Hivi dini zingine hawaruhusiwi kuchinja?

Hivi dini zingine hawaruhusiwi kuchinja?

naheshimu swala la dini maana kila mtu anahaki ya kuabudu atakavyo. sasa ndugu kingereza unakielewa vizuri?? wapi hapo kwenye hiyo aya imeruhusu waislam kula kisichochinjwa na muislam?
MKUU,HUYO AMEKIMBILIA KUCOPY GOOGLE NA KUPASTE HAPA,WALA HATA HAKUSOMA KILICHOANDIKWA, KUNA MKUU AMEMFAHAMISHA KWENYE POST #49 LAKINI KAJIFANYA HAJAIONA.!!
 
Kwangu nachinja mwenyewe, kama kuna dini inayokataza mimi nisichinje, au kwamba nikichinja hiyo nyama ni haramu na hatoila, I'm very sorry kwa kweli.

Mapokeo ta hizi imani zetu yanatupofusha at times, muislamu akichinja kila mtu ale, akichinja mkristo ni haramu na jamii imeaminishwa hivyo, that's absurd!!
Mimi binafsi siwezi kuchinja, nawasifu wote waliojariwa moyo huu, mimi kama ni kuku nikienda kunuwa narudi naye nyumbani ameshatengezwa kabisa kama ni kuweka kwenye friji au kuingizwa jikoni.

Kama ni mbuzi ni vyema kuwashirikizha hawa wenzetu maana tatizo walilonalo ni la kurithi kutoka kwa Founder wao Muhammad.
 
naheshimu swala la dini maana kila mtu anahaki ya kuabudu atakavyo. sasa ndugu kingereza unakielewa vizuri?? wapi hapo kwenye hiyo aya imeruhusu waislam kula kisichochinjwa na muislam?
Ndugu Irioko unafahamu maana ya "People of the Book" au "ahlul kitaab" kiistilahi na si kilugha?
 
Wakristo sio tu kwamba haturuhusiwi kuchinja, tunaweza na tunaruhusiwa kula chochote isipokua nyamafu tu. Tukiamua kuchinja wenyewe hakuna tatizo lolote kwa upande wetu, tatizo jamii zetu zimeingiliana na kuna ukaribu wa hali ya juu sana na ujirani kati ya waumini wa dini hizi mbili, sasa kwa wengine hawaruhusiwi kula kilichochinjwa bila kufuata taratibu zao, kuamua kuchinja wenyewe italeta kuwanyima ushiriki wa hao ndugu na jamaa zetu.

Tunafanya hivyo kwa kuweka maelewano tu na kujumuika, kuchinja tunaweza sana. Kama hatuwezi, mnyama nani hua anachinja?
Kweli
 
Hebu tulia kwanza,kunywa maji na urelax, nimekwambia hivi dini ya kiislam haiendeshwi na google na wewe usipoteze time yako kutaka kupotosha coz hutafanikiwa, naona unakuja spidi kama umetumwa vile?!
Kaka, lete maandiko unayoyafahamu kuthibitisha madai ya kuwa mwanamke haruhusiwi kuchinja.
 
Watu wengine bana ,mmeumbwa kuchafua tu hali ya hewa kwenye thread za watu [emoji3][emoji3]
Kwa vipi mkuu? Title ya thread imesema kuchinja na wazo lililonijia kichwani ni hilo la kuchinja watu. Sioni tatizo liko wapi mpaka unishutumu hivyo. Takbih !!!
 
wale ambao walishuhudia aya hiyo iliposhuka hawakufahamu hivyo unavyofahamu wewe. Wao walifahamu vyakula vyote ikiwemo vichinjwa.
Kwa uelewa wangu mimi; waislam hawajakatazwa kula kilichochinjwa na mkristo au asiyekuwa muislam ila wamekatazwa kilichochinjwa kwa nia ovu kama vile matambiko au kimenuiwa miungu isiyokuwa Mwenyezi MUNGU. Ikumbukwe kuwa kichinjwa hata kama amechnja mwislam kama kimechinjwa kwa nia ovu kama nilivoeleza hapo juu itakuwa ni haraam kuliwa na muislam. Mwenyezi MUNGU ni mjuzi wa tunayohitilafiana.
 
Wakristo sio tu kwamba haturuhusiwi kuchinja, tunaweza na tunaruhusiwa kula chochote isipokua nyamafu tu. Tukiamua kuchinja wenyewe hakuna tatizo lolote kwa upande wetu, tatizo jamii zetu zimeingiliana na kuna ukaribu wa hali ya juu sana na ujirani kati ya waumini wa dini hizi mbili, sasa kwa wengine hawaruhusiwi kula kilichochinjwa bila kufuata taratibu zao, kuamua kuchinja wenyewe italeta kuwanyima ushiriki wa hao ndugu na jamaa zetu.

Tunafanya hivyo kwa kuweka maelewano tu na kujumuika, kuchinja tunaweza sana. Kama hatuwezi, mnyama nani hua anachinja?
So wise! I am super humbled!
 
Ina faida gani hii njia kuzidi njia zingine mbadala? Inapunguza maumivu kwa mchinjwaji au? Why this and not any other way?
Hata kukata magovi tulikuwa tunapuuza, tulikuwa tunasema ni islamic thing,lakini tumegundua leo kuwa ndio njia sahihi ya kuzuia maambukizi ya ukimwi tunapanga foleni ya kuyatoa masoksi hayo,hata wajaluo wamenyoosha. maneno
 
google imeanza lini?? Wataka leta haya mambo ya kuuchafua msahafu mtakatifu hapa?? Msahafu haukuletwa na google yako ujue. Kelb sana tu
Tatizo kitabu chenu hamkijui, wewe mmakonde alafu unasoma msahafu wa uloandikwa kwa kiarabu... Kitu kidogo lete aya/sura kuthibitisha na mkiletewa oooh!! Mnauchafua uislam!! Mbona mnapenda kulalamika nyie.
 
Ukweli upo hvi Mr cDNA, wala msile vibudu (yaan ambavyo havijachinjwa) , wala ambavyo havijachinjwa na muislam, (yaan yahud & naswaraniya na wengineo).
 
Hawa jamaa wanachinja sahihi kabisa nadhani wanasema "ngai ni mkuu".
143176880.jpg
 
Back
Top Bottom