mkuu samahan 900,000 waringe hiyo ni kabla ya kodi -680,000 kwa matumizNi kweli madaktari ni bora kuliko wengine, ndiyo maana wakigoma kila mtu analialia. Mie bado nawashangaa nyie watu. Daktari mwenye shahada ya kwanza analipwa 900,000 lakini karani wa benki kuu, au TRA asiye na shahada analipwa zaidi ya 1,000,000. mbunge ambaye hajamaliza hata darasa la saba analipwa 10,000,000. Halafu mnaongea kama wehu hapa. Unategemea huyo daktari anayefanya kazi ngumu ya kuokoa maisha ya watu alale njaa na watoto wake. Huo mshahara wa 900,000 mie niliupata miaka 9 iliyopita. Kwanza nashangaa mtu anawezaje kuishi na kamshahara kadogo hivyo hapa Dar. Lengo la kusoma ni kuwa na maisha mazuri. Msilete longolongo zenu zisizo na maana
Naona mwanzisha mada ni mwl, tena wa shule ya msingi, walim wote na polisi ni form 4 faluires.
Madakatari wa Tanzania kwani kulikuwa hakuna njia ingine ya kuigomea serikali iwasikiliza madai yao kuliko kutumia mbinu za kigaidi watu wasiokuwa na hatia wapoteze maisha ili maslahi yao yatimizwe.
Kisa wao ni watu wenye akili sana kuzidi wengine.
majadiliano yakifail kinachofuata ni kushinikiza tu.....mkuu hii nchi siyo Mali ya watu wachache walio na madaraka the so called Serikali ,hii nchi ni Mali ya watu wote na Lazima tukubaliane namna ya kuiendesha .sasa kusema madaktari wakimbie changamoto za nchi yao kwa kwenda nje(ambako ofcourse kuna room kwa wao kupata mafao bora kirahisi). Go on Doctors ,hakuna mtu mwenye hati miliki wa hii nchi eti useme madokta wanaweza kwenda nje wakati watanzania tunawahitaji huku sekta ya Afya ipo hoi bin taabani. Huo ni UDHAIFU wa kiuongozi ,kiakili ,kiimani na kiutawala.
shame be upon you all mnaosupport eti madaktari waondoke ,tumieeni ubongo.
vipi na wewe umefanyiwa usaili wa kusimamia Sensa?JF imevamiwa na madaktari.........halafu wanatoa vi-argument mbuzi mbuzi.....eti tulisoma udaktari miaka mingi, na therefore tulipwe zaidi....eti ili kutoa motisha kwa wengine wasome fani hiyo......duuuhh!
utajibeba mkuu! vp wewe umewahi kupata division one?Na Wasijidanganye kwa hilo...........
hebu washauri wewe kama njia gani mkuu? na siyo kusema tu wangetumia njia nyingine ,semeni zipi hizo maana wabongo kazi yenu kulalamika tu na kulaumu tu vitendo hakuna.Madakatari wa Tanzania kwani kulikuwa hakuna njia ingine ya kuigomea serikali iwasikiliza madai yao kuliko kutumia mbinu za kigaidi watu wasiokuwa na hatia wapoteze maisha ili maslahi yao yatimizwe.
Kisa wao ni watu wenye akili sana kuzidi wengine.
Naomba mnijibu jamani, kwa nini hawa madaktari wantumia uhai wetu kuomba nyongeza ya mshahara
Kwani wao ni bora kukliko hawa wafuatao
POLISI
WANAJESHI
WALIMU Nk
Daktari alipwe shs 10,000,000 halafu mwalimu aliyemfundisha alipwe laki nne??
Halafu wanatumia kisingizio cha huduma bora kudai mihela.
Hebu nisaidieni mawazo yenu
hebu washauri wewe kama njia gani mkuu? na siyo kusema tu wangetumia njia nyingine ,semeni zipi hizo maana wabongo kazi yenu kulalamika tu na kulaumu tu vitendo hakuna.
Ndiyo tatizo hilo la watanzania unalalamika watu watumie njia nyingine ukiulizwa km zipi unabaki kulalamika tena.Hawashauriki hawa madaktari kwanza watakuambia wao wameangaika sana kwenye masomo yao.
Mbona hujauliza kama wabunge na Graduate anayeanza kazi BOT, Tanroads, TRA na wanaofanana nao kama wana thamani kuliko kada tajwa? Toka kale daktari anasifa yake, unataka kubadirisha leo?
Kwa ufupi madaktari wanastahili kulipwa zaidi ili tupate motisha kwa watoto kuzidi kusoma kozi za udaktari. La sivyo wakilipwa sawa na mwalimu, hakutakuwa na umuhimu wa watu kusoma miaka tano hadi sita ili awe daktari wakati ukisoma kozi ya miaka miwili mitatu tu unatoka kimaisha.