Historia ya jina la Mwigulu Nchemba

Historia ya jina la Mwigulu Nchemba

Mbona mlishabikia sana Ndoa ya slaa??? Kumbuka na ishu ya kadi yake?? Kumbe mkuki kwa ngurue eeeh

sasa kupora mke wa mtu na kuvunja ndoa kisha kutelekeza familia halafu ukawa na kadi mbili za vyama tofauti kuna uhusiano gani na mtu kuwa msukuma au mhaya, acha kuchanganya madesa wewe
 
Mwigulu michango inayotolewa humu iwe funzo kwako kwamba sehemu kubwa ya jamii ya Watanzania haikubaliani na utaratibu wako wa maisha kisiasa.Jitathimini la sivyo you will be useless in the near future.
 
Kumbe huyu ---- anatumia jina la mtu mwingine?! No wonder akili yake haina akili.
 
Pia katika familia nyingi za wafugaji kama mkoa wa Singida wanaume wanafundishwa kuwa shujaa na mlinzi bora wa familia na jamii na namna ya kuishi na watu wa rika zote kwa huyu jamaa ni ngumu huenda amechakachua mpaka na kabila lake manake mtu hatari sana au malezi ya baba hakupa? Au alizaliwa kwa njia haramu kwa sababu mtoto akipata malezi ya mama bila baba huyo mtoto lazima adhoofu tabia
 
The current presence of a person,has much affected with the memory of the past...greedy,dirty and fodging!
 
Ndiyo maana CCM swala la id card zinafanyiwa politics!!!!! Watu wengi serikalini na kwenye system Tz wana haya matatizo ya majina .
 
Kichwa kwa kutumia jina la mtu hoja mfilisi
 
sasa kupora mke wa mtu na kuvunja ndoa kisha kutelekeza familia halafu ukawa na kadi mbili za vyama tofauti kuna uhusiano gani na mtu kuwa msukuma au mhaya, acha kuchanganya madesa wewe

Nenda kajisaidie umeandika uharo
 
Mwigulu sio mtu wa kumjadili.
Too shallow monded to be discussed here.
 
Naomba muongozo wa spika, ikiwa mbunge aliforge forge vyeti adhabu yake ni nini?
 
Hizi ni njama tu za kumchafua Mwigulu, hazina tija kwa taifa letu. Jina lake lina uhusiano gani na uwezo wake kisiasa?
 
lakini kumbukeni kinyiramba kikwetu hatuna jina la kiume /jinsi ya me hatuna jina mwigulu, kinyiramba mwigulu ni jina la kike, na nchemba ni jina la kisukuma, hivi inaonekana kweli ni hayawani ndo mana anaonekana ni chizi lakini iabidi tumpeleke mirembe mana hii c akili yake inawezekana ameinunua pamoja na jina lake,
 
Ndo maana matunda ya mikatba hewa na uongozi wa ajabu ajabu majina ya watu na vyeti vya watu hata mama mmoja ilienda mpaka shirika kubwa the same
 
siyo tu kirepeat anaweza kuwa alimnunua aliyefaulu darasa la saba akaenda kusomea jina la mwigulu, ndomaana taaluma yake ya uchumi haimsaidii kutoa michango yenye tija bungeni zaidi ya kuropoka.

hii ni desturi ya viongozi wetu kama hajapiga faulo hapa kapiga nje ya nji aje na kacertificate ka kutisha for this utawala bora no hence maendeleo yanaenda kireverse reverse daima,na wako wengi wa namna hiyo
 
ndio mana hazimtoshi.... nilikuwa nawaza msukuma gani mlipokaji kiasi hicho?
 
Kwa kawaida mtu hupaswa kuwa na majina matatu yaani la kwake la baba na la ukoo mfano Julias kambarage nyerere,sasa shaka ingine ni pale jamaa anapojitambulisha kwa majina manne eti MWIGULU LAMECK NCHEMBA MADELU,du!kali sana hii,natatizo kubwa nipale alipoamua kurudisha la madelu ili mzee aendelee kuitwa mzee madelu maana uenda mambo ya NCHEMBA yangemchanganya mzee wetu wakinyiramba
 
Back
Top Bottom