Hivi daktari ana thamani kuliko binadamu wengine???

Hivi daktari ana thamani kuliko binadamu wengine???

Naomba mnijibu jamani, kwa nini hawa madaktari wantumia uhai wetu kuomba nyongeza ya mshahara
Kwani wao ni bora kukliko hawa wafuatao
POLISI
WANAJESHI
WALIMU Nk
Daktari alipwe shs 10,000,000 halafu mwalimu aliyemfundisha alipwe laki nne??
Halafu wanatumia kisingizio cha huduma bora kudai mihela.
Hebu nisaidieni mawazo yenu

ndio wapotoshaji walewale we umesoma madai yote mbona unaongelea dai moja na umelipotosha.
 
Naomba mnijibu jamani, kwa nini hawa madaktari wantumia uhai wetu kuomba nyongeza ya mshahara
Kwani wao ni bora kukliko hawa wafuatao
POLISI
WANAJESHI
WALIMU Nk
Daktari alipwe shs 10,000,000 halafu mwalimu aliyemfundisha alipwe laki nne??
Halafu wanatumia kisingizio cha huduma bora kudai mihela.
Hebu nisaidieni mawazo yenu

wewe sasa unanitafutia ban asubuhi tu ndio mchango wangu wa pili unaandika uporoto humu madai umeyaona lakini unapindisha hoja.
 
Mbona rahisi tu mkuu, majadiliano, kama mwajiri anakomaa, unatafuta mwajiri mwingine. hujafungwa kufanya kazi serikalini tu!
majadiliano yakifail kinachofuata ni kushinikiza tu.....mkuu hii nchi siyo Mali ya watu wachache walio na madaraka the so called Serikali ,hii nchi ni Mali ya watu wote na Lazima tukubaliane namna ya kuiendesha .sasa kusema madaktari wakimbie changamoto za nchi yao kwa kwenda nje(ambako ofcourse kuna room kwa wao kupata mafao bora kirahisi). Go on Doctors ,hakuna mtu mwenye hati miliki wa hii nchi eti useme madokta wanaweza kwenda nje wakati watanzania tunawahitaji huku sekta ya Afya ipo hoi bin taabani. Huo ni UDHAIFU wa kiuongozi ,kiakili ,kiimani na kiutawala.
shame be upon you all mnaosupport eti madaktari waondoke ,tumieeni ubongo.
 
Hebu soma story kama hii utafakari, utaelewa ni kwa nini mambo haya yanatokea. Na huu ndiyo ukweli wa kazi yao kila siku:

Daktari, " sister tuwe tunafanya urine Dipstick kuangalia urine protein kwa huyu mgonjwa kila siku"

Nurse, "Daktari hizo ziliisha mwezi sasa labda tukaazime kwenye wodi xx"

Daktari, " BP ya huyu mgonjwa ni 160/100 anapata dawa huyu??"
...
Nurse, "Kila mara pharmacy wanaandika o/s kwenye prescription"

Daktari, " wapatie ndugu wakanunue basi"

Daktari, "watu wa xray wanasemaje??"

Nurse, " wanasema film zimeisha mpaka ziletwe"

Daktari, " nataka kucheck RBG ya huyu mgonjwa"

Nurse, " mpaka nikaazime Glucometer yetu imeharibika mwezi sasa"

Daktari, " Dada nahitaji kukutibu ila hakuna dawa, kipimo cha picha ya kifua hakuna, kipimo cha mkojo hakuna, kipimo cha sukari hakuna kwa hiyo tusubiri mpaka vitakapopatikana ila kama unaweza kuwaambia nduguzo wakakugharimikie nje sawa"

Mgonjwa, " mimi sina hela na ndugu zangu hawana uwezo. Naomba unisaidie Daktari"

Hebu mshauri hapo daktari afanyaje mkuu ?

hlf huo uthamani wa binadamu unaupima kwa kutumia vigezo gani?
Tatizo la mijitu kama chilisosi uwezo wao wa kuelewa ni mdogo sana, sio kosa lao, dhambi imo mikononi mwa CCM inayowatumia akina chilisosi kuitetea. Maelezo hayo kwa mijitu kama chilisosi ni bure maana haiwezi kuelewa. Kwa chilisosi na wapumbavu wenzake daktari hana maana kwa kuwa hanatofauti na manyaunyau ambaye maelezo ya maradhi ni kurogwa na tiba ni kumchanja chale makalioni!
 
