Mimi ninadhani inabidi umwone pscychological expert upatae ushauri wa kukutoa kwenye hy stress. Na pia wewe mwenyewe kukubali hy hali, mana kuna kupewa ushauri halafu finali ni wewe umepokea vp ushauri na kuufanyia kazi. nadhani inabidi ukubali kwamba hy mpenzi wako alishatangulia na hawezi kurudi na hutamwona, basi ujaribu kuanza upya, ninahisi pia kitu kinachokusumbua mpk umeshakuwa na 4 boyfriends, ni una compare care wanayokupa na aliyekuwa mpenzi wako, so kama ni hivyo watu hawafanani na ni ngumu/sio rahisi kupata atakayefanana naye. so kila kitu kinabaki upande wako kwamba inabidi ukubali hiyo hali ya kumtoa mawazoni mwako, ili umove forward na utakayempata. Hii lazima itakuwa ni process ngumu sana on ur part but ukidetermine kumaliza hilo tatizo utaweza kupita hy stage