Uislamu ulianza ukiwa mgeni kwa watu na utarejea ktk hali ya ugeni kama ulivyoanza. Aya hiyo nimeshaweka hapo ambayo pia inaruhusu mwanaume muislamu kumuoa mwanamke mkristo au myahudi. Ni ktk muktadha gani...H/work.Namsubiri kwa shauku yote alete hizo methali zlizoziskia vijiweni na sio aya kwa sababu aya hiyo haipo
Hapa hatuzungumzii muislamu mmoja mmoja twazungumzia sheria ya kiislamu juu ya vichinjwa vya ahlul kitab (watu waliopewa kitabu; mayahudi & wakristu)Sio kweli muislam hali kilicho chinjwa na mkristo kabisa hata mayahudi hawali kilicho chinjwa na mkristo
Ukitaka wasije watu wengi kwenye mnuso basi chinja mwenyewe wewe unayeitwa Emmanuel na hakikisha waalikwa wamejua kuwa umechinja wewe!Mimi nimeishi katika jumuiya ya watu mbalimbali na wa dini zote.
Cha kushangaza inapofika sikukuu au wamenunua jogoo basi watu hutafutwa kwa ajili ya kuchinja, japokuwa wanaume wapo.
Nimekula sana shingo mchuzi hata vibawa kwa kazi hiyo. Ndio nauliza; Je, kuna madhehebu ya wakristo wanakataza kuchinja?
Ni vema kufanya hivyo kutokana na ugeni wa uislamu kwa waislamu walio wengi. Ila kiuhalisia waislamu wanaruhusiwa kula kilichochinjwa na wakristu pia mayahudi kwani ktk Qur-ani ipo aya inaruhusu kula vilivyochinjwa na watu walioteremshiwa Taurati na Injili. Ila si halali kula kilichochinjwa na mshirikina hata kama ni muislamu kama wale wanaojitia kutibu kwa kutumia majini na wapiga nyota.
Pia ktk uislamu mwanamke aruhusiwa kuchinja.
naona mfia dini ameshawasili,hawa watu wanajielewa wenyewe,sisi wakristo hatuwawezi,,,tusubiri tu povu hapa...Unaweza itoa hiyo aya ...... au umenogewa na mada?
Huwa mnachinja kwa kutaja jina la Mungu gani?Wakristo sio tu kwamba haturuhusiwi kuchinja, tunaweza na tunaruhusiwa kula chochote isipokua nyamafu tu. Tukiamua kuchinja wenyewe hakuna tatizo lolote kwa upande wetu, tatizo jamii zetu zimeingiliana na kuna ukaribu wa hali ya juu sana na ujirani kati ya waumini wa dini hizi mbili, sasa kwa wengine hawaruhusiwi kula kilichochinjwa bila kufuata taratibu zao, kuamua kuchinja wenyewe italeta kuwanyima ushiriki wa hao ndugu na jamaa zetu.
Tunafanya hivyo kwa kuweka maelewano tu na kujumuika, kuchinja tunaweza sana. Kama hatuwezi, mnyama nani hua anachinja?
Kiti moto hachinjwi bali huoigwa rungu!!!!Hujiulizi nani huwa anachinja kitimoto??
Siku hizi hakuna Alal kitabu kuna mazoun na wakristo ahlal kitabu ni wale wanapo sikua aya za qur-an husujudu na kukubali ila hawa wakaao kwenye mabench sio ahlal kitabu ni wa shirikina tu ni haramu kula kilicho chinjwa na wao
Ninasoma ile Qur-ani ambayo nyie mwaisoma...Lete dalili kuthibitisha ninavyokupotosheni.....cDNA;
Umesoma Kuran ipi weye?? Acha kupotosha watu. Kama una uchu wa kula mizoga kula mwenyewe. Usiwe na tabia ya kutamka usokijua.
hahahhhhaHalafu tunatupiamo wote, bila kujali imani!
Huyu "ghanziyr" na haraam, ila kwa dharuura.kitimoto kinapigwa kwanza nondo alafu kisu kinafuata
ahh huyu mdudu kweli wa kipekee