Mangaline
JF-Expert Member
- May 19, 2012
- 1,045
- 222
Watanganyika tutadaganywa hadi lini? Hoja ya madaktari ni vifaa tiba, na hii ndiyo maana ya mazingira mazuri ya utendaji kazi kwao. na hii ni kwa manufaa yako wewe mtanganyika. Je! wajua kama vitendea kazi kwa wanajeshi na polisi vipo kwa ziada? Je! wajua kama Risasi vituoni ni nyingi kuliko Chlorokwini zilizo kwenye hospitali na zahanati zote nchini? Je! wajua kama hata kama kila askali akigawiwa bunduki mbilimbili, na nyingine zitabaki?Naomba mnijibu jamani, kwa nini hawa madaktari wantumia uhai wetu kuomba nyongeza ya mshahara
Kwani wao ni bora kukliko hawa wafuatao
POLISI
WANAJESHI
WALIMU Nk
FIKIRI, Unaonaje kama askari nao wangetumwa vitani wakati vifaa havitoshi, je! wangeenda tu kwa kuwa ni amri, au na wao wangegoma??????????
Walimu, wako katika mgomo tangu nao walipo ishiwa chaki. hii ndiyo maana tuna wanafunzi waliofaulu mitihani yao na kwenda sekondari wakati hawajui kusoma wala kuandika.
"PANUA WIGO WA FIKRA"