Kwetunikwetu
JF-Expert Member
- Dec 23, 2007
- 1,535
- 418
Sioni tatizo, kwanza anastahili pongezi kwa bidii ya kutafuta elimu. Pili, haikuwa initiation yake binafsi bali ya wazazi wake ambao walitamani mtoto wao asome ( hapo wa kulaumu ni wazazi, na si Mh Mwigulu mwenyewe) na Mwigulu akatatii matakwa ya wazazi.
Mwisho, enzi hizo kuchaguliwa she la serikali ilikuwa muhimu maana ndio zilikuwa bora na wengi miaka ya nyuma walifanya hivyo.
Nafikiri hii yote ni sababu ya umaskini tu wa wazazi enzi hizo, sidhani mzazi mwenye uwezo wa kupeleka mwanae shule kwa wakati ule angependa mwanae arudie shule tena abadili na jina. Kibaya ni kwamba Lameck baada ya kupata elimu hiyo ya hisani badala ya kuwatumikia watanganyika kwa moyo na kurudisha fadhila kwa mamilioni ya watanganyika ambao wanastahili huduma yake kama mbunge anajiingiza kwenye mambo ya kihuni. Sasa anaanza kufuata nyanyo za akina Gen. Salim Saleh (born Caleb Akandwanaho)