Kwa hiyo mimi CCM.
Hao madaktari wanapogoma watu wanakufa.
kwa hiyo watu wafe kwa sababu unataka nyonngeza ya mshahara.
Hebu fikiria polisi wakigoma kwa siku moja tu nchi itakuwaje??
 
Kwa hiyo mimi CCM.
Hao madaktari wanapogoma watu wanakufa.
kwa hiyo watu wafe kwa sababu unataka nyonngeza ya mshahara.
Hebu fikiria polisi wakigoma kwa siku moja tu nchi itakuwaje??
Hii ndio shida ya elimu ya sekondari ya kata, wahitimu wake hawana uwezo wa kuchambua mambo. Madaktari wakigoma au wasigome athari bado zipo palepale kwani serikali ya mafisadi wa CCM haijapeleka fedha katika sekta ya Afya, matokeo yake vifaa tiba na madawa havipo. Sasa kama vifaa tiba na madawa hamna huyo daktari anayefanya kazi atatibu kwa kutumia masaburi yako? Mjukuu wangu alifariki dunia mbele ya daktari bingwa wa maradhi ya watoto kwa sababu kulikosekana oxygen aliyoihitaji mgonjwa! Sasa hapo uwepo wa daktari ulisaidia nini kuokoa maisha. Usinikumbushe maumivu wewe vuvuzera la mafisadi!
 
Kwani yeye daktari si binadamu? Binadamu wote wana thamani bila kujali wanajua au wana nini. Tofauti ya daktari na mgonjwa ni kwamba mgonjwa anamhitaji daktari kuliko daktari anavyomhitaji mgonjwa. Tofauti nyingine ni kwamba daktari hana thamani sawa na kihiyo yoyote mwanasiasa. Pia daktari anaweza kutekwa na wahuni waitwao usalama wa taifa tofauti na ambapo daktari hawezi kuwafanyia kweli hawa majambazi.
 
Sawa nijibu kwa picha lakini wasijione kuwa bora kuliko wengine.
Wao ni watumishi wa serikali na wanalipwa kwa kazi wanayofanya hivyo ni wajibu wao kututibu wakileta uzembe inabidi washitakiwe na wafungwe na vibali vyao vinyanganywe

Ni kweli madaktari ni bora kuliko wengine, ndiyo maana wakigoma kila mtu analialia. Mie bado nawashangaa nyie watu. Daktari mwenye shahada ya kwanza analipwa 900,000 lakini karani wa benki kuu, au TRA asiye na shahada analipwa zaidi ya 1,000,000. mbunge ambaye hajamaliza hata darasa la saba analipwa 10,000,000. Halafu mnaongea kama wehu hapa. Unategemea huyo daktari anayefanya kazi ngumu ya kuokoa maisha ya watu alale njaa na watoto wake. Huo mshahara wa 900,000 mie niliupata miaka 9 iliyopita. Kwanza nashangaa mtu anawezaje kuishi na kamshahara kadogo hivyo hapa Dar. Lengo la kusoma ni kuwa na maisha mazuri. Msilete longolongo zenu zisizo na maana
 
Watanganyika tutadaganywa hadi lini? Hoja ya madaktari ni vifaa tiba, na hii ndiyo maana ya mazingira mazuri ya utendaji kazi kwao. na hii ni kwa manufaa yako wewe mtanganyika. Je! wajua kama vitendea kazi kwa wanajeshi na polisi vipo kwa ziada? Je! wajua kama Risasi vituoni ni nyingi kuliko Chlorokwini zilizo kwenye hospitali na zahanati zote nchini? Je! wajua kama hata kama kila askali akigawiwa bunduki mbilimbili, na nyingine zitabaki?
FIKIRI, Unaonaje kama askari nao wangetumwa vitani wakati vifaa havitoshi, je! wangeenda tu kwa kuwa ni amri, au na wao wangegoma??????????
Walimu, wako katika mgomo tangu nao walipo ishiwa chaki. hii ndiyo maana tuna wanafunzi waliofaulu mitihani yao na kwenda sekondari wakati hawajui kusoma wala kuandika.
"PANUA WIGO WA FIKRA"

