Oeni wanaoendana na tamaduni zenu, mtatuletea laana. Kamuogesha mkwe wake sasa madhara yameanza kuonekana

Covax

JF-Expert Member
Feb 15, 2021
7,078
24,266
Huyu Kaka tulisha mshauri tangu ana oa aache kuoa mke asie jua tamaduni au miiko la kabila letu, sasa ona kilicho tokea hayo makabila ya kiswahili swahili hawana miiko ndo maana unakuta wengine wana oa Dada zao kabisa eti ni mtoto wa baba mdogo au ni mtoto washangazi ndo maana wengi huzaa mazezeta katika familia zao, utazaa je na mtoto wa kaka wa mama yako? shit......

Baada ya kumuosha na kumvisha Baba mkwe wake wa miaka 81 madhara yake tumeanza kuyaona sasa hivi, yeye na baba mkwe wake pamoja na mjukuu wa mebabuka ngozi kabisa, ......kulikua na haja gani ya kumuogesha ange mpeleka hospitali hivo hivo, hizo pressure zake ndo zilivo zina panda kwa kasi af zina shuka ghafra marehemu mke wake alikua ana zijulia vzri.
Nb.
Wanaume oeni watu wanao endena na miiko yenu ya nyumbani hawa wanawake wengine wana tuletea laana tu kwenye familia zetu, ndo maana maendeleo na pesa ni ngumu sanaa katika baadhi ya familia.
 
Nimesoma mara mbili, ila nimeambulia patupu.

Au ndio nishaanza kuzeeka? 🤦
 
Hii ni stori ya kweli au chai?

Wenye baba walikuwa wapi hadi mzigo wa malezi wakauacha kwa mke wa ndugu yao?
 
Nyie wa kwamume mngekua organize to that extent, isingetokea incidence hadi huyo dada akamuogesha mkwe, wote waswahili tu
Wewe wataka wote tushinde nyumbani tusitafute riziki,
 
Hii ni stori ya kweli au chai?

Wenye baba walikuwa wapi hadi mzigo wa malezi wakauacha kwa mke wa ndugu yao?
Angepiga hata simu ndani ya dakika 10 mtoto wake wa kiume angefika kwanini akurupuke kumuogesha haraka, alikua na lake.
 
Nimesoma mara mbili, ila nimeambulia patupu.

Au ndio nishaanza kuzeeka? 🤦

Kuna mzee wa miaka 81 ambaye anaumwa pressure ya kupanda na kushuka, huyu mzee alishapoteza mke...

Kwa sasa huyo mzee anakaa na mwanaye wa kiume, huyu kijana ana familia yenye mke na watoto...

Sasa inaonesha kuna siku alizidiwa, na aliyekuwepo kutoa msaada ni mkwewe (mke wa kijana) na kabla ya kumpeleka babu hospitalini ilibidi amuogeshe...

Sasa huyo mzee, mwanamke na watoto kwa sasa wamebabuka ngozi, mleta mada anatuambia ni laana ya kuuona uchi wa mkwe...
 
Huyu Kaka tulisha mshauri tangu ana oa aache kuoa mke asie jua tamaduni au miiko la kabila letu, sasa ona kilicho tokea hayo makabila ya kiswahili swahili hawana miiko ndo maana unakuta wengine wana oa Dada zao kabisa eti ni mtoto wa baba mdogo au ni mtoto washangazi ndo maana wengi huzaa mazezeta katika familia zao, utazaa je na mtoto wa kaka wa mama yako? shit......

Baada ya kumuosha na kumvisha Baba mkwe wake wa miaka 81 madhara yake tumeanza kuyaona sasa hivi, yeye na baba mkwe wake pamoja na mjukuu wa mebabuka ngozi kabisa, ......kulikua na haja gani ya kumuogesha ange mpeleka hospitali hivo hivo, hizo pressure zake ndo zilivo zina panda kwa kasi af zina shuka ghafra marehemu mke wake alikua ana zijulia vzri.
Nb.
Wanaume oeni watu wanao endena na miiko yenu ya nyumbani hawa wanawake wengine wana tuletea laana tu kwenye familia zetu, ndo maana maendeleo na pesa ni ngumu sanaa katika baadhi ya familia.
Upuuzi na ujinga,eti oeni watu wanaoendana na miiko yenu,huu ujinga wa karne ya 21,kama na wewe uko miongoni mwa jf great thinkers basi tumepigwa.

Watu wanawaogesha mama zao au baba zao na hakuna baya linalowakuta ije kuwa baba mkwe?

Mimi baba mkwe namuogesha hadi namuvalisha nguo,ni hatari sana mtu kuamini katika upuuzi huu kwa nyakati hizi
 
Mkuu huenda nyie tamaduni zenu zinakubali, unaweza hata kufanya zaidi ya hapo sio dhabi ila kwetu hapana siwezi kula sahani moja au kutumia bafu moja na mama mkwe......wewe fuata tamaduni zenu na sisi tufuate za kwetu sio lazima tufanane.
 
Kuna umaskini mwingine hapana kwa kweli kwani huyo mume wa huyo dada hayupo mpaka mke afanye kazi iyo au huyo mume hana kaka na wadogo.
 
Kihere here cha huyu mama aliambiwa apige simu haiko mbali na nyumbani ndo anako fanyia kazi angefika faster.
 
Mkuu huenda nyie tamaduni zenu zinakubali, unaweza hata kufanya zaidi ya hapo sio dhabi ila kwetu hapana siwezi kula sahani moja au kutumia bafu moja na mama mkwe......wewe fuata tamaduni zenu na sisi tufuate za kwetu sio lazima tufanane.
Mkuu sasa kama kila mtu na utamaduni wake wewe ni nini kumekuleta hapa jukwaani kulalamika ilikhali unajua jf ina watu wa tamaduni tofauti ambao lazima watapinga hoja yako?
 
A e andika as if mnakaa mtaa mmoja au anamzungumzia mtu mashuhuri nchi hii ambaye kila mtu habari yake tunaaijua
Mkuu nikifunguka zaidi kwa kutaja majina na mahari tunako ishi takua navunja privacy right ya familia nzima, hiyo pia ni aina ya kufikisha ujumbe kwa kuficha watu husika kabisa.
 
Back
Top Bottom