Mkuuu...hata mtu akipanga kunidhuru Mimi nikajua itaniuma sanaaaaaaaa...Sawa ukipata mtoto halafu mtu akapanga kumdhuru utaelewa,inaumaaa.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] hatari Sana mkuuKuna muda life letu linaenda ndivyo sivyo, kumbe tushatengenezwa kwa waganga huku [emoji28][emoji28][emoji28]
Hahahahahahahaa ila kipepeo.umedhamiria aise
Sawa nimekubal kuwa waki,na wazee wote nishawashirikisha hili wapo wanachochea dozi saivi 🤣Mkuuu...hata mtu akipanga kunidhuru Mimi nikajua itaniuma sanaaaaaaaa...
But Sasa kwenda mbio kwa waganga Mungu asinipe mtihani wakunifisha Huku...
Haya Sio maisha kabisa....maisha yakiwaki Sana hayo
Mi nliuliza nikaambiwa..Ni mke wa baba mtoto wake...Ebhana ww umejuaje kama walitaka muuwa uyo mtoto????
Kama Ana haki atashinda Ila Kama amenikosea na mwanangu hatoboi,katavi na ngende mtwara inahusika,tuko studioMi natamani tu kupata update kama muvi hivi sijui mwisho utakuaje
Mleta mada awe muwazi akishindwa pia atupe ukweli [emoji28][emoji28][emoji28]
Huwa napenda watu kama huyu mleta mada wanapania hatari
Ila Mungu ana nguvu sana akikataa akazuia hata aende wapi atashindwa tu
Safi sana dada, mkomeshe huyo bwege
Nimecheka Sana [emoji16][emoji16][emoji16]Akidate na mimi kazi lazima apate.
Naomba nikitumia na Mimi mtu...jina lake umroge kwa niaba yangu....
Dada wa watu kaumia sana...Mi natamani tu kupata update kama muvi hivi sijui mwisho utakuaje
Mleta mada awe muwazi akishindwa pia atupe ukweli [emoji28][emoji28][emoji28]
Huwa napenda watu kama huyu mleta mada wanapania hatari
Ila Mungu ana nguvu sana akikataa akazuia hata aende wapi atashindwa tu
[emoji16][emoji16] siulisema income sio kama ile ya awali maana awali ulikuwa unapiga mishindo ya hatari mpaka ukamgueza kijana wa watu kuwa msingi kiuno [emoji16][emoji16][emoji16]Nisharudi
ofisini kitambo
Huyu Mungu wetu ndo maana huwaga hajibugi hata maombi yetu......Ngoja niingie Chachi one time,hata Muumba wangu anajua wamenichokoza na wamenitesa na mwanangu Sana,jasho langu kwake haliwezi potea bure,nilikausha,wameenda kuyafumua,Sasa tukutane kilingeni,itajulikana tu mshindi ni nani,na wazee wamesema hawataki hela yake hata shilingi Mia,tulishaomba Sana akagoma,Basi waendelee kugoma sio tunaenda shtaki kilingeni,mshana anaelewa.
Hivi unajua...kifo kinampata yoyote yule.... Watoto wanakufa kwenye matumbo ya Mama zao... Tukitafuta mchawi kwasababu watoto wanaugua...hatuwezi mkosaSijataka anipende nilitaka alee mwanae tu,akagoma,nikapotezea,Sasa kutaka niulia mwanangu,hapana nitakuwa mzembe!
Itakuwa jamaa aliyenae hamfikishi kibo Sasa ukichanganya na hasira za kumtoa mtu aliye kuwa ana kufikisha kibo kimaisha + hasira za genye aisee hapo lazima ampige mtoto wa watu radi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Dada wa watu kaumia sana...
Ni hali ya kutokua na doo tu ukiwa na pesa huwezi hanagaika kuroga watu washuke kiuchumi ili ufaidike nini sasaI love you
Duuuh...yaaani siwezi kabisa unafikria waganga siwajui Mkuuu.... Siku nikitengeneza ID mpya kabisa...naweza elezea vitu vingine..untill then.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimecheka jamaniiii dah hio kwa niaba hakuna nenda mwenyewe kilingeni
Hapana wamemgusa mwanangu hivyo tu,nikimaliza kazi nitaleta mrejesho,hapa Niko Chachi waumini hakuna,nadhni wamesitisha Misa sababu ya corona,so narejea home,mlisho nyuma mtaupata tu msiwaze.Ni hali ya kutokua na doo tu ukiwa na pesa huwezi hanagaika kuroga watu washuke kiuchumi ili ufaidike nini sasa
Pesa pesa pesa pesa tafuta pesa
Siongei Tena ukwel unajulikanaHasira zote za kutaka ashuke kiuchumi Ni kwakua unamchango kwenye Huo uchumi wake...
"Ntamkomesha Mimi SI ndo nlimpa mtaji...Sasa lazima arudi kwenye boxa za buku mbili"
Angekuwa baba wa mwanao hukuchangia kwenye uchumi wake na Bado akakuacha...ungefanya haya?
.....your spitefulness is from the money you invested on a man and another woman is enjoying your fuits....
I hope you'll find peace
Huwa siwaonei huruma wanaume wa namna hiyo. Akomeshwe tafadhali..kwa niaba ya wanaume wote wenye tabia Kama zake[emoji23][emoji23][emoji23]part of me celebrates with her
Niko na mixed feelings
Anyway kuna muda wanaume wanazingua sana mwanamke akichoka mambo huwa kama hivi