Hivi dini zingine hawaruhusiwi kuchinja?

Hivi dini zingine hawaruhusiwi kuchinja?

Ni vema kufanya hivyo kutokana na ugeni wa uislamu kwa waislamu walio wengi. Ila kiuhalisia waislamu wanaruhusiwa kula kilichochinjwa na wakristu pia mayahudi kwani ktk Qur-ani ipo aya inaruhusu kula vilivyochinjwa na watu walioteremshiwa Taurati na Injili. Ila si halali kula kilichochinjwa na mshirikina hata kama ni muislamu kama wale wanaojitia kutibu kwa kutumia majini na wapiga nyota.
Pia ktk uislamu mwanamke aruhusiwa kuchinja.
Kwa kuongezea hapo ktk sheria ya kiislamu ni haramu kula kilichochinjwa na muislamu ambaye haswali sala tano.
 
Suala la kuchinja MTU yeyote anaruhusiwa kuchinja Kwa matumizi binafsi,ukija kijamii au kibiashara sasa imeoneleka wachinje waislamu sababu ya kibiashara na kiimani na kijamii sababu Kwa wasio waislamu hawana shida kula kilichochinjwa na yeyote iwe binadamu au mashine,ila kiimani Kwa walio waislamu hawaruhusiwi kula kisichochinjwa na asie muislam.
 
Mkuu CleverKING "haruhusiwa" maana yake nini?
Nilitaka kukurekebisha kua mwanamke haruhusiwi, wewe unasema anaruhusiwa!! Acha kupotosha wewe unajiandikia tu vitu usivyovijua,eti umeweka hiyo aya yako ya google,uislamu hauendeshwi kwa google acha kukariri maisha,

Hivi unawajua wamiliki wa google? Hivi unajua kua si kila kilichopo google ni accurate? Tuliza mzuka acha kujifanya mjuaji na kujifanya unaijua dini ya watu kuliko wenyewe, najua lengo lako kuu ni Kupotosha but huwezi kupotosha hii dini wenzako walishajaribu na wakashindwa.
 
Asee swala la kuchinjiwa hilo nalipinga kabisaa
Nachinja mwenyewe asiyetaka asile.
Nani aje sasa labda mwigulu.
Donkey Meat1.jpg
 
Aisee nimechinja sana kuku , wakati huo nilikuwa dogo hm na tulikuwa tuna supply kwy mahotel makubwa hapa dar. Lakini waokula naamin waumin tofauti .
 
Kwangu nachinja mwenyewe, kama kuna dini inayokataza mimi nisichinje, au kwamba nikichinja hiyo nyama ni haramu na hatoila, I'm very sorry kwa kweli.

Mapokeo ta hizi imani zetu yanatupofusha at times, muislamu akichinja kila mtu ale, akichinja mkristo ni haramu na jamii imeaminishwa hivyo, that's absurd!!
 
Ukristo hauonyeshi ninamnagani mnyama anatakiwa kuchinjwa,ndio maana utakuta mnyama anapigwa marungu,mshale,shoka na hata risasi.
 
Nilitaka kukurekebisha kua mwanamke haruhusiwi, wewe unasema anaruhusiwa!! Acha kupotosha wewe unajiandikia tu vitu usivyovijua,eti umeweka hiyo aya yako ya google,uislamu hauendeshwi kwa google acha kukariri maisha,

Hivi unawajua wamiliki wa google? Hivi unajua kua si kila kilichopo google ni accurate? Tuliza mzuka acha kujifanya mjuaji na kujifanya unaijua dini ya watu kuliko wenyewe, najua lengo lako kuu ni Kupotosha but huwezi kupotosha hii dini wenzako walishajaribu na wakashindwa.
Al-Bukhaari (may Allaah have mercy on him) reported in his Saheeh from ‘Ubayd-Allaah from Naafi’, that he (Naafi’) heard Ibn Ka’b ibn Maalik narrating from his father that they used to have sheep which they allowed to graze on the mountain of Sala’ in Madeenah: one of the slave-women noticed that one of the sheep was dying, so she broke a stone and slaughtered it. He said: “Do not eat it until I ask the Prophet (peace and blessings of Allaah be upon him) or I send someone to ask him. So he asked the Prophet (peace and blessings of Allaah be upon him), or sent someone else to ask, and he told him to eat it. ‘Ubay-Allaah said: “I liked the fact that she was a slave-woman and she managed to slaughter it.”

