Israel, kwa hesabu hizo ni lazima wapalestina wafe zaidi ya 14000! Kwa sababu Mungu wa Israel ndiye Mungu muumba mbingu na nchi kwake kuna amani, upendo na furaha, kisasi analipa yeye, yeye hujipigania, hapiganiwi, yeye hujitetea, hatetewi, ndo nchi nyingi za kikiristo zina amani tele, maana yeye akiwapo eneo, eneo hilo linakuwa na amani tele!

Anaitwa Mfalme wa Amani, na Bwana wa vita! Sio hawa wanaosema wanampigania mtume! Wakati huyo mtume yupo hawajui yupo wapi

Tofauti zetu wakristo na waislam zipo hapa! Na ndizo zinazoendelea hata huko gaza

QUARAN AL_ Mumtahana60:1 - Enyi mlio amini! Msiwafanye adui zangu na adui zenu kuwa marafiki mkiwapa mapenzi, na hali wao wamekwisha ikataa haki iliyo kujieni, wakamfukuza Mtume na nyinyi kwa sababu mnamuamini Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wenu. Mnapotoka kwa ajili ya Jihadi katika Njia yangu na kutafuta radhi yangu, mnafanya urafiki nao kwa siri, na Mimi nayajua mnayo yaficha na mnayo dhihirisha. Na mwenye kufanya hayo kati yenu basi ameipotea njia ya sawa).

Luka 6:27-28,32-33,35-36
[27] Lakini nawaambia ninyi mnaosikia, Wapendeni adui zenu, watendeeni mema wale ambao wawachukia ninyi.

[28] Wabarikieni wale ambao wawalaani ninyi, waombeeni wale ambao wawaonea ninyi.

[32] Maana mkiwapenda wale wawapendao ninyi, mwaonyesha fadhili gani? Kwa kuwa hata wenye dhambi huwapenda wale wawapendao.

[33] Nanyi mkiwatendea mema wale wawatendeao mema, mwaonyesha fadhili gani? Hata wenye dhambi hufanya vivyo hivyo.

[35] Bali wapendeni adui zenu, tendeni mema, na kukopesha msitumaini kupata malipo, na thawabu yenu itakuwa nyingi; nanyi mtakuwa wana wa Aliye juu, kwa kuwa yeye ni mwema kwa wasiomshukuru, na waovu.

[36] Basi, iweni na huruma, kama Baba yenu alivyo na huruma.
Kama ndio hivo mbona warumi (Italian) iliwatawala kwa miaka 1000
Na Babylon ilwatawala miaka 400
Je hii ni nini
 
toilet
 
Bhangi ni mbaya.
 
Back
Top Bottom