um so sorry Gm kwa yaliyokukuta!is heart touching life story! nahis maumivu uliyonayo,but that is a part of life kupata furaha na wakati mwingine maumivu!jipe moyo, zaid sana muombe mungu akusamehe kwa yaliyopita na akusaidie kusahau yaliyopita,na ni vizuri ujitahidi kukubaliana na matokeo ndiyo yameshatokea huwezi kubadili ukweli lakini maisha yanendelea,nadhani ni vizuri ukajipa muda wa kuwa peke yako utafakari kwa kina ni mtu gani unamuhitaji,then akitokea wa aina hiyo nadhani utakuwa happy nae na utampenda,but one mor thing usiwe unalinganisha ulienae na kaka yako kwa sabb always utaona tofauti kwani bianadamu hawalingani kwa kila kitu.,ukipenda ushauri wangu nitafute kwenye pm nikushauri zaidi.