GIRITA
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 4,134
- 5,243
Dar yako ni ya juzi imepitwa na ujiji miaka 300 kuwa mji sasa tuliza boli.
Amini usiamini wanaume wa Dar Es Salaam ndo walioleta Uhuru wa Tanganyika...!Nimetoka nje ya mada....Dar ndo sehemu iliyoanza kujanjaruka na itaendelea kujanjaruka milele na milele licha ya figisu zinazopigiwa...I Love Dar