Historia ya maisha yangu

Hapo kwenye kwenda bagamoyo kwaajili ya kulia nimecheka sana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Nitaiga Hilo aisee
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] unataka kwenda kumpiga mtu radi

Aisee Mapenzi yatakuja kuwaua siku 1
 
Wewe umejuaje kuwa wanataka kumdhuru mwanao unaweza kutupa baadhi ya ushahidi ili tuamini hicho unacho kiamini isije kuwa unahisi tu
 
Halafu usisikilize upande mmoja tu. Ukute huyu dada ndio msumbufu mpk watu wamezila kusomesha mtoto kutokana na kero za mama yake.
Hayo mambo yanataka usikilize pande mbili
Naam [emoji419]
 
Hiyo pesa unayompa sangoma aroge bora ungewekeza au umlipie mtoto ada huyo mwanaume umuache karma ishughulike nae.

Humu duniani maudhi ni mengi mno utaroga wangapi!!
 
Kwahiyo umemroga kijana wa watu;??
Kijana?kwani mie mzee?nilikuwa bize nafanya yangu nakumlea mwanangu,anakuja na libibi kizee lake kutaka kumdhuru mwanangu afu nimuache? thubutuuu,mfipa anakupiga ukimgusa tu
 
Hiyo pesa unayompa sangoma aroge bora ungewekeza au umlipie mtoto ada huyo mwanaume umuache karma ishughulike nae.

Humu duniani maudhi ni mengi mno utaroga wangapi!!
Hapana huyu lazima apigwe,ada nilishalipa nusu ,panapo majaliwa namalizia,saivi sitaki hela yake,nataka arudi zero nolipomtoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…