Mapi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 6,848
- 2,741
duh hizi habari zinaniogopesha sana.
Mwili wanitetemeka
Kinakutisha nini ndugu?? Haya ndiyo maisha ya mwanadamu na mambo yake
duh hizi habari zinaniogopesha sana.
Mwili wanitetemeka
Hufi, ila unyanyapaa ndio unakatisha tamaa
Mhhhh sasa ni hata uni PM mshikaji
Mhhhh sasa ni hata uni PM mshikaji
Mbona kama una mashaka?
Unajua wakati naanzana na wewe sikujitambua kama nimeathirika....ila baada ya kuandamwa na homa zisizoisha pamoja na upele mwilini ndipo nilipopata wazo la kwenda kucheck afya yangu, hapo ndipo majibu yalipokuja kuwa nimeathirika.
Ila nakushauri nawe ukapime afya ili ujue kama umeathirika au la.
...Asante,sitanii
Baada ya kuusambaza ndio umepata busara sio?
Kumbe siku nyingine unamtambua Mungu?!!Kweli Mungu ni mkubwa jamani.
Kumtaja mungu katika kadhia ya kiutamaduni kutambuliwe kama kumtaja mungu katika kadhia ya kiutamaduni.
Ukichukulia kila kitu literallly utaambiwa "moyo wangu umekufia" ukalia msiba bure.
Mimi nanukuu mpaka mistari ya misahafu.
Hilo halinifanyi kuwa muumini.
Matatizo yako hayajaisha bado? Ipo siku utajitambua na kuamini Mungu
Mkuu kosa sana kwa kauli hii,soma vzuri ujumbe wake,au unaugonvi nae,yuko hapa kutuelimisha,vitu vingine angalia mkuu unapo comment