HIV inanitesa

achana nae huyo asikuaribie siku. hao ndo wanaowasababishia wenzao ban bure??

Unajua mwalimu kuna watu wanakurupuka tu kuvamia thread bila kuisoma vizuri na in totality.......na hii inasababisah hata watu kufeli mitahani kwa kukimbilia kujibu maswali bila kuyasoma vizuri
 
ikimbie zinaa.

Kwa speed gani...10km/hr au? Maana sote tukiwa sober na asubuhi kama hivi tunahimiza kila mtu aikimbie zinaa.ikishaanza kufika saa nane guest zinajaa, ikifika kwenye mvinyo na nyama choma damu inahamia kiunoni...baada ya hapo tunasubiri majaariwa yetu.
 
Ndahani.................inaelekea weye ulikuwa unanisoma kati ya mistari.

Yes ili nielewe vizuri hili somo maana alichosema huyu dada is just a tip in the iceberg.. kuna mambo mengi sana yanaendelea ambayo yanafanya vita dhidi ya HIV kuwa ngumu sana.Kwa mfano kulala na mtu bila protection wakati unajua you are +.Ina maana sense zote zimegoma kusema kwamba no bila kinga? I just suspect wauzaji wanadumu sana maana wao kila game lazima wajiprotect.
 

........right in the bulls eye

Tatizo wasomi wengi ndio wakiukaji wakuu wa kinga
 
Unajua mwalimu kuna watu wanakurupuka tu kuvamia thread bila kuisoma vizuri na in totality.......na hii inasababisah hata watu kufeli mitahani kwa kukimbilia kujibu maswali bila kuyasoma vizuri

hawa ndo alowasema Bazazi jana achana nae.
 
Last edited by a moderator:

huko kote unatafut appetite msosi home vinginevyo ya HIV+ yatakuhusu
 
Last edited by a moderator:

ukitaka kuamini kwamba vita dhidi ya ukimwi ni ngumu basi uwe mfanyakazi wa mitandao ya simu kisha uwe na access ya kusoma sms kwenye lline za watu lol! kila namba 10 utakazo pitia 9 kwa siku zina appointment ya kukutana guest na saba kati ya hizo zinazungumzia jins mchezo ulivyokuwa mzuri achana na haya makitu bana.
 

Umeona eeeh. Hii kitu ni ngumu sana. Mtu alivyo saa kumi na moja na saa moja akirudi home ni vitu viwili tofauti. Ndio maana guest zinazidi kushamiri na mahoteli ya watu wa kipato cha kati. Yaani we acha tu!
 
umenifanya nicheke sana platozoom. sasa ngoja nikwambie cacico huwa anakuja na hubby wake mie huwa naaga kabisa na huwa ana hakikisha niko full kila kona, snowhite vile vile. sasa usitegemee hilo. lol!
CHEZEIYA HUBBY WEWE!!! HUWA YUP[O COUNTER ILA JICHO AKILI KWA cacico, lol! jamani huwa tunaaga, na tukinyimwa tunatulia tu! maana sio cku zote ambazo tunanyimwa, karibu platozoom!
 
Last edited by a moderator:
Katika vitu ambavyo ni changamoto kubwa kwa watu wenye kuishi na VVU ni kujitangaza hadharani kuwa wana HIV....hii hutokea kwa kuwa wengi wao huogopa maswala haya ya unyanyapaa(stigma)...na ndio maana wengine huamua kuficha na hata wengine kuamua kuambukiza wenzao kwa makusudi(hili lipo japo halisemwi sana na kuna sheria yake TZ)....

Dada HIV+ nakusifu kwa moyo wako huo na nikupe angalizo tu: Ishi kwa matumaini huku ukijikinga/kutibu nyemelezi kwa wakati.....na tumia ARVs(kama bado hujaanza).....huku ukiwa makini kwenye vituo unavyochukulia ARVs zako...maana kama unafatilia habari...tayari tz soko la ARVs limeshaingiliwa na dawa feki(kupitia MSD).....jambo ambalo linaweza kuwasababishia matatizo makubwa ya usugu(resistance)wagonjwa kama wewe.....
 
sister usimind mbona tupo wengin tu wenye hilo tatizo, kikubwa usimwambukize mtu makusudi ila mwambie ukweli kuwa umeathirika mtumie kinga, mbona mimi huwa nawatel na wenyewe wanakubali, peace and love sisteri:high5:

Asante
 
God help us and forever you will remain our God. My sister God has great things to do with he will give a second chance, serve him faithful and fearfully and you will see his greatness. Do your work as if you will not do again, encourae others stand with those who need you support or your word and you will see the glory of God.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…