Historia ya jina la Mwigulu Nchemba

Historia ya jina la Mwigulu Nchemba

Lameck mkumbo madelu nawaomba wana jf tuwetunatumia hili jina alilopewa na wazazi wake. ule upuuzi wake wa kitoto wa kusema katumiwa meseji ni visasi vya kitoto tulikuwa tunalipiziana kipindi tunabaka panzi na kuchimba udongo kule bondeni msimbazi. eti kwa sababu mnyika kasema ye ni mwizi wa epa na yeye anasema eti kamtumia msg za vitisho shame on this stupidity.
 
Wataficha kila kitu lakini mwisho ukweli utabaki uchi. Wakisubiri ukweli uwe uchi m4c nayo itakuwa imesha wachakaza vya kufa mtu! Huku wanamuwaza Dr Ully atakavyo walipua. Hawapumui.
 
Nyie mapopo wa Chaga development manifesto imekosa hoja? Mbona Mnyika alipata one ya 7 then form six akalamba za uso na kusoma evening clas pale udsm..aha aha aha
 
Awe lameck awe mwigulu ni mwiba mkali sana ndani ya bunge cdm mpo kwa kazi ambayo ccm imempa ndani ya bunge bado ajaanza hzo ni rasharasha tu...cdm get ready
"Ukiwa kimbelembele hakikisha wewe n msafi"
Suala sio mwiba ,ukweli ni kwamba alighushi,na kisheria hili ni kosa.Hata afanyeje hii itamwandama hadi siku yake ya mwisho.na saa hizi atakua mdogo kama piriton, ngoja vijana waweke profile yake hadharani,ndio atakapodhalilika.
 
Mwenye jina atakuwa aliishauwawa kupoteza ushahidi. Kwa jinsi huyu jamaa alivyoua watu watatu kwa kipindi kifupi tu kwa kisingizio cha siasa hawezi kumbakiza mtu mwenye siri zake nzito kama huyo. Lazima kamuua
Unasema Madelu kauwa watu watatu tu? Subutuu! Hao ni wachache mno ambao wanatajwa Kama mfano tu, kaua watu wengi sana kuanzia Gavana wa BOT, makundi ya watu kule Igunga, makundi mengine kayaua kule Arumeru Kama vile viongozi wa CDM, vijana wa bodaboda nk huko kwao Singida ndo usiseme, ni Serial Killer halisi, ni vile tu victims wake wengine hawajulikani.
 
It is becoming clear to me every day that CCM has been "hijacked" by low moral valued individual , pathological liars, canning, thieves,in short "wahuni" who are now mascarading public as it's leader. This country Is haunted by evils of political leaders like this "Mwigulu" to mention one among almost all. there will be no MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA with kind of leaders whose common factor is selfishness. Can The true Mwigulu Mchemba the sukuma be located?
 
Lakini kumbe alikuwa anajiweza darasani kama baadae aliweza kuchaguliwa shule ya vipaji maalum Ilboru!!
 
Yes!!!
 
Kumbe mu ilboria bigup pili bw.mchemba punguza majigambo bhana
 
Lakini kumbe alikuwa anajiweza darasani kama baadae aliweza kuchaguliwa shule ya vipaji maalum Ilboru!!

Palitokea njaa zamani hizo, fisi wakaishiwa chakula, wakafanya patano, washindane kuangushana mieleka, atakayeangushwa aliwe. fisi dume akaangushwa fasta, kabla hajaanza kushughulikiwa na mkewe akasema alikuwa hajajiandaa, kwa hiyo warudie, fisi jike akakubali, ile kurudia fisi dume akatumia mpaka nguvu za akiba tena kwa kushtukiza na kumbwaga fisi jike hapo hapo hakusubiri akamchinja na kuendelea na mlo. MSINIULIZE HADITHI HII INATUFUNDISHA NINI.
 
  • Thanks
Reactions: JGG
Lameck Mkumbo Madelu.....Mkumbo Kitila... Ndugu moja! Nami nashangaa Nchemba Mwigulu Mnyiramba?! Leteni data aibike zaidi!! Huyu DOGO alete majibu. Ndoo maana anapapatika Dkt Kitila kuingia Iramba?
 
ukweli wa vtambulisho vya taifa tutaupima kupitia mbunge huyu.. Apo ndo 2tajua vitambulisho hivi vipya ni feki na wanapewa watu ambao c wahucka..
 
Mwenye jina lake aende kwa mwanasheria ili amsaidie kufungua kesi kwani naona ana haki ya kupata Damages kwa sababu huyu jamaa aliiba jina lake na pengine kwa ujanja mkubwa. It is very Bad.
 
Huyo nchemba original kuna mawili,aither akatoka,..kwa maana ya kuvuta mkwanja mkubwa au mauti yakamkuta na asijulikane kapotelea wapi ka ma hitla.
 
Lameck mkumbo madelu ni jina halisi la mh mwigulu nchemba.akiwa anasoma shule ya msingi makunda kata ya kyengege tarafa ya kinampanda wilaya ya iramba mkoa wa singida mh lameck mkumbo madelu alifeli mtihani wa taifa drs la saba,baada ya kufeli huko akawa anatafuta njia ya kurudia.kwa bahati nzuri kulikuwa na darasa la kata la kata ya kyengege..lililokuwa linajumuisha shule za makunda,mgundu na kyengege yenyewe.kutokana na kuwepo darasa hilo la kata ikawa kuna nafasi kwani mwanafunzi mwigulu nchemba(msukuma) alikuwa ameacha shule akiwa drs la sita kwani mwinuko wa kielimu kwa wasukuma ulikuwa chini sana wakati huo.ndipo mwl malumbi alipoweza kumuuzia jina la mwigulu nchemba bwana lameck mkumbo madelu.baada ya kurudia masomo bwana lameck alifaulu kwa kutumia jina la mwigulu nchemba lakini baadae akiwa secondary aliliongeza likawa mwigulu lameck nchemba

source.admission books
1.makunda primary
2.darasa la kata kyengege
3.ilboru secondary
4.Wakazi wa makunda

Nafikiri Mnyika aje humu kuuchukua huu ushahidi manake jamaa ananiboa sana.
 
Hii issue kama ya Dr. Kigwangwala.
 
Sioni tatizo, kwanza anastahili pongezi kwa bidii ya kutafuta elimu. Pili, haikuwa initiation yake binafsi bali ya wazazi wake ambao walitamani mtoto wao asome ( hapo wa kulaumu ni wazazi, na si Mh Mwigulu mwenyewe) na Mwigulu akatatii matakwa ya wazazi.
Mwisho, enzi hizo kuchaguliwa she la serikali ilikuwa muhimu maana ndio zilikuwa bora na wengi miaka ya nyuma walifanya hivyo.
 
Nyie mapopo wa Chaga development manifesto imekosa hoja? Mbona Mnyika alipata one ya 7 then form six akalamba za uso na kusoma evening clas pale udsm..aha aha aha

We choko wa chama cha mabwepande hapa tunamzungumzia ripita lameck mkumbo madelu aliyejipatia jina la unga mwigulu nchemba.
John Mnyika hajakariri madarasa kama huyu mchumi daraja zero!
 
Back
Top Bottom