Historia ya maisha yangu

Ushirikina na mswahili ni kama mapacha tu.
 
Daaah! JF kiboko aiseee.
 
Hujatueleza walitaka kumuua kivipi?
 
Walitaka kumdhuru vipi?

Up to then mtoto alikua anakaa na nani? Baba yake au wewe? If alikua kwako how they accessed the kid? Au mpo jirani as in you live here, they enjoy themselves just next door?

Walitaka kumuua/kumdhuru by which method au mistreat/torture/kiushirikina as your planned approach?

Hell hath no fur as a woman scorned. But please breathe. Dont think to open a can of worm coz mwenyewe ushasema wameshashtukia na wao wanapambana. Even if you are more specialized.., we here have begged you a million times sweetheart hear us out back down, retreat... revenge belongs to God.
 
No revenge is a must,jua hivyo,wameanza namaliza,hii Vita mshindi atajulikana kwa Vita ya dunia ilivyoishia pale Hiroshima kwa bomu la nyuklia,na dunia ikatulia.
 
Yani kila nikimzoom jamaa anavyotetemeka yeye na mama yake na mkewe naishia kutabasamu,hahahah,wanasema usianzishe vita usiyoimudu,hahahah ikishindwa katavi tunaingia ngende,hahahah,na katavi haijawahi shindwa🤣🤣
 
wewe unagekuwa gil wangu, ningekuacha na kipigo kizito maana unaonekana una mdomo sana aisee
 
Yani kila nikimzoom jamaa anavyotetemeka yeye na mama yake na mkewe naishia kutabasamu,hahahah,wanasema usianzishe vita usiyoimudu,hahahah ikishindwa katavi tunaingia ngende,hahahah,na katavi haijawahi shindwa[emoji1787][emoji1787]
So ushafanya vitu tayariii...!?
 
Yani kila nikimzoom jamaa anavyotetemeka yeye na mama yake na mkewe naishia kutabasamu,hahahah,wanasema usianzishe vita usiyoimudu,hahahah ikishindwa katavi tunaingia ngende,hahahah,na katavi haijawahi shindwa[emoji1787][emoji1787]
Unamzoom wapi?...huu Ulozi wako wakuona matokeo ukiwa mbali ukoje.. unatumia...kiooo gani mwenzetu..?
 
Kuna maswali mnauliza ambayo sipaswi kuyajibu saivi,mzee wangu mwingine yuko ngende mtwara,naye ashaanza kushughulika,ameuza ekari zangu mbili za urithi,nimemruhusu kushughulikia hili
[emoji25][emoji25][emoji25][emoji25].....Umasikini nauchukia Sana
 
Ushirikina na mswahili ni kama mapacha tu.
Loga Ni kuloge....maisha yakifala Sana haya
kurogwa asilimia Kubwa Ni hisia... Unahisi unarogwa ....

Labda umkute mtu live nyumbani kwako au uone madawa... But wengi wetu..huwa tunahisi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…