Historia ya maisha yangu. sina raha. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Historia ya maisha yangu. sina raha.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Golden Mpoleeee, Jan 28, 2012.

 1. Golden Mpoleeee

  Golden Mpoleeee JF-Expert Member

  #1
  Jan 28, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 572
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nimezaliwa peke yangu kwa mama. mama yangu alijaliwa kunipata mimi tu kama mwanae pekee. alikua mzuri sana na akaolewa tena. hapo alipoolewa huyo baba alikua kafiwa na mke wake na walikua na watoto wake wa kiume wa 3. nilikua na akili sana darasan na sbb pale nyumban ilikua ni kwa baba mwenye pesa nyingi tuliishi kwa raha kila kitu tunapata. mama yeye anapenda habari njema tu. hataki umpe taarifa mbaya. anaumwa. katika kaka zangu wale kaka yangu wa kwanza alinizidi miaka 7.

  walikua wote wakinipenda sana wote na mimi nilifika hapo nyumban nikiwa na miaka 7 na mama hakuzaa tena na huyo baba. nikiwa mtoto wa kike wa pekee nilipendwa mle ndani na kutunzwa kama yai. mimi ilikua mtu asinikorofishe nikisema nyumbani kaka zangu wanachukia na siku ya pili kaka yangu mpaka aende apambane na wakorofi wangu. tumeishi hivyo kwa miaka yote. nilipofika miaka 16 nilifanyiwa sherehe kubwa ya kuzaliwa na kupewa zawadi nyingi nzuri. napenda muzik sbb kaka yangu mkubwa anapenda muzik. alikua akinikaribisha chumbani kwake tunasikiliza muzik na ananiambia habari ya wanamuzik wengi.

  kesho yake huyo kaka yangu akaniambia kaniandalia surprise kubwa. akaaga kwa wazazi wetu kua ananipeleka kwenye muzik. kweli alinipeleka huko tukafurahi na kucheza sana. baada ya hapo tukaenda nyumba nyingine ambayo baba alikua akipangisha lakini wapangaji hao wazungu walikua wamehama. tukaingia humo ndani na kaka akawasha tena musik na kuniambia tucheze. naona ni utoto niliona sawa tu. wakati wa kucheza kaka akaanza kunishika shika nikawa kama najiponyoa na kusita. akaniambia kuna kitu kizuri antataka kunifundisha ambacho wasichana wote hua wanafanya. nikasema sawa. mwisho tukaishia kwenye sofa akanivua chupi na kunichezea sehemu zangu za siri. kwanza niliogopa sana. ila alivo zidi nichezea nikaona raha sana. akanichezea kwa mda mrefu nikaona raha ajabu ambayo sijawahi ona. nikapitiwa usingizi. nikashtukia nasikia maumivu makali sana kama kisu vile nikakuta kaka kanilalia. nililia sana na kuchukia. akaomba msamaha na kuniambia yaishe nisiseme kwa mama na baba. nikasema sawa.

  tulipo rudi siku zilivyopita nikakuta natamani tena kuona ile raha. nikamfuata kaka na kumuuliza kama tunaweza tena kwenda cheza muziki. naona kaka alielewa sbb alinipeleka mojo kwa moja kwenye ile nyumba. toka hapo mapenzi yetu yalikua taratibu. tukawa tunafanya mara kwa mara hadi nyumbani tukiwa peke yetu. alikua ananijali hadi kunipa vidonge vya kuzuia mimba. alikua ananipenda alikua hataki mtu yoyote yule anigombeze. kaka zangu wengine wadogo wawili walikua wakitaka kuongea na mimi hataki kabisa wala alikua hataki baba anipeleke kokote. alikua ananifuatilia kila kitu hadi masomo. ananiambia nikifeli sitakua mpnz wake tena. nilikua na juhudi na chochote anacho niambia nafanya. nampenda. nampenda. nampenda.

  sijawahi kumuambia mtu sioni sababu wala sioni wa kumuambia. kaka yangu ana miaka mitatu sasa toka afariki kwa ajali mbaya ya ghafla. nilipo pata hio habari nililazwa week nzima. miaka imepita sasa. mwezi wa tano atafunga miaka mitatu. toka kufariki kwake nimekua na wanaume wanne niweze kuziba pengo lile nirudi hali ya kawaida nashindwa kabisa. nawaomba ni mara yangu ya kwanza kutoa hii historia. naomba msinikejeli. yalinikuta mwenzenu sina raha kabisa. siwezi ongea na mama sio muelewa. baba na kaka zangu wengine wanalalamika nimebadilika. sitaki kuwazoea na wao kama nilivokua nimemzoea kaka yangu kipenzi alafu nao wapotee.


  Golden Mpoleee.
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Jan 28, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Weka aya basi jamani!!