Commenting on this hadeeth, Ibn Hijr (may Allaah have mercy on him) said: “This shows that it is permitted to eat meat slaughtered by a woman, whether she is free or a slave, old or young, Muslim or of the People of the Book (i.e., Jewish or Christian), in a state of purity or otherwise, because the Prophet (peace and blessings of Allaah be upon him) told them to eat the meat she had slaughtered and did not ask for further details.”

Ni kweli kabisa google huweziifanya kama mwalimu wako wa dini na ukifanya hivyo utapotea. Ninachozungumza hapa ni kitu ambacho nimepiga goti nikasomeshwa na marejeo ninayoweka hapo nayajua vema...nawafahamu ahlul-ilm na najua thamani yao. Ndio maana nikataja fatawa ni ya Sheikh Ibn Baaz
 
Maa'ida: 5

"This day are (all) things Good and pure made lawful unto you. The food of the People of the Book is lawful unto you and yours is lawful unto them. (Lawful unto you in marriage) are (not only) chaste women who are believers, but chaste women among the People of the Book, revealed before your time, when you give them their due dowers, and desire chastity, not lewdness, nor secret intrigues…"

Kwa ufafanuzi zaidi wa kadhia hiyo rejea: Fatawa Islamiyya, Sheikh Abdel-Aziz Bin Baz, 3/404.
naheshimu swala la dini maana kila mtu anahaki ya kuabudu atakavyo. sasa ndugu kingereza unakielewa vizuri?? wapi hapo kwenye hiyo aya imeruhusu waislam kula kisichochinjwa na muislam?
 
Mimi nimeishi katika jumuiya ya watu mbalimbali na wa dini zote. Cha kushangaza inapofika sikukuu au wamenunua jogoo basi watu hutafutwa kwa ajili ya kuchinja, japokuwa wanaume wapo. Nimekula sana shingo mchuzi hata vibawa kwa kazi hiyo. Ndio nauliza; Je, kuna madhehebu ya wakristo wanakataza kuchinja?

Kwangu nafuga mifugo kadhaa, nina kuku wasiopungua 100 wa kienyeji (kuchi), nina nguruwe, mbuzi pamoja na bata. Muda wowote nikijisikia kula nyama yoyote katika hao nachinja mwenyewe na siombi ruhusa wala msaada wa mtu yoyote. Mgeni akija kwangu namwambia ukweli, kama anaona yeye hawezi kula aamue. Sibembelezi wala siamliwi na mtu. Nashukuru mlinzi wangu ni mwislamu na ninaye mwaka wa6 sasa. Ameshanielewa na hana ttz anakula tu maisha yanaenda. Sihitaji kusaidiwa wala kuamliwa chochote na mtu yoyote katika ninachokifuga mwenyewe
 
Al-Bukhaari (may Allaah have mercy on him) reported in his Saheeh from ‘Ubayd-Allaah from Naafi’, that he (Naafi’) heard Ibn Ka’b ibn Maalik narrating from his father that they used to have sheep which they allowed to graze on the mountain of Sala’ in Madeenah: one of the slave-women noticed that one of the sheep was dying, so she broke a stone and slaughtered it. He said: “Do not eat it until I ask the Prophet (peace and blessings of Allaah be upon him) or I send someone to ask him. So he asked the Prophet (peace and blessings of Allaah be upon him), or sent someone else to ask, and he told him to eat it. ‘Ubay-Allaah said: “I liked the fact that she was a slave-woman and she managed to slaughter it.”

Commenting on this hadeeth, Ibn Hijr (may Allaah have mercy on him) said: “This shows that it is permitted to eat meat slaughtered by a woman, whether she is free or a slave, old or young, Muslim or of the People of the Book (i.e., Jewish or Christian), in a state of purity or otherwise, because the Prophet (peace and blessings of Allaah be upon him) told them to eat the meat she had slaughtered and did not ask for further details.”

Ni kweli kabisa google huweziifanya kama mwalimu wako wa dini na ukifanya hivyo utapotea. Ninachozungumza hapa ni kitu ambacho nimepiga goti nikasomeshwa na marejeo ninayoweka hapo nayajua vema...nawafahamu ahlul-ilm na najua thamani yao. Ndio maana nikataja fatawa ni ya Sheikh Ibn Baaz
Hebu tulia kwanza,kunywa maji na urelax, nimekwambia hivi dini ya kiislam haiendeshwi na google na wewe usipoteze time yako kutaka kupotosha coz hutafanikiwa, naona unakuja spidi kama umetumwa vile?!
 
Back
Top Bottom