Kipepeo wa chuma1
JF-Expert Member
- Jan 17, 2021
- 387
- 558
- Thread starter
-
- #381
Nikimaliza hili tutafanya usemavyo.Sasa...Mimi nachotaka Ni uolewe na huyo mwanaume...Mkae mleee hao watoto na mzae watoto....hiyo nguvu yako ya ULOZI ....elekeza huko.....Kama KWELI unaaamini kurogana.... Huko ndo unakotakiwa kuinvest Ulozi wako.....
Siogopi nimedhamiria.Wape juju kali, tena njoo inbox nkupe ufundi, unaweka juju ya kumaliza ukoo mzima, hakibaki kitu had kiumbe cha tumboni km kuna mwenye nacho ktk huo ukoo kinakwenda na maji.
Fanya kweli mom, usiogope.
Hilo ndo la.msingi my dear.... Constant supply of penis and money plus ndoa yako na huyo anakuita mchepuko.. Hilo ndo linatakiwa kuwa lengo....Nikimaliza hili tutafanya usemavyo.
Na ndivyo ilivyo. Anahisi amerogwa, then anakimbilia kwa wagangaLoga Ni kuloge....maisha yakifala Sana haya
kurogwa asilimia Kubwa Ni hisia... Unahisi unarogwa ....
Labda umkute mtu live nyumbani kwako au uone madawa... But wengi wetu..huwa tunahisi tu
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] anakuwa na hasira za maisha au sio100% mwanaume anayepiga mwanamke wake huwa kapuku balaa
Mama ukishindwa kusamee lipa kisasi tena kizito kwa mshindo mkuu hapo moyo wako utatulia wachana na watu ambao hawajanyanyaswa live, hawajui machungu, nipo nyuma yako.No nilikaa kimya Kama mjinga,wamefanya yao,wanataka hadi kumuua mwanangu,kwahiyo nitulie tu? hapana,nilipomkuta wakati namnunulia boksa namrudisha[emoji120]
Wee...wanakuaga muda wote wakali...yaan ukitabasamu na simu yako kosa..unamcheka😅[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] anakuwa na hasira za maisha au sio
Mimi nataka aroge Mambo ya maana...Mana anaamini Sana UloziAtakua Huyu Huyu, maana naona anatumia nguvu sana kukwamisha jitihada zako
Jf Kuna watu huwa mnacomment kama unaugomvi na mtu,huu ndo ushetan na uchawi yaan furaha yako nkuona umemkwaza mtu,hukupata malezi mazuri pimbi wewe,nazan umelelewa na waleviSehemu gani nimekutukana? inaonekana hata ujielewi wewe. Unataka ujibiwe kama unavyotaka wewe? ungepeleka hiyo topiki FB kwa marafiki zako basi
Hana maajabu chumbani ..alafu bado hajaachwa.. mwanaume ndo anakwambia mkewe Hana maajabu chumbani?.....Hahah huyo sitaki aachike,kwani Hana maajabu chumbani,na jamaa shoo zake za kibabe yeye haziwezi,soon tunaenda bomani kuhalalisha na yeye atabaki na heshima ya mke wa kwanza.Siwezi mfanyia hila sababu nilimkuta.
PosutaM
Mie mfipa nikimalizana naye Nampa mwanangu ubini wa home.
Subiri wazee wakamilishe kazi,mengine tutazungumza baadae.Hilo ndo la.msingi my dear.... Constant supply of penis and money plus ndoa yako na huyo anakuita mchepuko.. Hilo ndo linatakiwa kuwa lengo....
Lengo la kuinvest hela kumkoa mke wa baba mtoto wako....hata wakishakoma Wewe utapata Nini?.... Furaha ya Muda mfupi...
Wakati furaha ya Muda mrefu kwako na watoto wako....IPO hapo kwa Huyo akuitae mchepuko
Wise up lady
Hayo ya kwao,mie nashughulika yangu na babe wangu,Wala sitaki amwache,na yeye alishasema ni Moslem dini yake inamruhusu kufanya hivo.Hana maajabu chumbani ..alafu bado hajaachwa.. mwanaume ndo anakwambia mkewe Hana maajabu chumbani?.....
My sister wise up...chose your battles
Ndio nafanya hivyo,arudi nilipomkuta niwe huru na mwanangu,nimbadili ubini tuanze fresh hila grudges wala kumbukumbu yake kwenye maisha yetu Tena.Mama ukishindwa kusamee lipa kisasi tena kizito kwa mshindo mkuu hapo moyo wako utatulia wachana na watu ambao hawajanyanyaswa live, hawajui machungu, nipo nyuma yako.
Haaaah Mimi nikuete THE IRON BUTTERFLY kwakweli nami kunajambo nimesamee miaka na miaka lakini muhusika kila siku huni fanyia kejeli naomba baada ya mwezi nikuulize matokeo kama ni positive nami unielekeze katavi.Niwape updates Nini?hahahahah wameanza kutafutana huko hahahah
Dini yake inamruhusu kua mke WAPILI...hili ndo unatakiwa ukomae afanye...hilo.la kukufanya mchepuko Dini hairuhusu my dear....Hayo ya kwao,mie nashughulika yangu na babe wangu,Wala sitaki amwache,na yeye alishasema ni Moslem dini yake inamruhusu kufanya hivo.
Ukicheka na cm yako anahisi unamcheka? [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Wee...wanakuaga muda wote wakali...yaan ukitabasamu na simu yako kosa..unamcheka[emoji28]