  Well kamani kweli pole sana kwa kumpeteza kaka/mpenzi wako. Badala ya kulazimisha nafasi izibwe kwa kuwa na watu wengine jipe mapumziko ulie vya kutosha, uumie vya kutosha, uomboleze vya kutosha mpaka utakapobaki na kumbukumbu pekee. Alafu sasa ndio uangalie uwezekano wa kuwa na mtu mwingine maana sasa hivi hujasaidii bali unaendelea kujichanganya/vuruga zaidi.
   
 3. s

  shosti JF-Expert Member

  #3
  Jan 28, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  mhhhh...
   
 4. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #4
  Jan 28, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  ni tamthiliya nzuri... sooo touching yaani
   
 5. B

  Bi. Mkora JF-Expert Member

  #5
  Jan 28, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 375
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Duh!! Hii story mmh!
   
 6. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #6
  Jan 28, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,657
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Hii ni hadithi ama tukio la kweli?
   
 7. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #7
  Jan 28, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Dah.....mie kusikia habari ya kifo tu, roho imeniuma. Pole mwaya, ngoja kwanza ninywe maji alafu nitarudi baadae!!
   
 8. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #8
  Jan 28, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Pole sana GM.
   
 9. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #9
  Jan 28, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  amini ni ya kweli umpe ushauri.
   
 10. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #10
  Jan 28, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  True that....mama mchungaji!!
   
 11. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #11
  Jan 28, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Dah! Golden Mpoleee umetoka kuniambia you will reform, kweli kabisa ma taking it what you have said hapa is true (na bahati mbaya saana really hoping ni hadithi); Pole saaana kwa mkasa huu.... Dah! Nimeishiwa maneno..... Samahani kama nakukwaza niece, but are you serious?
   
 12. Golden Mpoleeee

  Golden Mpoleeee JF-Expert Member

  #12
  Jan 28, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 572
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  @Ashadii. Niliposema nimeamua kubadilika nilimaanisha. Hapo ndio hua roho yaniuma wana jf tulivo wepes wa kushutumu! Kuna la ajab hapa? Haya hayatokei kwny jamii? Anty ashadii sio uongo ni kweli tupu!
   
 13. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #13
  Jan 28, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  haaaaaaaaaaaaa!
   
 14. Mkasika

  Mkasika JF-Expert Member

  #14
  Jan 28, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 393
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  What you have done is called moral decay-- when people start living like animals they can do anything-- both you and your brother are sick and more so your silly brother.
   
 15. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #15
  Jan 28, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Kila ukizani lako ni kubwa ukiskia la mwenzako unakausha kimyaaa...
   
 16. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #16
  Jan 28, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Imebidi niulize GM, for historia ya threads zako ndio zimenipelekea huko na niwengi pia watakua na nashaka..... That is the cost of it and you have to be patient.... GM, amini usiamini kisa chako kimenimaliza maneno.... Nina mengi ya kusema, ila I don't have the energy now.... Kikubwa namlaumu saaaaaana mama yako, it seems alikua hakufuatili kwa ukaribu ipasavo. Wewe kama binti uzungukwe na kaka watano ambao hata sio wa damu (maana hata wadamu inatakiwa kuwa makini); But the way umeongea nafasi ya mamako ni ndogo saana katika makuzi yako. Haiwezekani wewe mtoto wa kike unakua karibu na kaka kuliko woote ndani alafu mama karidhika tu hata asifuatilie kwa ukaribu! Mimi mtoto wangu tu wa kike sitaki awe karibu na babake kupita kiasi kinachotakiwa... For wanaume bana..... Dah! Enways nitakutafuta..... saiz nalog off.
   
 17. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #17
  Jan 28, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mimi nimenasa uwongo wako pale mlipo enda night club na mpaa siku ya pili hamkurudi nyumbani...vipi mama yako na baba yako wa kambo wasiwapige Q mlikuwa wapi mbona hamkurudi nyumbani.
   
 18. T

  Tayseer JF-Expert Member

  #18
  Jan 28, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 223
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Golden am real sorry bt also hata kama kaka yako angeishi milele bt msinge kuwa na future so muhimu shukuru Mungu amepunguza mlolongo wa matatizo katika maisha yako wewe na kaka yako pia familia yenu. So ni vema uendelee na maisha haya ambayo Mungu amekupa na si yale ya shetani
   
 19. Ziltan

  Ziltan JF-Expert Member

  #19
  Jan 28, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,350
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Ebwana eee!
  Haya mambo ya kubanduana ndani kwa ndani yapo sana ktk jamii zetu ila huwa siri na wanapo bambwa huwa siri ya kifamilia,najipanga kufunguka hapa!
  Anyway pole sana bebii G mpoleeeee!
   
 20. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #20
  Jan 28, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kakondoo nilikuomba uniPM naona umegoma.

  Mpe mwenzio pole kwa maswahibu.
   
Loading...