YAANA, katika mahala ambako vifaa huwa havikai ni hospitali za serikali! kama vina miguu vile!!
 
Naomba mnijibu jamani, kwa nini hawa madaktari wantumia uhai wetu kuomba nyongeza ya mshahara
Kwani wao ni bora kukliko hawa wafuatao
POLISI
WANAJESHI
WALIMU Nk
Daktari alipwe shs 10,000,000 halafu mwalimu aliyemfundisha alipwe laki nne??
Halafu wanatumia kisingizio cha huduma bora kudai mihela.
Hebu nisaidieni mawazo yenu

..wel,I gues U must b ''SICK IN UR HEAD'' to put this thread in zat kind of coparison upon salaries,..kwanini usiwaambie Waalimu ndo wagome kwa kulipwa mishahara midogo kuliko wafanyakazi wote wa serikali wakati wao ndo wamewafundiha hadi Maraisi(Kwa mujibu wa kichwa chako kinavofanya kazi)!!??

Kama hao Waalimu ni ndo waliowafundisha Madaktari hivo basi wanaweza kufanya chochote ambacho wanafunzi wao ''MADKATARI'' wanakifanya,kwanini mnapiga makelele Madaktari warudi kazini badala ya kuwavisha ''MAKOTI MEUPE'' hao Waalimu!!!??

Hii ndio shida ya elimu ya sekondari ya kata, wahitimu wake hawana uwezo wa kuchambua mambo. Madaktari wakigoma au wasigome athari bado zipo palepale kwani serikali ya mafisadi wa CCM haijapeleka fedha katika sekta ya Afya, matokeo yake vifaa tiba na madawa havipo. Sasa kama vifaa tiba na madawa hamna huyo daktari anayefanya kazi atatibu kwa kutumia masaburi yako? Mjukuu wangu alifariki dunia mbele ya daktari bingwa wa maradhi ya watoto kwa sababu kulikosekana oxygen aliyoihitaji mgonjwa! Sasa hapo uwepo wa daktari ulisaidia nini kuokoa maisha. Usinikumbushe maumivu wewe vuvuzera la mafisadi!
pole sana mkuu kwa kuondokewa na mjukuu wako.hiyo hali ni kweli huwatokea madaktari mara nyingi sana ,inshort imekuwa ni sehemu ya maisha yao kushuhudia vifo vinavyoweza kuzuilika kwa miaka mingi sana.mbaya zaidi watu kama chilisosi hawaelewi pamoja na kuwekewa picha hapo juu bado anaonekana kutokuelewa ,hizi njaa zao za kutetea mpaka utumbo uliooza zitawatokea puani siku moja.
 
Mbona hujauliza kama wabunge na Graduate anayeanza kazi BOT, Tanroads, TRA na wanaofanana nao kama wana thamani kuliko kada tajwa? Toka kale daktari anasifa yake, unataka kubadirisha leo?
Kwa ufupi madaktari wanastahili kulipwa zaidi ili tupate motisha kwa watoto kuzidi kusoma kozi za udaktari. La sivyo wakilipwa sawa na mwalimu, hakutakuwa na umuhimu wa watu kusoma miaka tano hadi sita ili awe daktari wakati ukisoma kozi ya miaka miwili mitatu tu unatoka kimaisha.

Mkuu umempa jibu zuri sana, pia mwenyewe haoni wasomi wengi wanakimbilia siasa huku wakiacha profesional zao?
 
