Historia ya maisha yangu. sina raha.

Kakondoo nilikuomba uniPM naona umegoma.

Mpe mwenzio pole kwa maswahibu.

Jamani mama mchungaji......sio hivo mwaya mwenzio sikuona, si wajua the way siko sana jamvini these days? Hope hutajali sana kama nikikuPM b'dae!!
 
Pole sana GM.
Unachotakiw akufanya ni kusahau yaliyopita, na kuueleza ukweli moyo wako kuwa ulichokuwa unakifanya hakikuwa sahihi kabisa.
Tulia, fanya maabo mengine ya maisha, wanaume usiwawekee umuhimu wa kwanza, na kuwacompare na uliyempoteza, la sivyo utalala na wengi, mwisho wa siku utajuta zaidi.
Time heal, and give it to God, he will forgive you na kukuweka huru
 
Naomba niwe mkweli japo kidogo leo.

I knew it, something was wrong somewhere!
Maan hiyo attension seeking yako ilikuwa inaniwacha mdomo wazi.

Baada ya kusema hayo, nakupa POLE ya dhati. Hapa kuna mchanganyiko wa mambo kadhaa siwezi kukulaumu saana kwa kitendo hicho.

Kama ni muumini, shika imani yako ili uweze kukopu kwa sasa.

Pole sana, nakusamehe bure kwa sredi zilizopita. Dah! Sina hata la kusema.

Wazazi tuko wapi, shetani anakula vizazi vyetu tukiwa hapo hapo.
 
My God ! Ukistaajabu ya
C .C.M unakutana na ya Chadema ! Mi ngoja nikanyoe ndevu kwanza ! Nitarejea
 
Funguka mkuu kama ulibandua ndugu yako!
haya mambo yapo,kuna story naijua ni nzito kuielezea kuliko hii,kikubwa unaambiwa iwe siri.lakini kwa yanaemkuta,yana mu affect sana.pole sana gm.kitendo alichokuwa akikifanya ndugu yako,ni kibaya mno,aliku manipulate,na wewe ukaingia.hujiulizi kwa nini ilikuwa siri?kwa sababu ni wrong.na kwa nini umeshindwa kukielezea nyumbani?kwa sababu deep down unajua ni wrong.kwa sasa usiwe na relationship yoyote ile,jipe muda,jaribu ku focus na mambo mengine kabisa.wazazi jamani,mkikaa na watoto wenu,mkiona kuna mabadiliko yoyote yale ya kitabia,jaribuni kuchunguza.kuna mambo mengine mtoto huwa hasemi
 
Hii mupya.pole kwa kufiwa.hebu jaribu kutulia kwnz utakuwa cheche bure
 
Naomba niwe mkweli japo kidogo leo.

I knew it, something was wrong somewhere!
Maan hiyo attension seeking yako ilikuwa inaniwacha mdomo wazi.

Baada ya kusema hayo, nakupa POLE ya dhati. Hapa kuna mchanganyiko wa mambo kadhaa siwezi kukulaumu saana kwa kitendo hicho.

Kama ni muumini, shika imani yako ili uweze kukopu kwa sasa.

Pole sana, nakusamehe bure kwa sredi zilizopita. Dah! Sina hata la kusema.

Wazazi tuko wapi, shetani anakula vizazi vyetu tukiwa hapo hapo.

mh nakuunga mkono mwana saikolojia. ouh pole mwaya golden mpole pole sana! yan sina hata cha kusema tena! pole kwa yote.
 
pole sana GM yaliyotendeka yametendeka kinachotakiwa sahau yote na zaidi jitahidi kumsahau kaka/mpenzi... usiingie katika mahusiano mapya kwa sasa maana utakuwa unaingia sio kwa kupenda bali kwa tamaa au kujisahaulisha aliyetangulia...jipe muda wa kutafakari maisha ya mbeleni
 
speechless...yaani damn speecless but sipendi kujudge mtu cause mi mwenyewe am not perfect.you were in a messed up life but you can still change..u ve to put it behind you and focus.hii iwe siri yako sidhani kama kuna mwanaume anaweza vumilia hii past i definately no i cant
 
nimesomaaaaaaa mpaka mwisho lkaja swali:


1...aliyekufa ni kaka yake

2...ni rafiki yake au

3...mpenzi wake????


nini kinamfany akose raha?.....toka afariki huyu mpoleeeee golden amekuwa na wanaume wanne tofauti kijalibu kuziba pengo!!! kuna mengi najiuliza lakini jibu ni moja nimepata kuwa...familia ya huyu dada ilitoa NAULI ya safari ya huyu mpolee golden...hasa mama yeke hakumjali...........
 
pole weee...ndo ukubwa huo...kua busy na mambo yako kama kusoma somaaaa weee,kama unaanya biashara ongeza juhudi... jipe raha mwenyewe kaa vizuri na ndg zako.....ukishasahau yote ndo anza kufind mpnz.
 
Mtume! shosti pole ila unaroho ngumu sana sijui unamiaka mingapi sasa ?lakini unatakiwa umuombe mungu sana,
Duh ukistajabu ya musa kuna na firauni....
 
pole golden,kuna kitu nimejifunza kwenye huu mkasa wako.wazazi let us be responsible.responsibility haiishii kwenye kuprovide material things,kuna changamoto nyingi sana ambazo watoto wanaziface zinahitaji uwepo wetu ili wazihimili.
 
Back
Top Bottom