Historia ya maisha yangu. sina raha.

Huu ni uthibitisho kuwa mwanamke hawezi kamwe kumsahau aliyemtoa bikira. Pole sana.
 
My dear pole sana,Mungu ana makusudi mazuri na maisha yako,embu tulia chini mlilie Mungu na mweleze siri zako zote anajua atakusaidiaje,mi naamini hakuna msaada na rafiki mkuu kama Mungu,uliyopita wadada wengi wanapitia kama sio kaka ni binamu,mjomba na mara nyingne hao baba wa kambo,cha muhimu umejielewa,its not easy to let go but when its the right thing to do,do it,that man is gone n he wil not be back n even if he could b back u know its not right so my dia ask for Gods power to help u overcome all.
 
you have to let go of the past!

Kwanza Muombe Mungu msamaha, then muombe akupe wepesi wa kusahau na kumove on!
 
Si waliaga wanaenda muziko jamani? Muziki unaishaga alfajiri ndugu. Ndo maana hawkurudi, na wazazi wao wanaja kuwa wote wa2 wanapenda muziki. Plus familia ina fwedha, so mabo ya kidhungu kidogo.
Hapana kutokana na point yake, walipofika kule walienda nyumba walio kuwa wakipangisha wazungu afu hao wazungu walisha iacha kitambo....pale pia waliendela na music afu imagine ikiwa walitoka kule night club ina mana walisha ondoka saa za alfajiri mana wao kwa kupenda music ili bidi waendelee kule nyumba yao ya pili.


Point ingine pale mpaa mwanaume afikie kuanza kumpiga brush huyo mwanamke jua litakuwa limeisha panda yani saa mbili asubuhi...Haya bada ya hapo wakacheza mchezo nadhani mpaa wamemaliza ilichukua time mana aliona raha sana.....mara wakapitiwa na usingizi hao mpaa waje kuamka itakuwa saa saba au nane mchana...hivi wazee wao hawatakuwa hawana wasi wasi hao walikuwa wapi???


Hata kama wanaishi kizungu lazima wazee watashtuka pale hawa walisema wanaenda disco na vipi wasirejee mpaa mdaa huu.


Yani ukweli mimi naona kuna uwongo sana kwenye hii thread :biggrin:
 
Dah i thnk we smhw hv da same story bt ya kwako inahuzunisha zaid.....powlee sana
 
wengine humu mmefanya mkiwa na miaka 13 tena kwa kulukialukia wanaume,mwishowe wakafanya kweli
sasa huyu alilubuniwa na kufanyiwa hivo akiwa na miaka 16,alafu nyie mnajifanya kulaumu mara hoo alaaniwe..umesaau ya kwako? Acheni mambo yenu.
Amekosea atubu aanze upya.
 
wengine humu mmefanya mkiwa na miaka 13 tena kwa kulukialukia wanaume,mwishowe wakafanya kweli
sasa huyu alilubuniwa na kufanyiwa hivo akiwa na miaka 16,alafu nyie mnajifanya kulaumu mara hoo alaaniwe..umesaau ya kwako? Acheni mambo yenu.
Amekosea atubu aanze upya.

Waambie hao, naona kuna watu wanajisahau sana nakuanza kujudge wenzao!!! Haya bana.....
 

....usijali, wengi wetu hata mimi na maskeletoni kabatini yamejaa vumbi...

hiyo 'incest' jipe moyo kwamba nyie sio ndugu wa damu uondokane na hiyo guilty conciousness
au labda kama unatatizwa na abuse iliyotokea kiasi cha kufikiria inavyoathiri maisha yako, msamehe,
muombee, na shukuru mungu maisha yaendelee.

Miaka mitatu ni mingi kuendelea kuomboleza.
 
kwa kuwa alikuwa first lover wako ndo maana inakuwa ngumu kumtoa mawazoni,na hao uliowapata bado viwango vyao may be havijamzidi yeye,
jipe muda utakuja kusahau tu
 
Kwa hiyo GM let me get this story of urs straight ... Kaka yako ndiye aliyekubikiri ....
 
Pole just kwa kuelezea hiyo story. Hata kama ni fiction. Lakin it happens even in real life.
 
haya yalinikuta. Kauli zenu za kejeli, dhihaka na kujisif ni sbb ambayo yakitukuta tunakua hatuna wa kukimbilia wala kulilia. Nilkua mtoto mdogo lkn nimekua sasa najua nu makosa bado haibadlish kua mpnz alikua kaka yangu na bado nampenda. Kaen hivo hivo mkinicheka ukute mtoto wako. mdogo wako ndg yako wa karbu anachezewa na ndg mm1 wapo ila huna habar. Kaka yy ndie aliekua wa kunieleza ni makosa sasa yy ndie nilikua nafanya nae. Wengine mnaulza umri nipo23 na kaka alkua mpnz wangu kwa miaka mi 4. Mnanilaum na kunifumba badala ya kunishauri. Sante kwa wote waliojal na kunipa pole na ushauri. Mimi nasal bt sio mtu wa kanisan kivile. Na kwa taarifa yenu hii sio hadth ilisha nitokea na ndio maisha yangu.


Golden Mpoleeee
 
Mdogo wangu pole sana, ukipata wasaa a kama wahitaji ushauri zaidi nitumie PM. Nitakuwa shangazi yako kwa muda!!!
 
Dah!kiukweli cna cha kusema zaidi ya kukupa pole na kuiruhu historia ipite,mrudie mungu na maisha yaendelee!takufa wana saikolojia wakusaidie kurudi ktk hali ya kawaida!haya mambo kweli yapo na yanatokea kwenye jamii zetu ivo hasa wadada/wamama hili linatuhusu kujitahidi kuwa karibu na watoto wetu na kuwa makin na wale ndugu wenye mapnz yacyoeleweka kwa watoto!Pole sn GM.
 
Back
Top Bottom