Naomba mnijibu jamani, kwa nini hawa madaktari wantumia uhai wetu kuomba nyongeza ya mshahara
Kwani wao ni bora kukliko hawa wafuatao
POLISI
WANAJESHI
WALIMU Nk
Daktari alipwe shs 10,000,000 halafu mwalimu aliyemfundisha alipwe laki nne??
Halafu wanatumia kisingizio cha huduma bora kudai mihela.
Hebu nisaidieni mawazo yenu

Mkuu chilisosi hebu changanya vzuri na chips ili ujue hasa madaktari wanataka nini, maana naona ume-base upande mmoja.
 
Ungekuwa una akili angalau kidogo usingefanya ulinganifu wa kijinga namna hii. Haya si maisha ya kila siku bali ni matokeo tu ya siasa mbovu kama hii inayofanywa na serikali yetu kiasi mwenye shughuli ya maana analipwa laki 7 na Lusinde na Nchemba wanalipwa Mil. 7.

Na kwa kukusaidia tu, huo msafara utakapotia nanga, madaktari ni heka heka. Kipindupindu, kuhara damu, kikohozi, malaria na kila aina ya magonjwa vimeambatana na msafara huo uliouweka hapa ukidhani una point. Kwa hiyo acha ujinga wa kulinganisha madaktari ambao ni sehemu ya maisha yako ya kila siku na askari ambao wanamuua Ulimboka

Tatizo lenu nyie Madaktari mnajiona ni bora kuliko viumbe wengine, hivi ni kwanini mnataka kushindana na wabunge km Mwigulu na lusinde hamuwataji kina Mnyika na Mdee, hapo hamjatumwa kweli? Wabunge wote wanapokea posho ww hasira ni hao wachache kwa nini usiende ukagombee?
hayo magonjwa uliyoyataja kupona kwake hatutegemei ninyi ndio mtutibu, wapo askari wa JWTZ watakaotutibu km vita ikitokea, lakini sio vita yenu ya kutumwa ninawaambia Mgomo umeisha na mnachokitaka hakuna tena. Kwa nini msirudi kwenye shughuli nyingine kwani hapo mmekosa maadili na utu hamuwezi kudai 7.7m wakati Wanajeshi POLISI MaMedical na manesi hawajapandishiwa mshahara.
Kwa nini mada hii msiiache, mmewaomba viongozi wa DINI imekwama kubalini ku-sign off matusi hayafai na kuwaona walipa Kodi hawana akili ni ulevi na kukaa kwenye Stool ukingojea On-call upewe 25,000
 
306681_10151063016359743_1581996414_n.jpg

Watatu watatu kwenye vitanda, wamelala mpaka chini, kuambukizana magonjwa nje nje. Sasa hapo kama wewe ni daktari na ofisi yako ndo hiyo day in day out, si unakuwa katika risk kubwa ya wewe mwenyewe kuambukizwa maradhi na kuyapeleka majumbani kwao? Au wao wana kinga fulani kutoka mbinguni hatuijui.........Ahhhhh gomeni tu hayo mazingira ya kazi siyo kabisa....

Tusiwe mambumbumbu kwa hali hii (jumlisha na mziki wa shule yao ya miaka umri wa mtoto kuzaliwa hadi kufika darasa la pili), risk allowance haki yao, sindano za kinga haki yao, posho ya mazingira magumu haki yao, ongezeko la mshahara haki yao, tena hata hayo madai ya maboresho ya huduma ya afya wala msingepigia kelele, mngetuacha wavunja miwa wenyewe tupigike mpaka tutakapoona haja ya kuiwajibisha serikali dhaifu!!
 
naomba mnijibu jamani, kwa nini hawa madaktari wantumia uhai wetu kuomba nyongeza ya mshahara
kwani wao ni bora kukliko hawa wafuatao
polisi
wanajeshi
walimu nk
daktari alipwe shs 10,000,000 halafu mwalimu aliyemfundisha alipwe laki nne??
Halafu wanatumia kisingizio cha huduma bora kudai mihela.
Hebu nisaidieni mawazo yenu
read man -books are funny to mental!
 
Back
Top Bottom